Dr. Mwakyembe arejea Bungeni

kwakweli mukulu hata miye sijamsikia kabisa licha ya rafiki yake selellii kutawala vivhwa vingi vya habari. je,nyota yake imeanza kuzimika au ndo anatuandalia bomu jingine?
 
Leo natafuta kuku nambanika, kufurahia hizi comment zenu! watanzania wakiambiwa wavivu kufikiri huwa hawaelewi, sija na kamwe sitamuona Mwakyembe kuwa shujaa ndani ya CCM ile ile ya kifisadi tuliowajaribu miaka 40 wapi! bado tuko jangwani!

Namheshimu na kukumbali sana Mtakatifu wetu mtarajiwa. Ila huwa napata shida sana kuielewa kauli yake kwamba Kiongozi safi hawezi kutoka nje ya chama twawala. Kama uanachama genetic issue, basi ni kwa sababu wengi wetu tumezaliwa na wanaccm vinginevyo napata mashaka na unabii huu. Pamoja na mapungufu yake siwezi kumlinganisha zitto na serukamba.
 
Anatagemea kugombea 2015, kampeni meneja wake ni Sitta na selellii
sponsor wake ni Mengi ili apate biashara nyingi zaidi za kifisadi
sponsor aliyejificha "kanisa katoliki" ili ipate misamaha ya kodi!!

Kiswahili pia kinaweza kutofautisha vizuri maneno haya "to depend" na "to expect"
Rudia kusoma vizuri kipengele hicho cha bajeti, unless kwako wewe Madhehebu ya Dini na NGO's walizokuwa wakizizungumzia ni 'kanisa katoliki' tu. Wakikusikia wenye dini zao usizozitambua wewe watakufungulia kesi.
 
Anaelewa hakutokuwapo na next time nafikiri ujumbe umemfika ,wanamuwinda vibaya sana .
 
Kiswahili pia kinaweza kutofautisha vizuri maneno haya "to depend" na "to expect"
Rudia kusoma vizuri kipengele hicho cha bajeti, unless kwako wewe Madhehebu ya Dini na NGO's walizokuwa wakizizungumzia ni 'kanisa katoliki' tu. Wakikusikia wenye dini zao usizozitambua wewe watakufungulia kesi.
Mbona unanitisha nafikiri "mode" atanilinda kuna ka-ukweli kidogo nini maana jamaa walivyokuwa "wamechachamaa" utajuwa pale wa-megusa penye mtaji yaani (mshiko)
Heri mimi sijasema
 
Anatagemea kugombea 2015, kampeni meneja wake ni Sitta na selellii
sponsor wake ni Mengi ili apate biashara nyingi zaidi za kifisadi
sponsor aliyejificha "kanisa katoliki" ili ipate misamaha ya kodi!!

SIKU UISLAM na UKRISTO ukifutwa kuna watu tutakuwa hatuoni UTUMBO WAO HUMU NDANI
 
anatagemea kugombea 2015, kampeni meneja wake ni sitta na selellii
sponsor wake ni mengi ili apate biashara nyingi zaidi za kifisadi
sponsor aliyejificha "kanisa katoliki" ili ipate misamaha ya kodi!!

dah,,,,
kweli ukistaajabu ya mussa utayaona ya firauni.
Siku zote nlikuwa najua kuwa mengi ni mlutheri, je ni lini alipogeukia ukatoliki?
 
Anatagemea kugombea 2015, kampeni meneja wake ni Sitta na selellii
sponsor wake ni Mengi ili apate biashara nyingi zaidi za kifisadi
sponsor aliyejificha "kanisa katoliki" ili ipate misamaha ya kodi!!

Sijaelewa uhusiano wa hayo maneno niliyohighlight red,nafikiri unipe details kidogo vingenevyo ninashawishika kuamini kwamba una-chuki binafsi na kanisa ambalo sina uhakika kama mengi ni muumini wake na unatafutie mahali popote uzi-express chuki zako!
 
Kuna ind-direct relationship (hidden)...chuki binafsi wewe wasema mimi nazugumzia "relatioship with special economic interest"
 
Nilikuwa Kyela hivi karibuni ,na yanasemwa mengi sana kuhusu hatma ya Dr Mwakyembe kisiasa!

Kuna habari kule kuwa eti yatakayomkuta kwenye kura za maoni Dr Mwakyembe yatatushangaza wengi sana.Kijana toka UK anarudishwa na wenye chama kuja kula bata!

Dr kawasumbua sana wazee labda atagombea kama mgombea binafsi kama serikali itapigwa mweleka kwenye rufaa yao,likely hata yeye analijua hilo,who knows?

Malafyale,

Mbona unakuja miji ya watu bila kuambiana? Ningekukaribisha na kukutembeza mwana JF mwenzangu na kukuonyesha vijiwe vyetu vya bao.

Afadhali umewaambia wewe maana wengine tukiandika wanasema tunamchukia Mwalyembe.

Dr. Mwakyembe ni mzima na anawasiliana karibu kila siku na team yake Kyela. Ila inasemekana amechanganyikiwa kweli kweli, hakutegemea Kyela inaweza kubadilika kiasi hicho. Hajakata tamaa na bado anapigana na kutafuta mbinu mbalimbali lakini huenda huo uchaguzi ukamgharimu sana Mwakyembe.

Habari kutoka kwa watu walio karibu sana na Mwakyembe ni kwamba mpiga debe wake namba moja Kifukwe alikuwa hapa Kyela kwa ajili ya kiwanda chake cha kukoboa mpunga. Hali aliyoikuta Kyela ilimshutua, akaenda kumpa ushauri Mwakyembe kwamba akibwagwa kura ya maoni itakuwa mbaya sana, ni bora asigombee, Mbunge alisema atagombea tu.

Sisi tunakaa mkao wa kula, mpambano utakuwa mkali kweli kweli. Nimeambiwa huyo kijana mwenyewe atakuwa hapa muda sio mrefu. Sina uhakika maana kila mwezi naambiwa hivyo hivyo anakuja mwezi huu na unaisha bila kuonekana. Labda hata kugombea kwenyewe ni uwongo na wanampa jamba jamba bure Mwakyembe.
 
Anatagemea kugombea 2015, kampeni meneja wake ni Sitta na selellii
sponsor wake ni Mengi ili apate biashara nyingi zaidi za kifisadi
sponsor aliyejificha "kanisa katoliki" ili ipate misamaha ya kodi!!
Sijui una maana gani kwani ni tishio kwa mtu wako nini,mbona unaona kama hawana haki katika nchi hii.Hizo ni dalili za ubaguzi na kulewa ufisadi.
 
Baada ya ajali iliyomtokezea mzee wetu Mwaykembe amekuwa mpole sana hata hasikiki tena ni nini kinachoendelea?
 
Je anaonekana Bungeni? labda bado yuko kwenye matibabu. Tunamuombea Mungu amsaidie apate nafuu kabisa
 
Bungeni hayuko, yawezekana bado anapumzika kwani katika ile ajali aliumia kichwani n a kwa mujibu wa madaktari majeraha ya kichwani ni hatari inahitaji mapumziko ya muda mrefu kabla hujaanza majukumu mazito ya maisha.
 
Back
Top Bottom