Dr. Mathayo's Degrees Are Authentic - TCU

mzee unataka kujua authenticity ya degree ya mtu kwa kuangalia title? you need also to see problem statement and objective as well! usisahau hypothesis na methodology

How can you judge someone from title?

It is very Simple my friend the Title define exactly what it is you intend to do!!! and that goes down to the literature review, hypotheses formulated and data and findings of your research.

Kama mtu makini hiyo sio tatizo hata kidogo. Kama mtu mazishi ndio ishu inaanza tunaomba title mkubwa!!!! Msituletee white wash statements
 
'Fake' PhD MPs dodge TCU

MASEMBE TAMBWE, 16th February 2010 @ 01:27, Total Comments: 9, Hits: 1103

THE Tanzania Commission for Universities has yet to receive degree document for certification from any of the alleged senior cabinet members and Members of Parliament with questionable academic qualifications.

“We have not yet received any certificates for certification from any minister or member of parliament but our doors are always open,” the TCU Senior Public Relations Officer, Mr Edward Mkaku, told the 'Daily News' in Dar es Salaam today.

Mr Mkaku said that the issue surrounding fake academic qualifications has been a debate for years and that it was recently fuelled by the launching of a book authored by Erick Keinerugaba who published the identities of those alleged to possess fake documents.

During a press conference held last week, the TCU Executive Secretary, Professor Mayunga Nkunya, condemned the book saying that it was an infringement to personal affairs and that TCU doesn’t support the move and will never do so.

Mr Mkaku said that after the book had aroused a lot of talk, Prof Nkunya deemed it necessary to hold a press conference and issue TCU’s stand on the matter and also ask those allegedly mentioned in the book to take their certificates for certification and give them the chance to respond.

“The author of the book has no right to reveal whether or not a person possesses a genuine or fake doctorate degrees, which is personal and should be left at that,” Mr Mkaku stressed.

He explained that the TCU procedure of certification entails that one fills a form when bringing certificates to be certified and only the person who brought the document will be given back and that the outcome is not publicised.

In another development, TCU has voiced its concern for the Speaker of the Parliament, Mr Samuel Sitta, to have cleared the Deputy Minister for Agriculture, Food Security and Cooperatives, Dr Mathayo David Mathayo, of a fake doctoral degree.

Mr Mkaku explained that though Mr Sitta can, with the authority vested on him, speak about the matter, he did not, however, have the mandate to certify whether the degree was genuine or a fake and that should be left to TCU alone.

“Only TCU has been given the mandate to verify whether a degree is genuine or fake,” he said.

Last year it was reported that eight senior cabinet members and Members of Parliament were among recipients of questionable academic qualifications, particularly Doctorate Degrees (PhDs), from overseas Learning Institutions that are not internationally recognised.

The report mentioned the institutions which issued the doubtful qualifications which include Washington International University based in Hawaii, Commonwealth Open University based in Caicos Virgin Island, Free States University, Ambala University in India and Almeda University, USA.

Kumbe Sita naye ni bomu kabisa; ndiye anayepiga debe hilo la digrii hiyo ya Mathayo. Mambo haya ya PHD feki yalipoanza kupamba moto mwishoni mwa mwaka 2006, mimi nilifuatilia kutafuta thesis ya bwana Mathayo pale University of the Free State lakini sikuipata. Kwa vile sikuwa na uhakika na jina alilotumia na title kamili ya thesis yenyewe basi ikawa vigumu kuipata, na jina la Mathayo Davidi halikuwamo kabisa kwenye database ya authors wao wa mwaka 2003 na 2004.
Kaka Kichuguu huyu bwana hata mtihani wake wa kidato cha sita alifanyiwa PCB Tosamaganga.alipewa mitihani yote.kama alifanyiwa A level hadi Phd anaweza kuwa kanunua au kafanyiwa. na ana majina mengine mengi.
 
sio tatizo ni UDSM, tatizo wengi hawajui hizi elimu zimetofautiana kabisa,

Japan PhD you can make in 2.5yrs tena ya engineering! ukimweleza mtu mwingine anadharau, simply kwa sababu amemeza na ku-crame. angalia Japan wako wapi

watanzania tuna kasumba ya kuringia system zetu hata kama sio nzuri, Kenya tu hapo huwa tunawadharau na elimu yao, leo hii sh. 1 ya kenya sawa na 17 ya kitanzania !

kinachosikitisha wengine ni wasomi na wako na internet kila wakati, hata kujisomea tu kutafuta habari mtu anaona uvivu, mlete uwanja wa ubishi anajua yeye!

