Dr. Mathayo's Degrees Are Authentic - TCU

Dr. Mathayo's Degrees Are Authentic - TCU

if you were there and failed to understand them,that was completely your fault(of course caused by a language barrier),and if you expected them to be good in English then that's why you were disappointed.[/QUOTE]

Sasa kwanini nikasome chini ya usimamizi wa mtu ambae hawezi kunielewesha kwa lugha ninayoielewa? kuanzia secondary school nimesoma kwa kiingereza,bachelor yangu nimefanya kwa kiingereza why should I go to tamper with PhD under mtu aneshindwa kufundisha kwa kiingereza? Utatoka na nini hapo? Ndio utakuta mchina hapo anakubalkubali tu wakati hajui unamwambia nini,hata kama yeye mwenyewe yuko competent wewe(product) utatoka garbage tu!
 
Kuna mtu alikurupuka hapa akasema PhD za Japan tena Engineering wanafanya kwa miaka 2.5! Nikamuuliza jina la chuo na atoe mfano mmoja wapo hajanijibu anatumia misuli tu kujenga hoja! Changa la Macho hili Dr Matayo go back to class

mzee wewe humu kwako ni kubisha tu na sio kueleweshana! Nilisema you can take PhD ni 2.5yrs, maximum 3yrs.Hii info iko kwenye scholarship nyingi za Japan ndio ina state hivyo, angalia Tohoku university you will get the same thing. Si kimoja mkuu Japan wana vyuo vingi na wana state the same. sio nimesimuliwa mimi mwenyewe nilikuwa natafuta huko na nikaona hizo information

Nikakuambia nina wafahamu watu wawili wote ni lecturer at UDSM ambao wamepata degree kwa miaka 2.5, full time, hii inawezekana tu kama umeweza kukamilisha requirements zinazotakiwa, whats wrong with that?? Masanilo.

Pia kumbuka PhD definition/requirement may vary from one country to another na hizi ndio zinapelekea kuwa na tofauti ya miaka!

Lengo la kusema hivi ni kuonyesha nchi nyingi wana standard zao na sio lazima kufuata BS ambao tumeizoea!

Sasa sijajua lengo ni kubisha tu ili mradi ubishe, sijaona tatizo lolote la hii informationa , NA sijaona kuwa hii information inamtetea Mathayo kwa namna yoyote ile.

Wewe mwambie tu Mathayo arudi darasani na atarudi tu, maana ndio uwezo na nguvu tuliyonayo JF!
 
Masa

E. The Qualifying Examination

Assessment of a student's learning takes place in a set of examinations at the end of formal course work and before full-fledged work on the dissertation begins. The examination consists of an oral examination in the major field and inside minor fields and defense of the dissertation prospectus. The outside minor field has the option of participating in the exam or waiving their right to examine. Students will take their Ph.D. examinations no later than the sixth semester of graduate work (fourth semester after entering IU for those who have entered with an M.A. from another institution).

To take the exam, a candidate must complete all graduate courses and other Ph.D. requirements, including the outside minor, by the end of the term during which she or he plans to take the examination. It is a rule of the Graduate School that graduate courses must be completed within the seven years prior to the qualifying examination (see Graduate School Bulletin). Satisfactory performance on the examination entitles the student to proceed to the prospectus defens

source
http://www.indiana.edu/~histweb/grad/requirements.shtml
 
Mtu akifanya PhD yake anaandika thesis ambayo inawekwa maktaba baada ya kuwa catalogued ili watu wengine wajifunze. Mheshimiwa ukienda katika page ya library ya university of the free state hapa http://wagtail.uovs.ac.za/ na kujaribu kuangalia jina lake kama author wa thesis hayupo. Hii ni indication moja ya kuwa kuna uwalakini kwamba jamaa hakusoma hapo. Thesis za masters zinakuwa catalogued sembuse ya PhD?

Nitashangaa sana kama wahandishi wa habari nao hawatafanya homework yao kuchunguza kwa njia zao ukweli huu na kuweka hadharani ili kama TCU itaonekana imefanya mchezo TAKUKURU waifuatilie, maana hii itakua ni rushwa imetumika.
 
i can say this with TOTAL authority that it is IMPOSSIBLE to finish a PhD in Japan within 3 years,the best you can get if you are especially a very academically gifted foreigner is 3 years,and for an average foreigner you are looking at 3.5-4 years.

when i say a very academically gifted foreigner i mean someone who actually studied in Japan from undergraduate/masters..,if you just show up for a PhD u are likely to get 3.5-4 years regardless of your talent.

most of you do not understand what language barrier really is/mean..,but it is enough to make a straight A student feel like a D student..,and that's no easy thing.

PhD za huyo bozo are no way authentic,from an academic point of view the guy is a complete waste of time & space.technically irrelevant anywhere.

Mkuu natafuta chuo huko Jep, siku nyingine unavyokuwa na authority kama hii ni vizuri ukajiimarisha kwa kuweka mifano au link.

