Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,993
nani msafi hapa ajitokeza yaani sio mwizi ama hajawahi kutuibia hata shilingi moja ajitokeze,aseme tuaze kutoa tuliyonayo moyoni ajitokeze? iwe W,J,Malecela,tena wewe nimesoma na ............Mpwapwa-Dodoma, tutamwaga sumu hapa tuanze kuogopana,January makamba ndio usiseme tunaujumbe ulioibwa kutoka VODACOM 2010 mawasiliano yao na Barick,nani mwingine ,acheni tunanyamaza tu ili Dunia iende na mambo yaende lakini tukitaka kuweka wazi kila kitu tutapigana ban za bure humu
unapomnyooshea kidore mwenzako tambuwa kuwa nawe kuna vingine vinakutazama
Ni kweli Dr Mwakyembe alifanya kazi nzuri but there some doubts
- Kwanini hawa kumhoji PM EL, Mzee Mwanakijiji ameeleza lakini amezunguka tu hajahit point. Kwenye ripoti yake alisema Rostam alimkwepa hivyo wakaamua kuachana naye na RA ni rafiki wa mkuu kama hoja ni urafiki Tatizo langu Mwakyembe hasemi sababu za kutomhoji direct EL ili hali alipewa rungu kwa nini Je, ni chuki binafsi ? ni zipi ? if no why ??
- Dr Mwakyembe bado anasema yapo mengine mengi ambayo hawakuyasema, Kwa nini hakuyasema by then kama kweli aliamua kuufichua uoovu wa serikali/viongozi wazi ninachokiona naye anaelement za kulindana Angesema tu hata kama ni mabaya kiasi gani kwani ndiyo wanayo yatenda Sasa anawapa watu stress za bure kwa kutishia kwake unaweza ona akilazimishwa aseme hatasema lolote la maana
Kwa maelezo yake alijiuzulu ili kulinda heshima ya chama na serikali yake, Kama tunavyo jua ugongwa wa kulindana ulivyo ndani ya taifaKwa nini Lowassa alijiuzulu? Kati ya mambo yote ambayo angeweza kufanya kwa nini aliamua kujiuzulu?
Ni kweli Dr Mwakyembe alifanya kazi nzuri but there some doubts
- Kwanini hawa kumhoji PM EL, Mzee Mwanakijiji ameeleza lakini amezunguka tu hajahit point. Kwenye ripoti yake alisema Rostam alimkwepa hivyo wakaamua kuachana naye na RA ni rafiki wa mkuu kama hoja ni urafiki Tatizo langu Mwakyembe hasemi sababu za kutomhoji direct EL ili hali alipewa rungu kwa nini Je, ni chuki binafsi ? ni zipi ? if no why ??
- Dr Mwakyembe bado anasema yapo mengine mengi ambayo hawakuyasema, Kwa nini hakuyasema by then kama kweli aliamua kuufichua uoovu wa serikali/viongozi wazi ninachokiona naye anaelement za kulindana Angesema tu hata kama ni mabaya kiasi gani kwani ndiyo wanayo yatenda Sasa anawapa watu stress za bure kwa kutishia kwake unaweza ona akilazimishwa aseme hatasema lolote la maana
Kwa report ile wengi wanamkubli nami piaMwakyembe (na usomi wake wote) mpumbavu. Hili linanifanya nijiulize sana kuhusu quality ya elimun yetu. Kam ahata mhadhiri maarufu wa sheria anaweza kuchemsha hivi, tutegemee nini kutoka kwa sio tu wahadhiri wetu wapya, bali hata wahitimu wetu wapya.
Yoyote ambayo hujayasema katika ripoti, halafu ukasema "kuna mengine sijayasema katika ripoti" unakuwa ushayasema kwa namna moja ama nyingine. Unakuwa kama yule mkimbizi wa vita aliyelala chini ya nyasi, akasikia adui kauliza "kuna aliyebaki hai tumpe maji?". Akaamini na kujibu "Mimi nipo hai". Akamalizwa hapo hapo.
Na kutoka hapo ( statement ya "kuna mengine sijayasema katika hii ripoti" unapata the worst of both words.
Wale waliotaka usiseme watakuona mbaya kwa sababu umesema kuna mengine hujayasema.