Mkuu
wangu kweli kuna kasumba mbaya sana, eti kama wewe umesoma sheria miaka mitano na mimi nikisoma miaka miwili naonekana feki. teh teh teh.

Mtu kama unafundisha kwa chaki utamaliza silabasi kwa mda gani? mwenzio anashusha mouse ukutani.tehteh

Tumetoka zetu bongo kijijini na mkenya fulani ,ile tunaingia ktk lecture tunakuta mouse inatembea ukutani du!
Mkenya na mie tukanza hawa jamaa hawajui kufundisha ,mtu ili uone amefundisha lazima ashike chaki pale ubaoni.teh teh teh teh
 
* Home
* About Strathclyde
* Studying
* Research
* Campus Life
* Visiting
* A-Z Index
* Contact
*

* ... >
* Business School >
* Accounting & Finance >
* Research Students
*

university of strathclyde

Research Students

secondary navigation
skip to main content

* Accounting & Finance Home
* Contacts
* Current Undergraduate Students
* Current Postgraduate Students
* Prospective Students
* Postgraduate Courses
* Staff
* Research Students
o Prospective research students
* Research
* Alumni
* Industry Links
* Department Presentations 2008/09
* Disability Information
* News Stories

Search this site

main content
Current

* Norazita Marina Abdul Aziz
* William Finlay
* Mary Fletcher
* Zuraeda Binti Ibrahim
* Sharifah Norhafiza Syed Ibrahim
* Pippa Yixiong Li
* Laura McCann
* Daniel McGregor
* Stacey McPhail
* Ho Huu Thuy
* Fiona Conway

Past
Name Award Title of Thesis Supervisor
Omar Bin Samat DBA The Long Run Share Price Performance of Privatised Initial Public Offerings Prof JR Davies/ Prof AP Marshall
Samuel Agyei-Ampomah PhD Investor Interaction and Excess Volatility in Financial Assets Prof JR Davies
Walter Masocha PhD An Expecations Gap Perspective on the the Auditor's Going Concern Decision in the Context of Financial Distress and Earnings Management: UK Imperital Evidence Prof P Weetman
David John Hillier PhD Insider trading Prof P Yadav
Stergios Leventis PhD Voluntary Disclosure in a European Emerging Capital Market: the Case of the Athens Stock Exchange Prof P Weetman
Suleiman Rashid Mohamed PhD Quality of Information and Behaviour of Risk Around Information Events Prof P Yadav
Robert Bedford PhD The Importance of Company and Asset Characteristics in the Use of Leasing Finance in the United Kingdom: An Investigation Prof JR Davies
Andrew Man Kit Wu PhD Efficient Lattice Methods for Pricing Interest Rate Options and Other Derivative Prof RC Stapleton
Dapeng Xu PhD Essays on Theoretical Credit Risk Modelling Prof RC Stapleton
Maria Do Rosario Carvalho Dias Costa Correia PhD The Design of Corporate Debt: Evidence from Eurobind Issues Made by UK Companies Prof AP Marshall
Isaya Jayambo Jairo PhD Determinants and Dynamics of Capital Structure in the UK Prof JR Davies
Panayiota Pastra PhD A Descritive Theory of the Big Accounting Firm Dr P Ciancanelli
Lapinee Dhasanapongsakul Kosonboon PhD The Relevance of International Accounting Standards for Developing Countries - the case of IAS-41 in Thailand Prof P Weetman
Patrick Matthew McColgan PhD Corporate Governance in the UK, Post-Cadbury Prof D Hillier
Porches Ngatuni PhD The Long Run Performance of UK Equity Issues Prof AP Marshall/ Mr J Capstaff
Nazli Anum Mohd Ghazali PhD Exploring Theoretical Explanations of Voluntary Disclosure by Qualitative and Quantitative Investigation: Evidence from Malaysia Prof P Weetman
Hardo Basuki DBA The Impact of the 1997 Abolition of the Tax Credit on Dividends in the UK, and Corporation Dividend Policy Mr J Capstaff
Georgios Georgakapoulos PhD Exploring Accounting and Accountability in Scottish Salmon Farming: An Industry in Crisis. The Importance of Risk Communication, Risk Perception and Reflexivity Mr I Thomson
Mark Shenkin PhD The (Re-) construction of Accountability Discurcive Space, Habitus and Reflexivity Dr AB Coulson
Ernest Minan Abel PhD Performance of UK Ermerging Market Unit Trusts: 1993-1999 Prof J Fletcher
Suzanne Bunniss PhD Purpose and Gift: Resisting Vocation Capture in Accounting Education: The Story from One Scottish University Mr I Thomson
Khine Aye Myat Kyaw PhD Market Liquidity: Emperical Evidence from the LSE Prof AP Marshall/Prof D Hillier
Ke Peng PhD Essays on Market Microstructure of London Stock Exchange Fixed Income Securities Market Prof P Yadav/Prof AP Marshall
Samwel Marwa Werema PhD An Analysis of Corporate Restructuring in the UK Prof D Hillier/Prof AP Marshall
Mohamed Salem PhD Management Accounting Prof C Cooper
Joseph Mabula Kihanda DBA An Examination of the Four Moment Capital Asset Pricing Model in UK Industry Returns Prof J Fletcher
Marco Guiseppe Domenico Guidi PhD Asset Pricing, Glamour and Value Controversy UK Imperical Evidence Prof JR Davies
Norashikin Ismail PhD Earnings Management and Forecast Accuracy: A Study of Malaysian IPOs Prof P Weetman
James Boyd McFie PhD High Quality Financial Reporting, The case of the Nairobi Stock Exchange Prof P Weetman
Patricia Ntozi-Obwale PhD An Examination of the Conditional Selectivity and Market Timing Performance of UK Unit Trusts Prof J Fletcher
Peter Sudar PhD The Political Economy of Accounting and Change - The Case of Albania Dr P Ciancanelli
Tubagus Nur Ahmad Maulana PhD Empirical Risk Management in Emerging Markets Prof AP Marshall
Nor Hanim Sulaiman PhD Cultural Theory, Social Arena Accountingisation and Value-based Organisations: Exploring Risk Perceptions and Risk Reporting of Statutory in Malaysia Prof C Cooper/Mr I Thomson
Alistair Byrne PhD Pension Funds Prof AP Marshall
Shona Russell PhD Exploring the Government of and Accountability for Water in Scotland. Mr I Thomson/Dr A Coulson
Jittima Suphakasem PhD An Evaluation of Corporate Governance Disclosure: Evidence from Malaysia, Singapore & Thailand Prof AP Marshall/ Dr P Ciancanelli

