Mwakalinga Bujo
JF-Expert Member
- Oct 22, 2008
- 2,718
- 1,443
Wengine tunaweza kusema hii ndiyo sababu hasa iliyomfanya Mwakyembe asimhoji Lowassa, kwa sababu angemhoji Lowassa, Lowassa angemwambia mambo yote yamepita katika cabinet na PM si kiongozi wa cabinet, nenda kamuhoji mukulu mwenyewe akupe kipande kamili.
Tukisema hivi, na kwamba Lowassa kashindwa kusema hili katika utetezi bungeni out of loyalty and concern for a national crisis, kaambiwa "take this bullet for the team tutakupa ulaji juu kwa juu" akasema poa, yapishie mbali, Mwakyembe atasemaje?
Hivi inaingia akilini katika system ya bongo PM afanye mambo bila rais ku approve? Especially PM mshikaji wake rais kama EL na JK? Kwa mambo makubwa yanayozungumzwa katika cabinet level?
Kiranga je Lowassa alinyimwa au alikosa nafasi ya kutumia haki ya kujitetea na kujieleza mbele ya Bunge ambalo ndiyo lilimpitisha kuwa Waziri Mkuu? I'm granting you kwamba nafasi hiyo hakupewa kwenye Kamati Teule.
Naomba nikujibu kifupi tu. Sifahamu uwezo wako wa kufikiri au ufahamu ila jibu ni FUPI.
NEC ya CCM ni CLOSED meeting, taarifa zake hazirushwi na vyombo vya habari.
Bunge ni OPEN meeting.
KIongozi hawezi kuanika mambo ya ndani hadharani kama unavyofikiri.
Kiranga, kuna uhusiano gani kati ya Kamati Teule ya Bunge na Bunge?
Maana nina hofu kuwa unaangalia Kamati Teule kama kikosi cha Polisi au Wapelelezi fulani na katika kufanya hivyo unaweka Kamati Teule upande mmoja na Bunge upande mwingine.
Labda, tuanzie upande huu mwingine yawezekana ukaona ni kwanini alichofanya Mwakyembe kilikuwa ndani ya majukumu ya Kamati yake.
Na vile vile inaonekana unaweka mzigo kwa Mwakyembe binafsi as if alikuwa na madaraka ya kuamua lolote na kufanya lolote kwa vile tu alikuwa ni Mwenyekiti wa Kamati Teule. Labda pia uangalia Mwenyekiti wa Kamati Teule ana nguvu gani kulinganisha na wajumbe wengine wa Kamati hiyo.
fairplay ndo Lowasa au Richmond?
Natural justice inatakiwa iwepo katika kila stage inayowezekana. Polisi hawezi kuja kukukamata uzembe na uzururaji bila ya kukuuliza "unafanya nini hapa? Unatoka wapi na kwenda wapi? etc" eti kwa kusema "Utaenda kujieleza mahakamani" Unaweza kwenda mahakamani ukakutwa huna kosa polisi akawa kapoteza muda wako.
Leo tumesoma polisi wa Oslo Norway wamemuomba msamaha researcher wa Uganda aliyekuwa kaenda Norway kwenye a climate summit, katoka nje ya mkutano a stretch legs, polisi wa Norway kamshika. Mtaa huo una historia ya watu weusi kuuza madawa ya kulevya, na huyu bwana mweusi, tena ana mikono mfukoni inaonekana kama kaficha kitu. Kabla polisi kumuuliza vizuri kamu arrest, hataki kusikia kitu.
Baadaye ikaja kugundulika jamaa ni researcher, alikuwa kwenye mkutano, na sababu iliyofanya aweke mikono mfukoni ni kwamba alikuwa anasikia baridi na kwao Uganda hajazoea baridi.
Sasa polisi angefuata natural justice katika kila stage, angempa nafasi ya kujieleza, kusingekuwa na embarassment.
Alichofanya Mwakyembe ni kama huyu polisi, kamu implicate Lowassa bila kumpa nafasi ya kujieleza, zaidi ya hapo Lowassa alipofikishwa bungeni hakutaka kujitetea. Wengine tunaweza kusema labda Lowassa hakutaka kujitetea kwa sababu anajua ana makosa, kataka mambo yaishe. Lakini hata kama huo ndio ukweli, hili haliondoi ukweli kwamba Mwakyembe alitakiwa kumuhoji.
Mwakyembe katunyima haki ya kujua side ya story ya Lowassa, kwa sababu, Lowassa kupewa haki ya kujitetea bungeni hakukumshurutisha kutoa side yake kikamilifu, kasema tu mimi nimeonewa, kisa hapa uwaziri mkuu, basi mie namwaga manyanga.
