Dr. Mwakyembe, muda wako umefika

Dr. Mwakyembe, muda wako umefika

Nami nasema huyo Lowasa anajitakia matusi haya. Tamaa yake ya urais isituweke roho juu. Tangu mwaka 77 yupo ndani ya CCM, ana lipi jipya la kutuambia Watanzania zaidi ya kuendeleza ufisadi? Mlafi sana huyu. Sijui yupoje?
Mkuu tunapoteza muda tu bure humu mitandaoni, hata mtoto aliyezaliwa jana anajua Lowassa hasafishiki hata kwa JIK, atainunua NEC je wapiga kura nasi atatununua?
 
Muda wako umewadia. Muda wako wa kusema ukweli zaidi. Lowassa amekuchokoza leo mjini Dodoma. Amedai kuwa yeye hakuhusika na Richmond. Sakata la Richmond, I mean. Amedai kuwa sakata hilo lilitungwa na kulenga Uwaziri Mkuu wake tu.Hakukuwa na zaidi. Kwa maana nyingine, Dr. Mwakyembe na Kamati yako teule ya Bunge mlitunga kashfa ya Richmond. Yaani,Dr.Harrison Mwakyembe na Kamati yake ni wazushi na waongo!

Dr. Mwakyembe, umepata nafasi adhimu na adimu isiyo na msimu. Nafasi ya kusema hata yale ambayo hukusema Bungeni Dodoma ulipokuwa ukiwasilisha Ripoti ya Kamati yako. Ukweli juu ya sakata la Richmond. Kama Lowassa ameruhusiwa na chama na Serikali kusemea kashfa hiyo, wewe na iliyokuwa Kamati yako hamzuiwi. Mkinyamaza,mtasadifu ukweli wa jina la waongo na wazushi mlilopewa leo hii Dodoma.

Ukiwa nguli wa tasnia ya Sheria, Dr. Mwakyembe panga hoja zako nawe uzungumze na watanzania. Kama huna pesa ya kukodi ukumbi,waite waandishi hata nyumbani kwako. Watakuja na kukusikiliza. Muda wa kulinda heshima yako huu.Kama Lowassa kamwaga mboga, wewe Dr. Mwakyembe mwaga ugali.

Liwalo na liwe!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Arusha)
Tujikumbushe Bungeni mwaka 2006, kutokana na kauli yake aliyoitoa leo kwamba hausiki na RICHMOND.

"Kesho yake, yaani tarehe 1 Aprili 2006 Waziri wa Nishati na Madini, wakati huo Mhe. Dk. Ibrahim Msabaha, (Mb.) akionesha dhahiri kutotaka njia ya international shopping kutumika, akawaita wajumbe wote wa Bodi ya Wakurugenzi ya TANESCO na kuwaagiza wahakikishe kuwa Bodi ya Zabuni ya shirika inawaita tena wazabuni wote waliojitokeza awali na makampuni mengine yoyote yenye uwezo wa kuingiza nchini mitambo hiyo. Aidha, Mhe. Dk. Ibrahim Msabaha, (Mb.) alisisitiza kwa barua kwamba:
“Mshindi wa tenda ya ununuzi wa mitambo mipya atajulikana baada ya idhini ya Serikali kutolewa. Composition ya wajumbe wa TANESCO Tender Board ibadilishwe na kuimarishwa kwa kuwa na wajumbe wenye uwezo na ni pro-active”.

Mheshimiwa Spika, ni dhahiri kuwa agizo hili la Waziri lilikuwa batili kwani Sheria ya Ununuzi wa Umma haimpi Waziri mamlaka ya kuingilia uteuzi wa Wajumbe wa Bodi za Zabuni za mashirika yaliyo chini ya Wizara yake. Agizo hilo la Waziri likafuatiwa na uamuzi wa Waziri Mkuu wa kuliondoa suala hilo mikononi mwa TANESCO na kulikabidhi kwa Kamati Maalum iliyokuwa inaundwa na Katibu Mkuu (Hazina), Katibu Mkuu (Nishati) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Tarehe 13 Aprili 2006, Mkurugenzi Mwendeshaji wa TANESCO wakati huo, Bw. Adriaan Van De Merwe, akaiondoa TANESCO rasmi kutoka kwenye mchakato huo kwa kumtumia Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini nyaraka zote kuhusu zabuni yenyewe na uchambuzi wote uliofanywa na TANESCO."
 
Tujikumbushe Bungeni mwaka 2006, kutokana na kauli yake aliyoitoa leo kwamba hausiki na RICHMOND.

"Kesho yake, yaani tarehe 1 Aprili 2006 Waziri wa Nishati na Madini, wakati huo Mhe. Dk. Ibrahim Msabaha, (Mb.) akionesha dhahiri kutotaka njia ya international shopping kutumika, akawaita wajumbe wote wa Bodi ya Wakurugenzi ya TANESCO na kuwaagiza wahakikishe kuwa Bodi ya Zabuni ya shirika inawaita tena wazabuni wote waliojitokeza awali na makampuni mengine yoyote yenye uwezo wa kuingiza nchini mitambo hiyo. Aidha, Mhe. Dk. Ibrahim Msabaha, (Mb.) alisisitiza kwa barua kwamba:
"Mshindi wa tenda ya ununuzi wa mitambo mipya atajulikana baada ya idhini ya Serikali kutolewa. Composition ya wajumbe wa TANESCO Tender Board ibadilishwe na kuimarishwa kwa kuwa na wajumbe wenye uwezo na ni pro-active".

Mheshimiwa Spika, ni dhahiri kuwa agizo hili la Waziri lilikuwa batili kwani Sheria ya Ununuzi wa Umma haimpi Waziri mamlaka ya kuingilia uteuzi wa Wajumbe wa Bodi za Zabuni za mashirika yaliyo chini ya Wizara yake. Agizo hilo la Waziri likafuatiwa na uamuzi wa Waziri Mkuu wa kuliondoa suala hilo mikononi mwa TANESCO na kulikabidhi kwa Kamati Maalum iliyokuwa inaundwa na Katibu Mkuu (Hazina), Katibu Mkuu (Nishati) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Tarehe 13 Aprili 2006, Mkurugenzi Mwendeshaji wa TANESCO wakati huo, Bw. Adriaan Van De Merwe, akaiondoa TANESCO rasmi kutoka kwenye mchakato huo kwa kumtumia Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini nyaraka zote kuhusu zabuni yenyewe na uchambuzi wote uliofanywa na TANESCO."

Hivi mtu anayepigiwa debe na Rostam Aziz atakuwaje msafi?
 
Kwenye issue hii ya Lowasa nakupenda sana maana umeonyesha kile tumekuwa tukisema kwamba Lowasa ni mwizi mkubwa na fisadi na ole wao wanaodhani ni mtu mwema wakampa nchi tutauzwa kwa sababu ya ulafi wake
Nami nasema huyo Lowasa anajitakia matusi haya. Tamaa yake ya urais isituweke roho juu. Tangu mwaka 77 yupo ndani ya CCM, ana lipi jipya la kutuambia Watanzania zaidi ya kuendeleza ufisadi? Mlafi sana huyu. Sijui yupoje?
 
Lowasa anaweweseka sana kwa sasa. Maana anaona kuwa hakuna wa kumuokoa. Fedha zake alizokwiba ana anazowalipa vijana kama akina MUSSA ALLAN hazijamsaidia kitu

Huyu mzee sijui anataka kutufanyia kitu gani kibaya, eeh Mungu tuepushe na huyu lowasa
 
Mama Clare chochea moto!!!!! CCM lazima iparanganyike b4 October...Chama la madili ya kifisadi kinafia mkononi mwa le professor... naiona UKAWA hiyoooo magogoni Octoba 2015
 
Leo unamkana Mussa Alani(Msalani)? Nini kimetokea jamani? Mbona mimi sielewi? Lizaboni hii ni ID yako au ni mtu mwingine? Munapingana waziwazi wenyewe kwa wenyewe!

Ndani ya chama makundi hayakosekani...kama ilivyokuwa Zitto na wenzake (Mkumbo, Ben Saanane etc) against team Mbowe na wenzake (Tundu Lissu etc)...its very normal
 
Leo unamkana Mussa Alani(Msalani)? Nini kimetokea jamani? Mbona mimi sielewi? Lizaboni hii ni ID yako au ni mtu mwingine? Munapingana waziwazi wenyewe kwa wenyewe!
Haya madude yanaruka na kukanyagana
 
Muda wako umewadia. Muda wako wa kusema ukweli zaidi. Lowassa amekuchokoza leo mjini Dodoma. Amedai kuwa yeye hakuhusika na Richmond. Sakata la Richmond, I mean. Amedai kuwa sakata hilo lilitungwa na kulenga Uwaziri Mkuu wake tu.Hakukuwa na zaidi. Kwa maana nyingine, Dr. Mwakyembe na Kamati yako teule ya Bunge mlitunga kashfa ya Richmond. Yaani,Dr.Harrison Mwakyembe na Kamati yake ni wazushi na waongo!

Dr. Mwakyembe, umepata nafasi adhimu na adimu isiyo na msimu. Nafasi ya kusema hata yale ambayo hukusema Bungeni Dodoma ulipokuwa ukiwasilisha Ripoti ya Kamati yako. Ukweli juu ya sakata la Richmond. Kama Lowassa ameruhusiwa na chama na Serikali kusemea kashfa hiyo, wewe na iliyokuwa Kamati yako hamzuiwi. Mkinyamaza,mtasadifu ukweli wa jina la waongo na wazushi mlilopewa leo hii Dodoma.

Ukiwa nguli wa tasnia ya Sheria, Dr. Mwakyembe panga hoja zako nawe uzungumze na watanzania. Kama huna pesa ya kukodi ukumbi,waite waandishi hata nyumbani kwako. Watakuja na kukusikiliza. Muda wa kulinda heshima yako huu.Kama Lowassa kamwaga mboga, wewe Dr. Mwakyembe mwaga ugali.

Liwalo na liwe!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Arusha)
Toa neno Uzushi kwenya post yako
 
No NO TO LOWASA,hafai kabisa kama yeye hahusiki Richmond atuambie nani anayehusika?hatudanganyiki

Nimekupendaje!!.Atuambie alikuwa wapi miaka 8 iliyopita. Hata hivyo alipewa nafasi ya kujitetea bungeni, kwanini hayo hakuyasema?
 
Hahahahaa, hii kataaji yako nimeipenda. I wish nakuona unavyomgonga na kumnyang'anya form ya kugombea U-Rais.

Back
Top Bottom