* Staff
* Alumni & Development
* Business & Organisations
* Press Centre
* Vacancies
* Freedom Of Information
* Feedback

© University of Strathclyde Edit

Hao niliobold ni wazawa mzee PhD zao hazidanganyi na Title waziona!!!! hivyo tunajua wameshukia wapi na tukienda online tunazipata kazi zao. Haya Mathayo Title yake ipi na yuko katika buku gani la graduates!!!!
 
It is very Simple my friend the Title define exactly what it is you intend to do!!! and that goes down to the literature review, hypotheses formulated and data and findings of your research.

Kama mtu makini hiyo sio tatizo hata kidogo. Kama mtu mazishi ndio ishu inaanza tunaomba title mkubwa!!!!

Inaonyesha haujawahi kufanya publications wala hausomi papers na thesis mbali mbali
nenda sciencedirect, sage,springelink etc

kuna mara nyingi unaweza ukawa una search paper of you are subject lakini content ikawa tofauti kabisa. Na ndio maana katika kila paper hivi sasa lazima kuna keywords ili ujue unatafuta nini!

Nafanya thesis ambayo ukiiangalia title naweza kabisa kukudanganya nafanya nini(maana iko so broad), lakini ukiangalia objective you will precise know what I am doing.

kwa hiyo kama wewe ni supervisor inabidi uchukue thesis document yoote ndiyo utapata jibu.
 
Pengine sijaelewa maada,Mathayo alisoma hiki chuo?

na je ni vyuo vyote duniani ambavyo vina utaratibu huu, ninavifahamu vyuo ambavyo wana utaratibu huu,lakini sio kila mtu anaweza ku-access, mpaka utumie IP ya chuo husika, au uwe na password.
 
Inaonyesha haujawahi kufanya publications wala hausomi papers na thesis mbali mbali
nenda sciencedirect, sage,springelink etc

kuna mara nyingi unaweza ukawa una search paper of you are subject lakini content ikawa tofauti kabisa. Na ndio maana katika kila paper hivi sasa lazima kuna keywords ili ujue unatafuta nini!