Mwakyembe alikuwa na nafasi ya kumshurutisha Lowassa atupe side yake ya hii story, lakini hakuitumia.
Mnajua kwa nini?
Kiranga, mtu mwongo mbabaishaji na mla rushwa kama Lowassa ukimpa nafasi ya kujitetea anakushinda. Mwakyembe ni Lawyer, alilijua hili na akaamua kulileta jukwaani kwa kumshtukiza.
Kiranga, mtu mwongo mbabaishaji na mla rushwa kama Lowassa ukimpa nafasi ya kujitetea anakushinda. Mwakyembe ni Lawyer, alilijua hili na akaamua kulileta jukwaani kwa kumshtukiza.
I like old movies and I like old cowboy movies, and I want to explain how these rules work in a more understandable way.
There was an old saying in the Old West, there was a cowboy who was charged with stealing a horse in town. And some of the other cowboys, especially the guy whose horse was stolen, were very unhappy with that guy.
One of the cowboy's said, "Let's hang him!"
And the other cowboy said, "Hold on! Before we hang him, lets first give him a fair trial. Then we'll hang him."
Under these rules, I'm not even getting a fair trial. They're just hangin' me. - Rod Blagojevich
Nadhani ipo haja ya kuelezea nguvu, mamlaka, na haki za bunge. Nimeweza kugundua kuwa hoja hii ya "natural justice" inatolewa bila kuelewa kwa usahihi kamati teule ya bunge ni nini hasa na kazi yake inahusiana vipi na bunge zima. Kamati teule inachukuliwa kama chombo independent cha law enforcement cha bunge. Na wengine waweza kuchukulia KT kama chombo fulani cha mahakama. Hivyo, kwa makosa wanaona ripoti ilipotekewa bungeni basi KT ilimaliza kazi yake na bunge likapokea ripoti basi vyombo hivyi "viwili" vikatimiza wajibu wake. Hapa ndipo watu wanakosea na ndugu yangu Kiranga amekosea kwa kuona kuwa KT inafanya kazi kwa "niaba ya Bunge".
Kiranga said:Isitoshe Mwakyembe haku act professionally kwa kutomshurutisha Lowassa atupe side yake ya story. Zaidi ya hapo, Mwakyembe kwa kusema "kuna mengine nimeyaacha" ame undermine credibility ya report yake. Wengine tunaona inawezekana Mwakyembe anaujua ugonjwa wa Caesar na ndio alioacha kuuandika ripotini.
Hii ndo nini tena? maana hata swali umeshindwa kuiweka sawa. Una maanisha nini bandugu?
Jamani eehh......rules za procurement ziko straight forward, strict and widely expensive...........ukipindisha tu wewe ni culprit..........Lowassa ni culprit wa hili jambo from the day one.........PERIOD
Edo analitambua/alilitambua hilo.......mbali na kulitambua akamshawishi JK kuwa ni sahihi kupindisha taratibu.......huyu ndiye alikuwa Chief advisor wa JK.......
Lowassa amechangia kuwanyima wananchi Natural Justice........kwenye mambo ya nishati......na mpaka sasa wananchi tunateseka na ma-cost ya ajabu ajabu.........
Dr. Mwakyembe, kwa kuacha kumuhoji Lowassa na kumruhusu Lowassa kujiuzulu kwa terms zake, ameacha opportunity ya kum-nail culprit number one hapa, at least in the court of public opinion. Kikwete.
Tunajua Lowassa ni corrupt.Kikwete kama rais wa nchi, kwa nini kamchagua kuwa PM in the first place? In the second place, kwa nini karuhusu kukubali kupindishwa kwa procurement?
Hapa ndipo tunarudi kwenye ile notion ya pale juu.
Sababu iliyomfanya Mwakyembe asimhoji Lowassa ni kum protect Kikwete. Hili inawezekana ndilo Mwakyembe analomaanisha anaposema "kuna mengine sikuandika kwenye hii ripoti".
Angemuhoji Lowassa, Lowassa angemwambia issue imepitishwa kwenye cabinet, imejadiliwa, rais kaijua, mawaziri wake wameitekeleza, kwa hiyo kama kuna mtu wa kumuwajibisha muwajibishe rais.
Mwakyembe na machinery yake wakaona badala ya kumuuliza katika kamati, wamsulubishe bungeni ambapo political dynamics hazikuruhusu Lowassa kusema hayo live.
Matokeo yake Lowassa kajiuzulu kwa terms zake na Kikwete anadunda mpaka leo. Mwakyembe hakuwa na kifua cha kutetea Watanzania ilivyotakiwa.