Dr. Mwakyembe arejea Bungeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Mwakyembe arejea Bungeni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mmaroroi, Jun 17, 2009.

 1. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #1
  Jun 17, 2009
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Naomba msaada wenu waliokaribu na Dr. Mwakyembe, tangu Bunge hili la bajeti lianze sijamuona.Je yupo Bungeni? au bado anaumwa?
   
  Last edited by a moderator: Jul 21, 2009
 2. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #2
  Jun 17, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,593
  Likes Received: 18,577
  Trophy Points: 280
  bado anapumzika home baada ya ajali. Kulikuwa na mpango wa kusafiri nje for intensive checkup.
   
 3. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #3
  Jun 17, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kwa kuwa anaweza kuandika, naamini kuwa mchango wake kwq hotuba ya bajeti ameshauwasilisha kwa maandishi. Mliopo bungeni tutafutieni amesema nini
   
 4. Calnde

  Calnde JF-Expert Member

  #4
  Jun 17, 2009
  Joined: Oct 7, 2008
  Messages: 1,373
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  katika pitapita zangu sijamwona. . .probably bado analikizo ya ugonjwaand of course anajipanga upya
   
 5. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #5
  Jun 18, 2009
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Jamani Mwakyembe tumemmis sasa hoja ya Richmond itakuwaje?Mpeni pole mpiganaji huyu na Mungu amponye haraka awepo kwenye mjadala wa Wizara ya Nishati na Madini.
   
 6. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #6
  Jun 18, 2009
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mh.Mwakyembe naomba uendelee kuchangia kwa maandishi hata ukiwa nyumbani,mchango wako Bungeni ni muhimu sana.Mungu akubariki.
   
 7. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #7
  Jun 18, 2009
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,314
  Likes Received: 5,607
  Trophy Points: 280
  Bado anajiuguza...maana ile kosa kosa haikuwa ya kawaida.......anapumzika
   
 8. E

  Engineer JF-Expert Member

  #8
  Jun 24, 2009
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 265
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari nilizozinasa hapa ni kwamba kuna mpango unasukwa kwa kushirikiana na spika Sitta. Mbunge Mwakyembe ataenda bungeni mara moja na kupokewa na wabunge na kisha ataaga na kwenda Kyela kupokewa na wananchi kwa maandamano; muda wote ataongozana na waandishi habari wa Mengi. Hapa wanasema maandamano yatakuwa ya kumpongeza kwa kuwazidi kete mafisadi waliotaka kumwua kwa ajali ya lori.

  Ila kuna tatizo moja maana sasa wananchi wa Kyela wameshaanza kuelewa usanii wa mbunge wao. Kuna watu wana wasiwasi hilo zoezi linaweza kuishia kwenye kuzomewa kwake.

  Kila siku kuna vikao jioni kujadili namna ya kufanikisha maandamano hayo. Wacha watuletee pesa na sisi tutaenda na mabango yetu! Tukijua siku tutawaambieni, hata wakishutuka na kuahirisha tutawaambieni pia.

  Vinginevyo vurugu zote za uchaguzi huku Kyela zimetulia sana labda ni calm before the storm. Kukiwa na mambo ya huku mimi nitaendelea kuwaletea habari. Hao akina Shalom hawanitishi maana hawana data, wapige boksi USA, muda wa kukusanya data za Kyela watautoa wapi? Wanachoishia kufanya ni kuongea na mheshimiwa ambaye naye anawajaza pumba kama zile za nilikuta shule mbili za sekondari.
   
 9. R

  Rwabugiri JF-Expert Member

  #9
  Jun 24, 2009
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 2,777
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Nawe unalako na Mwakyembe si useme tu?

  Lakini ukweli unabaki pale kwamba Muumba alimuepusha hayo mauti ya kupangwa!

  Mungu azidi kukujalia afya Dr. urudi uwanjani kwa nguvu mpya hadi mafisadi wazimie.
   
 10. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #10
  Jun 24, 2009
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  You can always read between the lines kati ya pumba na mchele!Sasa hii ni pumba tupu, tena ya kupeperushwa.
   
 11. B

  Bob K Member

  #11
  Jun 24, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  "
   
 12. Congo

  Congo JF-Expert Member

  #12
  Jul 3, 2009
  Joined: Mar 13, 2008
  Messages: 1,274
  Likes Received: 559
  Trophy Points: 280
  Wana JF tangu Bunge la Bajeti mwaka huu lianze sijamwona wala kumsikia Mh. Harisson Mwakyembe? Vipi bado anaumwa tangu apate ajali? Naomba wenye habari anihabarishe!
   
 13. M

  Mwikimbi JF-Expert Member

  #13
  Jul 3, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,745
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  juzi nilimwona kwenye forleni ya ATM pale CRDB TOWER BRANCH
   
 14. Josh Michael

  Josh Michael JF-Expert Member

  #14
  Jul 3, 2009
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,525
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Vita thidi ya ufisadi hawezi kutetewa na watu walewale na wamo ndani ya mfumo uleule, samaki mmoja akioza wote wameoza
   
 15. P

  Pakacha JF-Expert Member

  #15
  Jul 3, 2009
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 816
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Moto wa kifuu. Huyo jamaa angepaswa kuwa moto wa makumbi. Lakini wapi!!!!!
   
 16. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #16
  Jul 3, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Haiwezi kutetea vilevile na CCMB!!!
   
 17. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #17
  Jul 3, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Anatagemea kugombea 2015, kampeni meneja wake ni Sitta na selellii
  sponsor wake ni Mengi ili apate biashara nyingi zaidi za kifisadi
  sponsor aliyejificha "kanisa katoliki" ili ipate misamaha ya kodi!!
   
 18. Malafyale

  Malafyale JF-Expert Member

  #18
  Jul 3, 2009
  Joined: Aug 11, 2008
  Messages: 11,214
  Likes Received: 3,626
  Trophy Points: 280
  Nilikuwa Kyela hivi karibuni ,na yanasemwa mengi sana kuhusu hatma ya Dr Mwakyembe kisiasa!

  Kuna habari kule kuwa eti yatakayomkuta kwenye kura za maoni Dr Mwakyembe yatatushangaza wengi sana.Kijana toka UK anarudishwa na wenye chama kuja kula bata!

  Dr kawasumbua sana wazee labda atagombea kama mgombea binafsi kama serikali itapigwa mweleka kwenye rufaa yao,likely hata yeye analijua hilo,who knows?
   
 19. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #19
  Jul 3, 2009
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,598
  Likes Received: 3,890
  Trophy Points: 280

  Leo natafuta kuku nambanika, kufurahia hizi comment zenu! watanzania wakiambiwa wavivu kufikiri huwa hawaelewi, sija na kamwe sitamuona Mwakyembe kuwa shujaa ndani ya CCM ile ile ya kifisadi tuliowajaribu miaka 40 wapi! bado tuko jangwani!
   
 20. A

  AmaniKatoshi Senior Member

  #20
  Jul 3, 2009
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 158
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35

  Wewe ndio hamnazo kweli, Mengi ni mkatoliki? Kwani kinachoikuuma Mengi kuwa sponsor anyhow ni nini haswa?
   
Loading...