Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,157
- 10,828
Naona hapa swali linalotakiwa lijibiwe ni unatumia njia gani au kigezo gani kusema flani hana PhD? Hili suala halijibiwi badala yake wanaingia humu akina Kanda2 bin GT nakuanza kurushia posts zisizo na kichwa wala miguu.
Dear Abdulhalim; nakumbuk swala hili tulilijadili sana kwenye therad tangu Msemakweli alipoweka haya mambo hadharani.
Kuweka foundation ya swali lako lazima tujue kwanza definition ya PhD ni nini, maana nazo ziko aina nyingi;
Research doctorates
Higher doctorates
Professional doctorates
Honorary doctorates
soma kwa undani; http://en.wikipedia.org/wiki/Doctorate#Research_doctorates
The main problem I see here is that we as a country hatuna standard, hata hao TCU hawana criteria za kusema sisi kama taifa la Tanzania mtu wa PhD ni nni, we rely on heurastic judgements. Naona athari tu za ukoloni za kutaka kusema british system ndio sahihi kwa hiyo tufuate kama wanavyosema au tulivyozoea!!!
kila nchi wanastyle zao na namna yao ya kupata PhD. UDSM bado wana british system kuwa ufanye reserach tu, Canada mathalan lazima ufanye course work. Japan is even worse wana course nyingi tu. Hii inapelekea hata miaka kutofautiana. Nhci nyingine PhD ni lazima uwe na masters, wakati nyingine PhD you can take it after having first degree.
Ni swala linalohitaji mjadala mpana hasa kwa dunia ya tatu maana watanzania wametawanyika dunia nzima na kila watu wanasoma kwa standard za nchi zao, sisi bado sana.
Utandawazi na matumizi ya internet yameharibu mifumo mingi kiasi ambacho mtu kupata degree yoyote ni fedha tu!
However my take on this ni kuwa kwa nchi kama Tanzania watu wanafoji na wataendelea kufoji vyeti kutokana na aina ya maisha tuliyonayo, culture, kupenda misifa, kuajiriwa kwa kutumia vyeti, uwizi wa mitihani n.k vyte hivi vimeharibu sura ya taifa
Nchi za wenzetu they dont bother we iba hicho cheti watu watakukamata kwenye publications za kila wakati.
Kama una PhD holder Tanzania na tangu alipopata PhD hajawahi kuandika paper yeyote wala kitabu unategemea nini? watu wataendelea tu kuiba, mpaka jua lishuke, na sisi humu tutasema wee! maana wanakula na kunywa!
solution (independent)
,
1. Kubadili mfumo wa elimu, elimu yetu ni ya darasani zaidi kuliko practical, kiasi cha kuwa mtu anawaza akiwa na A au cheti kizuri ndiyo katajirika!!
2. Professional bodies zihakiki vyeti kabla ya kumsajiri mtu
3. PhD holder wawekewe requirements kuwa(say) kila mwaka lazima wa-publish paper let say tatu ( kupublish kunategemea fedha ya research ambayo tunajua serikali haina uwezo/ au haitaki sijui). Kutokuwa na fund ya research ndio kunaozesha elimu kila mtu anakuwa na PhD hajui matumizi ya PhD!!
4. Kuwe na peer reviewers wa hivi vyeti mbali na TCU na colleges
ALL THESE SOLUTIONS CAN BE COMPLEMENTED AS SEEM NECESSARY
Tatizo ni kubwa na ninaamini mjadala huu uwe kutatua tatizo, nini hasa kinawafanya watu wawaze PhD? masters n.k? where is the problem. Utakuta tukikaa na kutoa povu kwa hawa wakubwa , tunaua nyuki mmoja katika mzinga!!, tatizo ni kubwa. Nakumbuka miaka ya themanini mwishoni na tisini mwanzoni watu wameiba sana mitihani ya form four, leo hii hao watu ni wakurugenzi!!!!!
Kuna mbotswana mmoja aliniuliza kwa nini unasoma masters?? kitu gani katika dunia ya sasa hivi lazima kihitaji mtu wa masters na mtu wa degree ya kwanza hawezi kufanya? kwenye academic is another case
why are we after these masters and PhD, tukijua tatizo ndio tutaona ukubwa wake