Wale waliotaka useme watakuona mbaya kwa sababu umesema kuna mengine hujayasema ambayo wangetaka uyaseme.
Kwa maelezo yake alijiuzulu ili kulinda heshima ya chama na serikali yake, Kama tunavyo jua ugongwa wa kulindana ulivyo ndani ya taifa
Mkuu si mtetei EL hata kidogo ninacho jaribu kudadisi ni kwa nini Dr Mwakyembe hakuyasema yote leo anakuja na kusema ninayo mengi moyoniKama EL anaamini kwamba kamati ya mwakyembe haikumtendea haki, kwanini asiombe bunge kurejea maamuzi yake juu ya scandal ya richmond?
Inawezekana alihamaki baada ya ripoti kusomwa na hakupata muda wa kutosha kutafakari, ndipo akaamua kujiuzulu na sasa amegundua kosa lake na anaweza kuweka mambo sawa na ukweli halisi ukajulikana. Mlio karibu nae ama mnaomtetea kwanini msimshauri airudishe mezani bungeni hoja ya richmond ili kukata mzizi wa fitna?
Mkuu si mtetei EL hata kidogo ninacho jaribu kudadisi ni kwa nini Dr Mwakyembe hakuyasema yote leo anakuja na kusema ninayo mengi moyoni
Hata kama kamati haikupewa jukumu la kumhoji PM lakini mazingira ya liwalazimu wamhoji kama walivyo fanya kwa wengine
Kumbuka kuwa EL ni mwanaCCM hawa wana desturi ya kulindana naye alijuzuru ili kulinda wengi walio nyuma yake The same done by Dr HM hapa naye kwa kulinda watu wengi ....Tujue wazi kuwa wanachokilinda si chema bali ni uovu tu that is all...
100% nakubaliana naweKwanza tunakubaliana kwamba hawa wote mwakyembe na lowasa ni wanaccm na kila mmoja alifanya kile alichofanya kuilinda serikali ya chama chao na hususan JK.
Ikiwa mwakyembe alificha baadhi ya mambo kuilinda serikali ya JK na ccm. Lowasa naye aliamua kujiuzulu badala ya kujitetea ili kuilinda serikali ya JK na ccm. Sasa hapa ndipo najiuliza lowasa na watetezi wake wanalalamikia kitu gani?
kweli kaka, nimekubali ...tuko pamoja.
Mkuu x-mass njema, kama uko tanzania tengeneza pilau ya asili , kama uko 'kule' duni nyingine najua umeishaisherekea mwezi wote huu....
nadhani haujasahau nikisema mwana kondoo ameshinda unajibu nini!
Mwakyembe (na usomi wake wote) mpumbavu -sio mjinga-. As in idiot, and not ignorant. Kashasoma sana kupewa benefit of doubt ya ignorance, kawa muhadhiri wa kutumainiwa ati.
Hili linanifanya nijiulize sana kuhusu quality ya elimun yetu. Kama hata mhadhiri maarufu wa sheria anaweza kuchemsha hivi, tutegemee nini kutoka kwa sio tu wahadhiri wetu wapya, bali hata wahitimu wetu wapya.
Yoyote ambayo hujayasema katika ripoti, halafu ukasema "kuna mengine sijayasema katika ripoti" unakuwa ushayasema kwa namna moja ama nyingine. Unakuwa kama yule mkimbizi wa vita aliyelala chini ya nyasi, akasikia adui kauliza "kuna aliyebaki hai tumpe maji?". Akaamini na kujibu "Mimi nipo hai". Akamalizwa hapo hapo.
Kama kuna mambo hayaelezeki katika ripoti, huyazungumzii kabisa. Husemi hata kwamba hayaelezeki, kwa sababu ukisema tu hayaelezeki ushaanza kuyaelezea. Mwanasheria aliyebobea anatakiwa kuelewa hili a la "You have the right to remain silent, anything you say can and will be used against you".
Na kutoka hapo ( statement ya "kuna mengine sijayasema katika hii ripoti") unapata the worst of both words.
Wale waliotaka usiseme watakuona mbaya kwa sababu umesema kuna mengine hujayasema, ume spill beans kwamba kuna zaidi ya uliyoyasema.
Wale waliotaka useme watakuona mbaya kwa sababu umesema kuna mengine hujayasema ambayo wangetaka uyaseme.