Nafanya thesis ambayo ukiiangalia title naweza kabisa kukudanganya nafanya nini(maana iko so broad), lakini ukiangalia objective you will precise know what I am doing.

kwa hiyo kama wewe ni supervisor inabidi uchukue thesis document yoote ndiyo utapata jibu.

Usitudanganye mkubwa hahaha

Huwezi kuandika Title ya Animal Science wakati unafanya asset pricing model!!!. Huwezi kuandika non-atomic movement wakati unafanya microeconomics. Hizo broad unazozingumza labda ulisema paper unanizozijua peke yako but mie katika kusoma kwangu articles na nazungumza hivyo nikiwa na authority tu kwasababu nimezisoma sana.

Paper nyingi zinazoandikwa kokote duniani unazijua zinafanya nini katika abstract na introduction. Akicomplicate sana ndio utaingia katika hypotheses. Na hiyo paper ni moja katika paper 50 au 100. Hivyo Mathayo atupe thesis Title yake tukaisake msitake kutudanganya bwana hamna kitu hatujaamini bado
 
Bado sijajajibiwa swali langu je Free State University na University of Free state ni chuo kimoja!!!!
 
mzee naona unaanza kuruka ruka! ninachosema ni kwenye area moja ya subject! ebo! na kwa level za PhD these areas are even narrower

naamini naongea na mtu anayeelewa sijasema unaweka titile ya political science huku unafanaya economics!!!

Hakuna anyekudanganya hapa, tunataka tu-evaluate methodology yako ya kujua authenticity ya research ya mtu kwa kuangalia title tu!

tukijua huu utaalamu wako word to word, hata mimi nitakuiga mkuu!
 
Mfano kamanda Tizama hao washkaji niliokupa from Strathclyde mfano Suleiman Rashid Mohamed Title inasem hivi
"Quality of Information and Behaviour of Risk Around Information Events". Hapa unakuta kuwa anazungumza two things Information quality and events. Then mtu unaenda katika literature yake kama alifyatua vitu huko utamkuta (I mean papers hata kama ni unpublished papers maana google ni powerful).

Kisha siku hizi kuna webmaster ina store thousands if not milion of thesis throughout the world, kama ukiwa kinganganizi unaweza mfata jamaa chuoni kwake ukaitafuta thesis yake library. Ukiipata iangalie Abstract yake itakuambia yeye katika Information Quality alifocus wapi na amepata nini.

Kwasababu in any paper mara nyingi unakuta wanaelezea kitu wanachofanya na kinafaida gani kwa jamii (i.e. the contribution).
 
Bado sijajajibiwa swali langu je Free State University na University of Free state ni chuo kimoja!!!!

du kazi kweli kweli

je Dar es salaam university na university of dar es salaam ni vyuo viwli tofauti ama kille kile?
 
Kwani London Business School na London School of Business Chuo kimoja!!!! Au mnatufanya sie watanzania wengine ni wehu!!! Jamani???
 
A PhD in Animal Science?
1. Kwanini TIC wasiandike tittles za hizo thesis? MSc na PhD. Hizi zitatusaidia kujua kama kuna muendelezo wa alichofanya Masters kwenye hiyo PhD na pia kujua ni utafiti gani, ulohusisha wanyama gani. Ukizingatia kipindi husika chatajwa pia alikuwa India kwenye course tofauti kabisa na sayansi wanyama, yaleta maswali kuhusu utafiti alofanya ambao ndo wapaswa kuwa habari kwenye thesis yake.
Naungana na wanaoshangaa kwanini imechukua miaka mingi hivi kufikisha tu vyeti kwa spika na TIC na kwanini sasa.

2. Anahofia/asubiri nini kumfikisha msemakweli mahakamani kama hakuna ukweli anohofu utammaliza?
 
sio tatizo ni UDSM, tatizo wengi hawajui hizi elimu zimetofautiana kabisa,

Japan PhD you can make in 2.5yrs tena ya engineering! ukimweleza mtu mwingine anadharau, simply kwa sababu amemeza na ku-crame. angalia Japan wako wapi

watanzania tuna kasumba ya kuringia system zetu hata kama sio nzuri, Kenya tu hapo huwa tunawadharau na elimu yao, leo hii sh. 1 ya kenya sawa na 17 ya kitanzania !

kinachosikitisha wengine ni wasomi na wako na internet kila wakati, hata kujisomea tu kutafuta habari mtu anaona uvivu, mlete uwanja wa ubishi anajua yeye!

