majibu:
jambo moja umesahau ni haki yako kukataa kuhojiwa na chombo ambacho huna Imani nacho, inawezekanaje TAKUKURU ambayo kamati ya Mwakyembe imewanyoshea kidole kuja kumuhoji na kumtendea haki Harrison Mwakyembe(mb),
alichofanya ni sahihi, na ndio maana amemwambia Hosea akiwa tayari wakakutane mahakamani.
kumbuka Mengi aliwahi kumgomea Waziri Masha kua hawezi kutoa maelezo yake polisi akiweza atangulie mahakamani, ni haki yako Mtanzania mwenzangu kukataa kuhojiwa na vyombo unavyohisi havitakutendea haki.
iwapo Dkt Mwakyembe amegoma kuhojiwa..........na kugoma kwake kuhojiwa ni kinyume na sheria........na kama posho alizochukua ni kinyume na sheria........na iwapo TAKUKURU wana ushahidi wa kujenga kesi dhidi ya hayo hapo juu.............sijui ni kwa nini hawamfikishi huyu Dkt Mwakyembe mahakamni............?
....na asipofikishwa mahakamni serikali/Ikulu kwa mara nyingine itatufanya tuamini kuwa ni kiini macho.................
Kuhojiwa ni kitu kimoja na kukutwa na kosa baada ya kuhojiwa ni kitu kingine! Kumbuka hata kama TAKUKURU itaona kuwa Mwakyembe ana kosa bado jalada linatakiwa liende kwa DPP ambaye anaweza kuweka 'nolle prosequi' (kufuta shtaka) kulingana na kifungu cha 91 cha CPA, 1985! Kwa hali inavyojionyesha itaonekana kama kulikuwa na mchezo wa kuigiza but not necessarily true! Mpaka sasa kesi za akina Mramba, Liyumba, et al, zimeshaanza kusemwa kuwa ni mchezo wa kuigiza hata kabla ya kuisha! Sio kila kesi lazima kuwe na conviction, kwenye Sheria kuna technicalities nyingi mno na mtu anaweza kushinda kesi kwa hizo! Otherwise tunaweza kusema SHERIA ZENYEWE, KUZITAFSIRI NI KAMA MCHEZO WA KUIGIZA!
Kifupi sheria haina maana kama haiwezi kutafsirika kwa vitendo. Kifupi mimi sielewi kjabisa mchezo huu umeanza vipi.. Mtu yuko Bungeni Dodoma, anapigiwa simu afike ofisi za Takukuru (sijui Dar au Dodoma) kuhojiwa, anakataa kwenda na kuendelea na kazi za Bunge...........maana yangu.....watu waache blah blah blah kwenye serious issues.......tunahitaji kuona action kulingana na sheria, ....matokeo ya utafsiri wa sheria ni kitu kingine...........
....unajua mpaka Dkt mwakyembe anasema nitawabwaga TAKUKURU mahakamani.....hii jeuri anaitoa wapi..........ina maana either anajua udhaifu wa madai au anajua udhaifu wa TAKUKURU kujenga kesi yenyewe?.....ndio maana nimesema hapo awali.........Sheria ichukue mkondo wake ili tuone............otherwise hiyo procedure uliyoitaja hapo juu naifahamu vizuri sana...........thanks anyway
.........maana yangu.....watu waache blah blah blah kwenye serious issues.......tunahitaji kuona action kulingana na sheria, ....matokeo ya utafsiri wa sheria ni kitu kingine...........
