TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,268
- 27,936
Hivi Chama hiki kiliwahi kuingia katika UChaguzi mkuu katika hali hii...!?
ccm nimekuwa ninaitumikia,wazazi wangu wote wameipigania ccm mpaka umauti wao,Leo mtu mmoja aliyeichafulia ccm ndio tena awe raisi?Hakika chama kikimpitisha sisi hatutapiga kura.
We ndo unaubongo wa samaki kabisa ,mwakyembe kutotaja watu walio mwekea sumu haiondoi thana ya kwamba aliwekewa sumu,swali la muhimu hapa ni kwann aliwekewa sumu au ni kwann walitaka mwakyembe afe?haya ndo maswali ya kujiuliza kama mtu mwenye akili.jiulize mwakyembe anajua nn hasa mpaka watu wakakaa vikao na kuagiza masumu ya kumuua na wewe unajua mwakyembe haongeki wala harubuniki kwa hela na kama utataka kutaja watu wenye upeo mkubwa tz lazima uanze nae na hao waliotaka kumuua walisha liona hili,wakajua ukisha muua mwakyembe waliobaki ni vidagaa
Mkuu, Invisible hii haifai kuwa comment ni bora mkaiweka hapo juu kuliko kuiacha kama comment tu.Akihojiwa na mwandishi wa vyombo vya habari vya UHURU waziri wa ushirikiano wa Afrika Mashariki ameonekana kufuru kutokana na madai yaliyotolewa na Edward Lowassa leo kutokana na sakata la Richmond.
Dr. Mwakyembe amemfananisha Edward Lowassa na 'mshenzi' huku akidai kuwa anateswa na mzimu wa urais!
Hali halisi inaonyesha kuwa sasa CCM kumeibuka vita ya aina yake na inaweza kuisambaratisha vibaya CCM!
Lowassa leo ameonekana kuishambulia vilivyo serikali ya Kikwete kwa kudai kuwa yapo makosa yaliyofanywa katika serikali hiyo!
Hali sasa imefika pabaya!
Hadi October 31/2015 tutayasikia mengi.....!!!
We ndo unaubongo wa samaki kabisa ,mwakyembe kutotaja watu walio mwekea sumu haiondoi thana ya kwamba aliwekewa sumu,swali la muhimu hapa ni kwann aliwekewa sumu au ni kwann walitaka mwakyembe afe?haya ndo maswali ya kujiuliza kama mtu mwenye akili.jiulize mwakyembe anajua nn hasa mpaka watu wakakaa vikao na kuagiza masumu ya kumuua na wewe unajua mwakyembe haongeki wala harubuniki kwa hela na kama utataka kutaja watu wenye upeo mkubwa tz lazima uanze nae na hao waliotaka kumuua walisha liona hili,wakajua ukisha muua mwakyembe waliobaki ni vidagaa
Akihojiwa na mwandishi wa vyombo vya habari vya UHURU waziri wa ushirikiano wa Afrika Mashariki ameonekana kufuru kutokana na madai yaliyotolewa na Edward Lowassa leo kutokana na sakata la Richmond.
Dr. Mwakyembe amemfananisha Edward Lowassa na 'mshenzi' huku akidai kuwa anateswa na mzimu wa urais!
Hali halisi inaonyesha kuwa sasa CCM kumeibuka vita ya aina yake na inaweza kuisambaratisha vibaya CCM!
Lowassa leo ameonekana kuishambulia vilivyo serikali ya Kikwete kwa kudai kuwa yapo makosa yaliyofanywa katika serikali hiyo!
Hali sasa imefika pabaya!
Muda wako umewadia. Muda wako wa kusema ukweli zaidi. Lowassa amekuchokoza leo mjini Dodoma. Amedai kuwa yeye hakuhusika na Richmond. Sakata la Richmond, I mean. Amedai kuwa sakata hilo lilitungwa na kulenga Uwaziri Mkuu wake tu.Hakukuwa na zaidi. Kwa maana nyingine, Dr. Mwakyembe na Kamati yako teule ya Bunge mlitunga kashfa ya Richmond. Yaani,Dr.Harrison Mwakyembe na Kamati yake ni wazushi na waongo!
Dr. Mwakyembe, umepata nafasi adhimu na adimu isiyo na msimu. Nafasi ya kusema hata yale ambayo hukusema Bungeni Dodoma ulipokuwa ukiwasilisha Ripoti ya Kamati yako. Ukweli juu ya sakata la Richmond. Kama Lowassa ameruhusiwa na chama na Serikali kusemea kashfa hiyo, wewe na iliyokuwa Kamati yako hamzuiwi. Mkinyamaza,mtasadifu ukweli wa jina la waongo na wazushi mlilopewa leo hii Dodoma.
Ukiwa nguli wa tasnia ya Sheria, Dr. Mwakyembe panga hoja zako nawe uzungumze na watanzania. Kama huna pesa ya kukodi ukumbi,waite waandishi hata nyumbani kwako. Watakuja na kukusikiliza. Muda wa kulinda heshima yako huu.Kama Lowassa kamwaga mboga, wewe Dr. Mwakyembe mwaga ugali.
Liwalo na liwe!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Arusha)
Ikulu inaelekea kuna biashara ambayo waadilifu kama mwalimu waliokaa miaka 23 hawakuiona,ila mafisadi Wameiona. Au ikulu kweli imekua wodi ya wagonjwa.Ikulu kuna nini jamaniii..mbona watu wanataka kwa gharama yeyote ..ikiwemo kuchafuana?kuna ka escrow gani apo ambako hakaonekani machoni mwa watz mil 46 na ushee tuliobaki..ni kutuongoza tu?kututawala?ama ni nini hasa?
Sitegemei jamaa kumjibu
Alikaa kimya kukinusuru chama!!
Jamani utabiri wa kakobe yaelekea kutimia