Hivi nipe definition ya methodology? nimekueleza katika thread zilizopita namna ya kufahamu umakini wa kazi ya mtu kama umezisoma badala ya kushabikia ni hivi kutwambia umefanya PhD ya Agriculture haitusaidii kitu kutambua ulichokifanya ni kama kutamba nina Masters Degree bila wadau umefanya nini Masters of Law (LLM) au Masters of Science, au Masters of Arts ushanifahamu!!!!
PhD ya Mtu kama Dr Suleiman Mohamed na wengineo hata Professor Lipumba huandikwa Title mzee itusaidie kuipata abstract ya muhusika thesis yake!!! (unless hujui maana ya abstract). Ndani ya abstract ndio utajua objectives za mtu kufanya huo utafiti, findings alizopata ili zitusaidie kufahamu contribution yake katika ulimwengu wa ufahamu (kama unafahamu nini maana ya contribution).
Sasa wewe ukienda kulibandika liPhd lako ubao kuwa
Mfano Weberoya PhD (Farming) then so what!!!! lazima utueleza ulifanya utafiti sehemu gani na watu walio makini hawaogopi kusema kwasababu ukienda utawakuta mkubwa. Watu wenye wasiwasi ndio huficha ficha wanaogopa wasikamatwe.
Mdondoaji acha kupanic, nimeshakueleza sikutuma post zangu kujua ukweli au si uwongo wa thesis ya Mathayo , mimi hainihusu, ulisema ukijua tu title unaweza kuhakiki thesis ya mathayo kuwa ni halali au haramu, sasa haujanipa jibu mpaka sasa hivi unawezaje kuhakiki research ya mtu kujua titile tu? maana unachosema hapa kumbe ni kitu ambacho hakuna mtu JF anayeweza kukupa unless umuone Mathayo mwenyewe akupe title na kila unachokihitaji. Mkuu mimi sina cha ushabiki, wewe ni mjuaji mno!
Halafu kwepa hayo maneno kama("unless haujui abstract ni nini") haikusaidii wewe wala anayezisoma hizi post, sana sana zinakumulika jinsi ulivyo, Kumbuka hatujuani humu!
Halafu ukumbuke hamna zawadi ya kushinda ubishi humu, wengine tukona mtu mjuaji basi wewe ndie mshindi
Kweli Weberoya unataka kuniambia kuwa PhD za watu mlimani hazijulikani Title zao??? Na kama hazijulikani basi kwanini wanafanya utafiti??? Kwanini asikurupuke na lijiproject lake akasema kuwa amefanya utafiti katika poverty au finance au wapi kwanini aseme title yake? Hebu nipe hoja zako nikujibu?? na sio kusubiri nikutafunie mie. Mimi sikubaliani na Mathayo hadi anithibitishie hivyo vitu otherwise naweza kusema PhD yake ni questionable na sababu nishazieleza mwanzoni;
a. Chuo gani amesoma Free State University au University of Free State?
b. PhD (Agriculture/Animal Science)
c. What is the Title (Intensive Farming?, sustainable agriculture etc)?
d. Kuna wadau wanauliza why now???
Sijasema hivyo, PhD za mlimani hazina title what makes you to say that? nini nilichosema kupelekea wewe kusema hivyo. It seems your only way of authenticate someone's work is through internet!, nikauliza wa wale ambao kazi zao haziko kwenye internet inakuwaje? mzee una-digress issue purposely!
Mdondoaji wewe ni nani? mtu wangu hata ukiikataa wewe itamsaidia au kumuharibia nini mathayo?, mimi naona tunakichofanya ni jinsi gani yakuweza kuhakiki kazi ya mtu. Kwa hili mimi simsemei Mathayo kama nilivyosema kilichoniingiza mimi na wewe kudebate ni kule kusema ukiiona titile tu ya mtu basi una weza kuhakiki, unless ukatae sasa kuwa haukundika hivyo!
kwa hiyo kama hamna jinsi ya kuakiki kazi ya mtu based on internet only, naomna niishie hapa!
umemaliza kila kitu hata mimi Kanda2 nimeelewa.naona nikuite Mwalimu Mdondoaji kama kuna email ya Mathayo na TCU tuwatumie ujinga wao waliofanya. labda Waberoye ndio Mathayo mwenyewe.
Wenzako huwa wanakwepa sana kutafuta cheap ku-conclusion ambayo ina kudevalue wewe,
inaonekana umeingilia mjadala katikatia, my debate na Mdondoaji ni kuwa alisema akiipata tu title ya Mathayo anaweza kuhakiki kuwa ni PhD ya kweli au ya uongo.
sasa sijajua kusema Mathayo ndiye waberoya inakuja vipi na inaaanzia wapi, hakuna sehemu yoyote niliyomtetea Mathayo kwa namna yoyote, hata ile kujua kuwa alifanya kilimo ndiyo najulia hapa, mimi ni mhandisi wa ujenzi mtu wangu na sifichi hilo. Sijajau hiyo conclusion maana inamaana nyingi sana, labda ni kujikomba kwa mdondoaji au unaona ukikaa kwenye keyborad unaweza kupost kitu chochote kile!
Mdondoaji: naona tuishie hapa mkuu, Inaonekana sikukuelewa kabisa, maana nilitaka kujua jinsi ya kuhakiki kazi ya mtu kwa kujua title tu. kama nilikulewa vibaya lets end here! sikukuelewa mkuu kwenye post yako ya 67 paragraph ya nne sentensi ya kwanza, na post yako ya 81 paragraph ya kwanza sentensi ya kwanza. mimi nilitaka kujua tu utaalamu wako huo. Mathayo hanihusu mimi akiwa amefoji hajafoji shauri zake mimi haniumizi tumbo kabisa!