Mkuu vipi mbona leo umeamua kwenda low sana! Chuo gani Japan mtu kasoma PhD kwa miaka 2.5.....tunadata bwana! Matayo hana PhD tumesema toka mwanzo atuonyeshe thesis na majina ya supervisor
 
Mfano kamanda Tizama hao washkaji niliokupa from Strathclyde mfano Suleiman Rashid Mohamed Title inasem hivi
"Quality of Information and Behaviour of Risk Around Information Events". Hapa unakuta kuwa anazungumza two things Information quality and events. Then mtu unaenda katika literature yake kama alifyatua vitu huko utamkuta (I mean papers hata kama ni unpublished papers maana google ni powerful).

Kisha siku hizi kuna webmaster ina store thousands if not milion of thesis throughout the world, kama ukiwa kinganganizi unaweza mfata jamaa chuoni kwake ukaitafuta thesis yake library. Ukiipata iangalie Abstract yake itakuambia yeye katika Information Quality alifocus wapi na amepata nini.

Kwasababu in any paper mara nyingi unakuta wanaelezea kitu wanachofanya na kinafaida gani kwa jamii (i.e. the contribution).

Quality of Information and Behaviour of Risk Around Information Events

Ebu i-describe basi,

1. Kwanza is this masters thesis, U/G-(thesis/project) or PhD thesis ????

2. Which area is this? computer?, journalism?, risk analyisis(in engineering, sociology, banking, economic etc)? au engineering??

Naomba nijue bado sijakuelewa mkuu methodology utakayotumia ku-judge research ya mtu kupitia titile tu
 
Kwani London Business School na London School of Business Chuo kimoja!!!! Au mnatufanya sie watanzania wengine ni wehu!!! Jamani???

Haya bwana mkuu ,umeshinda

Nimekwambieni njia rahisi mwenye data nzuri kwa jinsi alivyogushi, aandike barua kwenye vyombo vinavyohusika huko south afrika na ktk magazeti.ili chuo kinachouza digrii kishugurikiwe na mnunuzi pia huku tumbane nafikiri hilo litakuwa fundisho kwa walanguzi.

Kelele tunazopiga hapa hazisaidii.
 
Quality of Information and Behaviour of Risk Around Information Events

Ebu i-describe basi,

1. Kwanza is this masters thesis, U/G-(thesis/project) or PhD thesis ????

2. Which area is this? computer?, journalism?, risk analyisis(in engineering, sociology, banking, economic etc)? au engineering??

Naomba nijue bado sijakuelewa mkuu methodology utakayotumia ku-judge research ya mtu kupitia titile tu

Itazame hiyo thesis Title imeandikwaje?

"Quality of Information and Behaviour of Risk Around Information Events"

Suleiman Rashid Mohamed PhD (Finance)

That means his thesis is in Finance focusing in Quality of information and the investor behavior towards risk during information events. (Ukitype katika google lazima itakupeleka katika area husika na jamaa kama alipublish papers humo kama hajapublish ndio basi).

Njoo kwa Mathayo PhD (Either Agriculture or Animal Science)

Title- Unknown.

Chuo - Not Clear Free State University or University of Free State? (The first thing in a PhD is to learn about reputation sie tuliosoma masters tunalijua hili nashangaa aliesoma PhD halijui)

Jamani mie naenda zangu kulala usiku mwema nilikuwapo!!!!
 
Mkuu vipi mbona leo umeamua kwenda low sana! Chuo gani Japan mtu kasoma PhD kwa miaka 2.5.....tunadata bwana! Matayo hana PhD tumesema toka mwanzo atuonyeshe thesis na majina ya supervisor

Nimekupa information kuwa Japan watu wanachukua PhD mpaka miaka 2.5, maximum ni miaka 3, ninawfahamu watu wawili ambao wamemaliza kwa style hiyo

Still umeniambia niko low sana, it means wewe ndio unauelewa zaidi, so uko kwenye position nzuri ya kuleta taarifa sahihi

Huwezi ukamwambia mtu yuko low, still unataka uthibitisho! logicaly doesnt not sound correct,? au sio

kwa hiyo kama unataka vyuo majina vya vyuo, tuma tena post isiyo na condemnation!!
 
Kwani London Business School na London School of Business Chuo kimoja!!!! Au mnatufanya sie watanzania wengine ni wehu!!! Jamani???
sio kimoja mkuu. duuh inabidi ukafanye kazi TCU hivi nondo inabidi apewe MSEMAKWELI.
 
Back
Top Bottom