Scholarship hzi nyingi zina state miaka 3, au minimum ukiweza kukamilisha requirements

http://scholarshiponline.info/japan-engineering-phd-special-scholarship-program-2009-in-kochi-southern-japan/

http://www.careercenter.ait.asia/studies-exchanges/further-education/3-year-engineering-phd-scholarship-in-kochi-university-of-technology-japan.html/

http://www.tut.ac.jp/english/instruction/guide.html

http://www.eng.tohoku.ac.jp/english/program/?menu=itn

http://www.vnu.edu.vn/en/contents/index.php?ID=932


http://www.scholar-guide.com/international-graduate-program-on-civil-and-environmental-engineering-saitama-university-japan/

Kuna moja hapo ya Vietnam wao wanasema ni miaka 2-4

UDSM idara ya construction management mtafute mtu anaitwa Dr. Samson Matiko kamaliza mwaka jana huko Japan na kaipiga kwa miaka 3 net, na anasema angeweza kuchukua less than that. wako waliochukua miaka 2.5 sitapenda kuweka majina yao hapa.

Siyo huyo tu angalia idara ya maji COET (usipate shida kuna list ya ma-lecturer wote wa COET -UDSM iko kwenye uwanja huu wa siasa) watafute wote waliosoma Japan ambao ni weng waulize wamepiga miaka mingapi

Kama nilivyosema natafuta vyuo huko nipige PhD , mfadhili yupo na yuko tayari nchi yeyote ile , I thought of going there. Kama una details za hivyo vinavyotoa PhD kwa miaka uliyotaja utanisaidia. Na inaonyesha unaongea kwa authority naomba connection za hivyo vyuo.Mdogo wangu yuko huko anapiga kazi mwaka wa pili sana kashindwa kupata vyuo ninavyotaka vya muda huo uliousema, miaka 4!!

However, the main thing here sio kukubishia ulichosema, ila ni kukuonyesha kuwa miaka ya hizi degree may vary from one country to another or from one university to another!!

Europe for sure lazima upige miaka 4, wakati Spain wao minimum miaka 5, canada unaweza piga miaka mpaka 7, nenda USA ndio usiseme kuna mchanyato wa kufa mtu!

Utanisaidia sana, kama una connection weka nitumie kwenye PM, ninaposema natafuta chuo huko I mean it!
 
Mtu akifanya PhD yake anaandika thesis ambayo inawekwa maktaba baada ya kuwa catalogued ili watu wengine wajifunze. Mheshimiwa ukienda katika page ya library ya university of the free state hapa http://wagtail.uovs.ac.za/ na kujaribu kuangalia jina lake kama author wa thesis hayupo. Hii ni indication moja ya kuwa kuna uwalakini kwamba jamaa hakusoma hapo. Thesis za masters zinakuwa catalogued sembuse ya PhD?

Nitashangaa sana kama wahandishi wa habari nao hawatafanya homework yao kuchunguza kwa njia zao ukweli huu na kuweka hadharani ili kama TCU itaonekana imefanya mchezo TAKUKURU waifuatilie, maana hii itakua ni rushwa imetumika.

Tulivyokuwa tukipayuka hapa tulionekana tuna wivu ukweli unafumuka taratibu wacha nikate kilaji mie taratibu!!!
 
Mtu akifanya PhD yake anaandika thesis ambayo inawekwa maktaba baada ya kuwa catalogued ili watu wengine wajifunze. Mheshimiwa ukienda katika page ya library ya university of the free state hapa http://wagtail.uovs.ac.za/ na kujaribu kuangalia jina lake kama author wa thesis hayupo. Hii ni indication moja ya kuwa kuna uwalakini kwamba jamaa hakusoma hapo. Thesis za masters zinakuwa catalogued sembuse ya PhD?

Nitashangaa sana kama wahandishi wa habari nao hawatafanya homework yao kuchunguza kwa njia zao ukweli huu na kuweka hadharani ili kama TCU itaonekana imefanya mchezo TAKUKURU waifuatilie, maana hii itakua ni rushwa imetumika.


Kama uko kwenye hicho chuo anachosema Mathayo amemaliza , na hauoni kabisa jina lake ni uthibitisho tosha kuwa jamaa kaipika , na hii inaiweka TCU kwenye wakati mgumu zaidi

Jaribu kutafuta zaidi hata kwenye kuta za choo labda alipiga chata!
 
Hivi jinsi gani ya ku upload pdf hapa jf?

Nataka nimpige Masa li Rungu asibishe tena.
 
Duuh mathayo Bora angeacha kuliko kwenda kutoa kitu kidogo kwa Professor Mayunga wa TCU.
SHAME ON TCU WAMESHINDWA KUFANYA HOMEWORK NDOGO KIASI HIKI?
 
