Dr. Mwakyembe, muda wako umefika

Dr. Mwakyembe, muda wako umefika

Nami nasema huyo Lowasa anajitakia matusi haya. Tamaa yake ya urais isituweke roho juu. Tangu mwaka 77 yupo ndani ya CCM, ana lipi jipya la kutuambia Watanzania zaidi ya kuendeleza ufisadi? Mlafi sana huyu. Sijui yupoje?
 
Mwakyembe chapa kazi, mja maji haachi kutapatapa tatizo ni urais
Lowasa anaweweseka sana kwa sasa. Maana anaona kuwa hakuna wa kumuokoa. Fedha zake alizokwiba ana anazowalipa vijana kama akina MUSSA ALLAN hazijamsaidia kitu
 
MAJIBU YA MWAKYEMBE HAYA HAPA....

Akihojiwa na mwandishi wa vyombo vya habari vya UHURU waziri wa ushirikiano wa Afrika Mashariki ameonekana kufura kutokana na madai yaliyotolewa na Edward Lowassa leo kutokana na sakata la Richmond.

Dr. Mwakyembe amemfananisha Edward Lowassa na 'mshenzi' huku akidai kuwa anateswa na mzimu wa urais!

Hali halisi inaonyesha kuwa sasa CCM kumeibuka vita ya aina yake na inaweza kuisambaratisha vibaya CCM!

Lowassa leo ameonekana kuishambulia vilivyo serikali ya Kikwete kwa kudai kuwa yapo makosa yaliyofanywa katika serikali hiyo!

Hali sasa imefika pabaya![/QUOT
Y
E]yeye mwakyembe si mshenzi tu ni mpumbavu.hawezi ita wenzake washenzi wakati yeye ni firauni.kashirikiana na kipande kuhujumu bandari na kununua mabehewa feki na ma dili ya madawa ya kulevya akishikiana na mtoto wa msoga.
 
Safi Sana UKAWA Wanafutahi tu maana kwa hili BEEF Lazima CCM watajitusu kulikata jina la EL...Ila kiukweli EL apitishwe au asipitishwe ni FAIDA KUBWA KWA UKAWA,Cha msingi CCM waangalie Effect kubwa ni ipi kwao.
 
Lowasa anaweweseka sana kwa sasa. Maana anaona kuwa hakuna wa kumuokoa. Fedha zake alizokwiba ana anazowalipa vijana kama akina MUSSA ALLAN hazijamsaidia kitu
Lizaboni utazeeka kabla ya muda wako kwa kuyafuatilia ya Lowassa.
 
Last edited by a moderator:
Duuh!kwa hio ni kweli kua ccm ni ukoo wa panya?Mingoi anasema mwakyembe mwizi,Lizaboni anasema Lowassa mwizi!
Jibu=wote wezi!
 
Duuh!kwa hio ni kweli kua ccm ni ukoo wa panya?Mingoi anasema mwakyembe mwizi,Lizaboni anasema Lowassa mwizi!
Jibu=wote wezi!
Mingoi atutajie alichoiba Mwakyembe. Atutajie pia tume iliyoindwa na kumuimplicate Mwakyembe kwa wizi
 
"Vita vya panzi " na bado mtatifuana sana UKAWA tunasubiri tu kutumbukiza mpira wavuni hiyo oct.
 
Kutubu ni kukiri kuwa umeyatenda mabaya na kuapa kutoyarudia tena. Lowasa hajakiri ni mbishi. Mtu anayeficha dhambi zake hatasamehewa. Hivyo Lowasa hawezi kusamehewa. Hata hivyo hajasema ni namna gani hakuhusika na kwa nini asukiwe zengwe yeye tu na siyo mtu mwingine. Ni heshima aliyokuwa amepakatia yeye alikuwa akiilinda na nina aliyempa mamlaka ya kuilinda heshima anayoitaja. Heshima ya serikali inahusiana vipi na ufisadi na kwa nini ateuliwe yeye kuilinda heshima ya ufisadi.
Ama kweli kuwa na mvi nyingi sio wingi wa busara, yani anakana, kumbe hata shetani akitubu na kuomba msamaha anaweza kusamehewa.Khaa!! Sasa ulijiuuzuru kulinda heshima hipi ambayo inanyanyasa roho yako kwa miaka nane???
 
MAJIBU YA MWAKYEMBE HAYA HAPA....

Akihojiwa na mwandishi wa vyombo vya habari vya UHURU waziri wa ushirikiano wa Afrika Mashariki ameonekana kufura kutokana na madai yaliyotolewa na Edward Lowassa leo kutokana na sakata la Richmond.

Dr. Mwakyembe amemfananisha Edward Lowassa na 'mshenzi' huku akidai kuwa anateswa na mzimu wa urais!

Hali halisi inaonyesha kuwa sasa CCM kumeibuka vita ya aina yake na inaweza kuisambaratisha vibaya CCM!

Lowassa leo ameonekana kuishambulia vilivyo serikali ya Kikwete kwa kudai kuwa yapo makosa yaliyofanywa katika serikali hiyo!

Hali sasa imefika pabaya![/QUOT
Y
E]yeye mwakyembe si mshenzi tu ni mpumbavu.hawezi ita wenzake washenzi wakati yeye ni firauni.kashirikiana na kipande kuhujumu bandari na kununua mabehewa feki na ma dili ya madawa ya kulevya akishikiana na mtoto wa msoga.

Tujikumbushe Bungeni mwaka 2006, kutokana na kauli yake aliyoitoa leo kwamba hausiki na RICHMOND.

"Kesho yake, yaani tarehe 1 Aprili 2006 Waziri wa Nishati na Madini, wakati huo Mhe. Dk. Ibrahim Msabaha, (Mb.) akionesha dhahiri kutotaka njia ya international shopping kutumika, akawaita wajumbe wote wa Bodi ya Wakurugenzi ya TANESCO na kuwaagiza wahakikishe kuwa Bodi ya Zabuni ya shirika inawaita tena wazabuni wote waliojitokeza awali na makampuni mengine yoyote yenye uwezo wa kuingiza nchini mitambo hiyo. Aidha, Mhe. Dk. Ibrahim Msabaha, (Mb.) alisisitiza kwa barua kwamba:
“Mshindi wa tenda ya ununuzi wa mitambo mipya atajulikana baada ya idhini ya Serikali kutolewa. Composition ya wajumbe wa TANESCO Tender Board ibadilishwe na kuimarishwa kwa kuwa na wajumbe wenye uwezo na ni pro-active”.

Mheshimiwa Spika, ni dhahiri kuwa agizo hili la Waziri lilikuwa batili kwani Sheria ya Ununuzi wa Umma haimpi Waziri mamlaka ya kuingilia uteuzi wa Wajumbe wa Bodi za Zabuni za mashirika yaliyo chini ya Wizara yake. Agizo hilo la Waziri likafuatiwa na uamuzi wa Waziri Mkuu wa kuliondoa suala hilo mikononi mwa TANESCO na kulikabidhi kwa Kamati Maalum iliyokuwa inaundwa na Katibu Mkuu (Hazina), Katibu Mkuu (Nishati) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Tarehe 13 Aprili 2006, Mkurugenzi Mwendeshaji wa TANESCO wakati huo, Bw. Adriaan Van De Merwe, akaiondoa TANESCO rasmi kutoka kwenye mchakato huo kwa kumtumia Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini nyaraka zote kuhusu zabuni yenyewe na uchambuzi wote uliofanywa na TANESCO."
 
Back
Top Bottom