....unajua mpaka Dkt mwakyembe anasema nitawabwaga TAKUKURU mahakamani.....hii jeuri anaitoa wapi..........ina maana either anajua udhaifu wa madai au anajua udhaifu wa TAKUKURU kujenga kesi yenyewe?.....ndio maana nimesema hapo awali.........Sheria ichukue mkondo wake ili tuone............otherwise hiyo procedure uliyoitaja hapo juu naifahamu vizuri sana...........thanks anyway
Kwa kweli hili swala la mbunge kukataa kuhojiwa kwa makosa anayoshukiwa kutenda lilikua linanitatiza sana! nilikua najiuliza kama ni kweli mtu mmoja (an individual) anaweza kuwa juu ya dola, nilikua sipati jibu. lakini,
Baada ya kufuatilia maoni na mawazo ya watu mbali mbali na hasa ufafanuzi wa spika Sitta juu ya jambo hili kupitia gazeti la Majira la tarehe 31 oktoba, nimegundua wengi hatujui sheria na taratibu vizuri na wengine tunajaribu kupindisha ukweli kama nawe Buchanan unavyotaka kufanya!!!
swala la umeme wa upepo alilitolea maelezo na yakaeleweka ndio maana kamati ya maadili ya bunge haikuchukua hatua kwa kuto - declare interest!!
Cha muhimu hapa tujiulize, na hasa tuiulize serikali inakuwaje inasiiiiita kuchukua hatua na kumaliza mambo ya Rich Mond badala yake wanatoa (ikulu) maagizo ya kuchunguza posho za wabunge???
RAIS AFANYE UAMUZI AMBAO WANANCHI NA BUNGE VITAONA AMEACHA USHIKAJI NA KUTENDA HAKI KWA KUMALIZA RICH MOND KWANZA NDIO SASA WASHUGHULIKIE TATIZO HILO SUGU LA POSHO IITWAYO HOSPITALITY
".....wakati wa bajeti ya serikali ya mwaka 2009/2010 mbunge mmoja aliitaka serikali kufuta fungu hilo (hospitality) kwa madai kuwa ilikua na sh. billioni 19 alizoita ni za kunywa chai lakini bunge ilipitisha..."
Interesting how u trying to protect hosea with reference to the 1971 act...enhe endelea kutudanganya kama hatujui resources and powers of takukuru if used properly ........kweli mwakyembe akae chonjo kwa mwendo huu hivi iyo kamati alikuwa pekeyake na aliiunda mwenyewe??...naona mambo si mchezo...the more you guys bring up these silly arguements mara alichukua 400mil ,mara hana influence or power in kyela, mara conflict of interest, mnamwongezea umaaarufu tuu.....richmond created mwakyembe, he is a victim of circumstance..deal with richmond na umaarufu wa mwakyembe utaisha..zaida ya ile kamati nothing else separates him from other ccm wabunge..no way 1 man can shake such a big group of individuals..its a shame...all this while the country is in darkness..let me guess lets blame mwakyembe for our power issues in the country??

Katika maojiano yake na vyombo vya habari, Mwakiyembe amesema, TAKUKURU anawapigia simu wabunge (Mmoja mmoja) na kuwaoji kwa takriban masaa hadi matatu kinyume na sheria kwani maojiano hayo hayawekwi kwenye maandishi.
Buchanan,Muda wa kuhoji kisheria ni masaa manne [Kif. 50 (a) (i) cha CPA] na unaweza kuongezwa! Sasa kwa nini Dkt Mwakyembe ameamua kuudanganya umma kuhusu masaa ya kuhojiwa huku yeye mwenyewe akivunja Sheria kwa kukataa kuhojiwa?
Duh huyu mbwa mbwa gani mkuu wangu, sijayaona hayo ndio kwanza nasikia leo!"mbwa hubweka sana anapoona chakula cha bwana wake kinaliwa na mtu mwingine.
lakini mbwa huyo huyo anapokula chakula hicho cha bwana wake bila ridhaa ya bwana wake - huwa mkali pale anapokatazwa kuendelea kukila"
Dk. Harrison Mwakyembe na Fred Mpendazoe, wamehojiwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, Takukuru juzi kuhusiana na suala la posho mbili za wabunge.
Kama ni Juzi nadhani haina staha ya kuitwa breaking news!