Kwa nini Lowassa alijiuzulu? Kati ya mambo yote ambayo angeweza kufanya kwa nini aliamua kujiuzulu?
Kiranga,
Kumuita Mwakyembe mpumbavu unakuwa hujamtendea haki hata kidogo. Ni mambo mangapi wananchi tumepata kuyafahamu kupitia kamati aliyoiongoza? Je hayo ni ya kubezwa kiasi hicho?
Pamoja na kutoweka hadharani baadhi ya mambo, ambayo bila shaka alifanya hivyo kuinusuru serikali ya chama chake isiporomoke, kwakuwa naye ni mwana ccm lakini bado kuna mambo mengi tumejua kupitia ripoti ya kamati yake.
Kama EL ndiye mwerevu kuliko mwakyembe katika hili, kwanini hakujitetea bungeni alipopewa nafasi lakini akaamua kujiuzulu ili kuilinda serikali ya chama chake?
Kuna wakati elimu inabidi iwekwe kando busara ichukuwe nafasi,naamini Mh.Mwakyembe aliweka busara mbele ya taaluma yake,anastahili pongezi na si shutuma.
Ni ukweli uliowazi kuwa jeshi la mafisadi lisingekubali kuumbuliwa kirahisi namna ile,ufisadi ofisi yao kuu ipo magogoni unajua jinsi ambavyo Mwakyembe angefuata taaluma bila busara angefika hadi magogoni TZ pasingetosha.
Kuna watu wanataka kulazimisha mtu mchafu awe safi na watu safi wawe wachafu..je nani atakubali hilo? Mimi sithubutu kula pesa ya mtu hata senti tano yake ....!Sasa wewe unataka kumlazimisha mwenzako achangie kama unavyotaka, unachotakiwa wewe ni kuchangia si kukemea wanaochangia.
Mkuu ebu nambie unapoandika report ya kuchunguza uhalali wa Richmond wewe ungeandika hata vitu ambavyo vinatakiwa uchunguzi wa vyombo vya sheria?... Sidhani kama kuna report yoyote huandikwa hivyo na kama wewe utafanya hivyo mkuu wangu utakuwa umefanya kmakosa makubwa sana..A chain is as strong as it's weakest link. Mtu makini hawezi kuandika ripoti halafu aka i undermine ripoti yake mwenyewe kwa kutuambia kwamba kuna mengine hajaandika. Kama hujayaandika huyaongelei.
Sasa ona alivyotengeneza a cloud of controversy. I mean these things are controversial enough even without such careless remarks, so why create even more controversy?
Kama kweli kaficha mengine ili kumnusuru JK/ chama, kwa kusema "kuna mengine sijaandika" alikuwa anatoa possibly self incriminating evidence, nchi za watu wanaofuata rule of law angeweza kuchunguzwa kama kafanya "cover up" na kama akibainika kafanya hivyo anacheza na lupango.
Mkuu ebu nambie unapoandika report ya kuchunguza uhalali wa Richmond wewe ungeandika hata vitu ambavyo vinatakiwa uchunguzi wa vyombo vya sheria?... Sidhani kama kuna report yoyote huandikwa hivyo na kama wewe utafanya hivyo mkuu wangu utakuwa umefanya kmakosa makubwa sana..
Mwakyembe alichokifanya ni kupeleka report na ingefikia mahala yeye kama shahidi kusema anayoyajua ndiyo mbele ya sheria kilichotakiwa afanye ama kama angekuwa mchunguzi binafsi wa swala lile. Na kusema kwake kuna mengine ambayo sijayaandika humu ni kielelezo tosha kwamba anabanwa na sheria tu lakini angeweza kuandika vitu zaidi ya report kile alichotakiwa kukifanya..
Makosa tumeyafanya sisi au niseme Bunge letu kukubali kumwachia Lowassa na wahusika wote kabla hajajibu report. Kisha kwa nini watu wanamtazama Lowassa tu wakati wapo wengi ambao walijiuzulu lakini nao walikuwa ktk sakata hili hili mathlan Msabah mbona hazungumziwi yeye ambaye halalamiki isipokuwa alisema alifanywa bangusilo kwa amri kutoka juu isipokuwa Lowassa.