Katibu Mkuu (in waiting) Dada Mwele Malecela
Kikosi cha CSI kimeeleza kuwa the powers at be washaboreka na hii issue ya Madaktari na sasa kila option iko open lakini kikao cha jana usiku kimeazimia kuwa someone has to take the fall and as it is inaonekana kuwa Madaktari wanataka their pound of flesh and in this case its Blandina Nyoni ambaye not only amekuwa liability kwa bosi wake bali kwa chama na serikali.
Na inaonekana kuwa hata watetezi wake walishindwa nguvu na tayari watu washaandaa PLAN B aka replacement wake kama wakiona position yake ni untenable.
Mmoja kati ya majina ambayo yanatajwa sana ni sister Mwele Malecela ambaye unlike Blandina waheshimiwa wanasema anaweza kuwa na empathy with doctors badala ya huyu mama Nyoni. Bila kusahau kuwa Dr Mwele ni msomi aliyebobea na hanuki rushwa kama mama Nyoni.
Lakini habari za ndani kabisa toka kwa mama Nyoni ni kuwa anataka kuchukua the Lowassa route kuachia ngazi mwenyewe nyadhifa zote ambao yeye ni public figure ili aweze kuiprotect family yake from the 24 hrs scrutiny ila wapambe wake wanamwambia a hang on (for their own benefit) na mbaya zaidi hawana cohesive strategy ya kumsafisha huyu mama not only kwenye mainstream media, bali mpaka huku JF ambako mama anadai mahasimu wake (ma daktari) wanamsingiza ya uwongo.
Either way mama hiyo ndio politics lakini taarifa ni kuwa mabosi wake wanaona ONE MONKEY DOES NOT STOP THE PARTY sasa dada Mwele jiandae kukalia kiti!
Tutaendelea kuleta updates JF style. Kaeni mkao wa kula
ukimcheki kwenye picha ana tumbo kubwa sana
Huyu namkubali........
Kwa baadhi yetu tunaomfahamu vizuri mama Nyoni muda mrefu, anavyosemwa katika jf si sahihi ni kupakwa matope na wasiomtakia mema. Huyu mama ni kiongozi mzuri, anayejua analolifanya na kupenda wafanyakazi waliochini yake. Ana msimamo thabiti kwa jambo analoamini yuko sahihi na huwa na vielelezo kwa kila jambo analofanya. Kwa mtu yeyote ambaye anajua Menejimenti, a professional manager anaweza kuongoza sehemu yoyote ya kazi si lazima awe na taaluma husika. Wale wanaofikiri madaktari ndio wanaweza tu kuwa viongozi wa wizara ya afya ni wazi hawajui menejimenti ni nini. Mama Nyoni ni meneja, ndio maana kama Makatibu wakuu wengine na hata mawaziri si lazima awe wa taaluma husika ya wizara. Ni vyema kumhukumu mtu kwa matendo yake na haki yake apewe.
Kwa fikra kama hizi hatuweza fika mahala popote....Hatupaswi kumlaumu mama Nyoni. Inayopaswa kulaumiwa ni Tume ya Uchaguzi ambayo imetupa raisi ambaye haoni kwamba kuna mgomo wa madaktari. Huyu mama tangu aliopokuwa Accountant General alikuwa ni mchapa kazi. Kwa mtizamo wangu inawezekana kabisa kuwapa posho ya Tshs 200,000.00 madaktari. Kwani hii inatolewa kwao pale wanapoitwa kwa dharura. Siyo posho ambayo watalipwa kila siku. Kuna taasisi nyingine wanalipwa mpaka 400,000.00 kwa kikao. RAISI KIKWETE anatakiwa kuchukua maamuzi magumu na kuwapa posho ya 200,000.00 madaktari. Nchi za wenzetu wanawajali sana madaktari sisi tunawachezea. Anapaswa kulichukulia jambo hili kama la dharura.
Huyu hafai ni mwizi alikwiba hela za mradi wa mabusha!!
Blanduma hana kosa ndivyo alishauriwa na Daktari kilaza CMO Mtasiwa.imefika wakati sasa kuwa na katibu mkuu wa Afya ambaye ni daktari,imagine km hajui kutofautisha intern doctor na mwanafunzi wa udaktari mbaya zaidi hata waziri wake hajui tofauti yao .
wewe kama unanionea wivu mimi kuwa mwanamke nitoke mimi uje wewe uchukue nafasi yangu kitandani
Anafaa kuwa Mganga Mkuu wa Serikali (CMO) na sio Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya