Dr. Mwakyembe arejea Bungeni

Kweli aisee basi hata speaker atuhabarishe kama bado anaumwa au anapumzika tu....sisi wadau wake na washabiki wake hatuelewi.....
 
Kuna mtu anaijiita engineer (wa fitna) bado hajaiona hii post!!!!

Endeleeni kumdanganya huyo jamaa yenu kwa mapambio ambayo hayamwongezei hata kura moja. Kama mnampenda nawashauri muje huku Kyela mumsaidie kabla boat haijazama.

Jamaa yupo Dar na wana vikao vingi vya siri hapa Kyela. Tatizo la Kyela ni mji mdogo na umejaa majungu. Hata ukutane na mtu mmoja, kesho hiyo habari inakuwa nje.

Bado wanapanga namna ya kufanya maandamano ya kushinda mafisadi kwa ajali ya gari. Kinachowaogopesha hakuna tena watu wengi wa kumshangilia kwenye maandamano.

Watch this space! na Kyela tutawashangaza sana watu wa Dar.
 
Duu hii kweli kuna mambo humu TZ
 
Nilikuwa kyela wiki mbili zilizopita.Niliyoyakuta uko sijuhi...anyway sikuzunguka vijiji vyote lakini pale mjini kwakweli mpinganaji wetu anakazi..
 
Bahati mbaya watu wengi hawamjui huyu Dk. Mwakyembe. Huyi ni bingwa wa fitina na uzushi! Alimfitini Mzee Mwakipesile mpaka akamshinda ubunge wa Kyela. Mzee Mwakipesile alivyoteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa, Dk. huyo akaendelea na fitina mpaka chama chao cha CCM kikaingilia kati na kikagundua uzushi mkubwa alioufanya Dk. Mwakyembe dhidi ya Mzee Mwakipesile! Rekodi zipo CCM kwa anayetaka uthibitisho zaidi. Kwa Lowassa, nani asiyejua fitina za Dk. Mwakyembe zilizoungwa mkono na Spika Sitta ambaye naye walikuwa hawaivi na Lowassa. Mwakyembe, kwa kushirikiana na Sitta, waliukataa kata kata na kuutupilia mbali hata ushahidi wa wazi maandishi wa Lowassa unaodhihirisha, pasi na shaka yoyote, hayumo Richmond! Mwakyembe alikataa hata kumhoji Lowassa!Mwakyembe mwenyewe ameshindwa, mpaka leo, kutangaza kuwa alikuwa na maslahi binafsi katika kuikandia Richmond, IPTL, Dowans n.k. kutokana na mipango yake ya kampuni ya kufua umeme kwa upepo, ambayo alikuwa anaifagilia njia ili, wakati ukiwadia, ipate kandarasi nono Tanesco! Kwenye hili la kushindwa kutangaza maslahi, Sitta anamsaidia Mwakyembe. Rekodi ziko bungeni, kwenye taarifa rasmi za Bunge, Hansard! Alijaribu kuzusha hata kuwa ajali yake ya gari hivi karibuni, ilipangwa, kinyume na ushahidi wa watalamu uliomwona dereva wake ndiye mkosaji,kwa kwenda kasi bila ya uangalifu! Rekodi ziko Polisi! Siyo mgonjwa, kwani wataalamu bingwa Muhimbili walithibitisha kuwa hakuumia sana. Rekodi ziko Muhimbili, MOI, alikolazwa! Leo mnauliza yuko wapi "shujaa" wetu? Haonekani kwa sababu: (1) anashughulikia mipango yake ya Kampuni ya umeme na miradi yake mingine ya kibinafsi; (2) anasutwa na kutishwa na kivuli chake mwenyewe na anakikimbia na hata Bungeni anapaona pachungu (3) Hajafanya lolote jimboni Kyela, zaidi ya yale aliyoyaacha Mzee Mwakipesile, na saa ya uchaguzi imefika! Watanzania lazima tuwe wakweli, hizi siasa za chuki, fitina, kuoneana gele ambazo Dk. Mwakyembe ni championi wake, hazitufikishi popote! Wapigaji kelele Bungeni, wanaojifanya "wanamgambo" wa Ufisadi wengi tunawafahamu: walikosa Uwaziri au Unaibu Waziri! Wanawaonea gele wenzao na ndiyo maana majimboni kwao hoi! Walitaka ubunge siyo kuwasaidia wananchi wao, bali kujisaidia wao wenyewe kwa vyeo! Wanaifanya hata Serikali yao isuesue na kupoteza muda kutekeleza Ilani ya Uchaguzi!

Bwassa.
 
Kwanza karibu jamvini maana naona ni post yako ya kwanza hii. inaelekea wewe ni member wa mtandao na pro fisadis au wewe mwenyewe ni miongoni mwa waliotuhumiwa katika uchunguzi wa tume ya Mwakyembe. Jaribu kumtendea haki Dr. Mwakyembe. inanipa taabu sana kufikiri kuwa huoni ufisadi unaohusishwa na Richmond, IPTL, Dowans! Loo kweli kuna kazi kama watu wenyewe ndiyo wa aina hii!
 
Endeleeni kumdanganya huyo jamaa yenu kwa mapambio ambayo hayamwongezei hata kura moja. Kama mnampenda nawashauri muje huku Kyela mumsaidie kabla boat haijazama.

Jamaa yupo Dar na wana vikao vingi vya siri hapa Kyela. Tatizo la Kyela ni mji mdogo na umejaa majungu. Hata ukutane na mtu mmoja, kesho hiyo habari inakuwa nje.

Bado wanapanga namna ya kufanya maandamano ya kushinda mafisadi kwa ajali ya gari. Kinachowaogopesha hakuna tena watu wengi wa kumshangilia kwenye maandamano.

Watch this space! na Kyela tutawashangaza sana watu wa Dar.

kama tunapenda mapambio si mtuache? Tatizo lako una propaganda against Mwakyembe kiasi kwamba wananchi walio makini wanashindwa kujua kulikoni? au umetumwa na nani?

Watch your statements bro!
 
Kwanza karibu jamvini maana naona ni post yako ya kwanza hii. inaelekea wewe ni member wa mtandao na pro fisadis au wewe mwenyewe ni miongoni mwa waliotuhumiwa katika uchunguzi wa tume ya Mwakyembe. Jaribu kumtendea haki Dr. Mwakyembe. inanipa taabu sana kufikiri kuwa huoni ufisadi unaohusishwa na Richmond, IPTL, Dowans! Loo kweli kuna kazi kama watu wenyewe ndiyo wa aina hii!

I solute your comments in this post. TATIZO WATANZANIA WENGI TUNA MAWAZO MGANDO TENA SIJUI HILO JIBABA BONGE LA WAPI.
 
Mpiganaji Harrison Mwakyembe ametinga Bungeni leo ikiwa ni mara ya kwanza tangu apate ajali kule Iringa. Habari kutoka Dodoma zinasema akiwa anaelekea kwenye ukumbi wa Bunge alizongwa na watu wengi waliokuwa wakifurahi kumwona akiwa mwenye afya njema na tayari kuendeleza mapambano....
 
karibu kaka. Yaani ulikaa kimya hadi nikawa na hofu pengine ile ajali madaktari...... unajua tena mbinu za mafisadi ni nyingi.
 
Tunakuombea kila kheri Mheshimiwa (sina hakika km unaipenda sana hiyo prefix), naamini hujaenda kusaini mahuduhurio!
 
Re: Hivi Dk. Mwakyembe yuko Bungeni?

Nakubaliana na Engineer. Watu wanalishwa pumba nyingi na hawajui ukweli wa mambo ulivyo. Wananchi wa Kyela wana taabu kubwa katika maendeleo yao wakati Mbunge wao akihangaika na mambo yake binafsi na kutaka Uwaziri, ambao kwa kufanya hivyo anawakandia wenzake Nani alijua kuwa ana hisa nyingi, tena ni za thamani ya zaidi ya Tsh. Bilioni moja na nusu, zaidi ya vijisenti vya chenge, katika mradi wa "umeme wa upepo'?. Hata Bungeni alikataa kusema mpaka ilipobainika hadharani na yeye kukiri kibaguzi kuwa ni "mradi wa watu weusi"? Mwanzo hakusema, baadaye mambo yalipowekwa hadharani akakiri! Alishindwa hata kutangaza "interest" alipokuwa akijadili umeme Bungeni! Hayo mnayozungumza ya ushujaa wake, siyo lugha wanayozungumza Kyela! Engineer mwaga data zaidi kwa kuwa unajua hali halisi! Wanaoishi Marekani na kupata habari za udaku, wajirekebishe!

Bwassa
 
Dr. Mwakyembe usijali kwani Yesu yupo ndani yako, hivyo mafisadi hawakuwezi kamwe na mwisho wao ni 2010 wapendewasipende.Mungu aendelee kukulinda.
 
Unakaribishwa mpiganaji kwa mikono miwili isipokuwa safari hii uwe mwangalifu mkono wa mafisadi ni mrefu na uanweza kudhuru wapambanaji lakini hautukatishi tamaa ya kuendeleza mapambano.Karibu mwana kwetu.
 
Back
Top Bottom