For Reference Use only
1
Ph.D. Progr am
Inter national Gr aduate Progr ams (IGP) on Advanced Science and Technology-I
Gr aduate School of Science and Technology, Keio Univer sity
Application Guide
September 2010 Enr ollment
Types of Doctor al Degree
Ph.D. students may pursue studies leading to any of the following degrees:
Ph.D. in Engineering
Ph.D. in Science
Doctor of Arts
I. Cur riculum
The Graduate School of Science and Technology consists of three sub-schools and each sub-school consists of several centers
of learning and research. (As of September 2009)
1) School of Fundamental Science and Technology
- Center for Mathematics
- Center for Physics
- Center for Molecular Chemistry
- Center for Applied Physics and Physico-Informatics
- Center for Chemical Biology
- Center for Biosciences and Informatics
2) School of Integr ated Design Engineer ing
- Center for Multiscale Mechanics and Mechanical Systems
- Center for System Integration Engineering
- Center for Smart Device and System Engineering
- Center for Photonics and Image Information Engineering
- Center for Science and Technology for Designing Functions
- Center for Life Design Engineering
3) School of Science for Open and Environmental Systems
- Center for Space and Environment Design Engineering
- Center for Science of Environment, Resource and Energy
- Center for Computer Science
- Center for Information, Communication and Media Technologies
- Center for Open Systems Management
For Reference Use only
2
The students will become an official member of one of the sub-schools and conduct research under the supervision of a faculty
advisor who is a member of one of the centers that belong to this particular sub-school. The advisor will be a member of one of
the centers, but the student while being a member of a sub-school will not belong to any specific center. This is to allow the
student to develop a broad perspective that is not restricted by the framework of his advisor's center. For more information on
how advisors are selected, please see "Notice" on P.4.
Language Options
Japanese or English
Length
The Ph.D. program is normally completed in three academic years. There are some exceptions where a student may complete
his doctoral program in one to two and a half years (a total of three or more years including the time the student has spent in his
master's program) if he produces outstanding research results.

Requirements
The requirements for completing the doctoral program are: completion of Graduate Research 2 (six credits), approval of the
doctoral dissertation, and passing the final evaluation.
Assessment Process
Below is an outline of the process for successfully completing the Ph.D. program:
(1) An assessment committee will be established consisting of faculty members belonging to one of the three sub-schools to
which the Ph.D. candidate belongs. External members from outside the school and/or University may be part of the
committee if deemed appropriate.
(2) An assessment of the Ph.D. thesis will be made and a public research presentation by the candidate will be required.
(3) In a private oral examination, the assessment committee will ask questions about the candidate's thesis and the general field
of knowledge in which it falls. There will also be an examination of language proficiency (English or Japanese). Language
skills may be evaluated based on the results of external tests such as TOEFL and/or on the candidate's publications written
in English or Japanese.
(4) A comprehensive final assessment of the candidate will be made by all the members of the sub-school based on (2) and (3).
Some of the evaluation details and standards will vary depending on the sub-school.
Publication
It is strongly advised that a student in the doctoral program publishes his research results. It is recommended that the student
submits his papers to a professional publication or presents his results at an international conference or major academic
congress. The publication will be presented as part of his academic achievement at the completion of the Ph.D. program.
Research Advisor
Once you are registered for the Ph.D. program, you will have to select a research advisor. An advisor suitable for the particular
field of study can be selected from a list of faculty members in charge of "Doctor's Special Study". The role of this research
advisor will be to offer supervision for the doctoral dissertation. When it is deemed to be necessary the student can receive
guidance from multiple advisors.
In order to contact your prospective research advisor, see "Notice" on P.4.
Course Requirements for the Ph.D. program
Graduate Research 2 is mandatory for Ph.D. students. In this course, the student will be given guidelines and engage in
discussions with his advisor on how to prepare for his doctoral dissertation. Upon acceptance, students are required to submit a
For Reference Use only
3
proposal on the subjects they wish to pursue in their Ph.D. program. This proposal needs to be approved by their advisor before
being submitted. If it is deemed necessary after a discussion with the advisor, the student may choose courses that are offered in
the master's program or in other research departments.
II. Application
Admissions Criteria
Review of academic records and other relevant documents will be made.
Enrollment
September 2010
Eligibility for Admission
The applicant for the Ph.D. program must satisfy one of the following conditions.
1. The applicant must have received a master's degree, a professional master's degree or a degree that is equivalent to the
aforementioned degrees outside Japan. Those who expect to have a master's degree or its equivalent conferred before
enrollment may also apply.
2. The applicant must have enrolled in the International Graduate Program (master's program) of the Graduate School of
Science and Technology at Keio University and expect to complete the Graduate School before enrollment.
3. The applicant must have enrolled in the Graduate School of Science and Technology at Keio University as an international
student and completed the Graduate School.
Application Period
November 1, 2009 – December 14, 2009
(Postmark must be no later than December 14, 2009)
Application Fee
10,000 yen
Please send the application fee of 10,000yen with your completed application documents. Application will not be processed
until the application fee has been received. The application fee is non-refundable.
A. From Outside Japan
The fee is payable by an International Postal Money Order in Japanese Currency.
B. From Inside Japan
The fee is payable by cash, a Postal Money Order or bank transfer.
Yen-dominated International Postal Money Orders are not available in some countries/regions. Applicants residing in these
countries/regions can remit the fees to Keio University's designated bank account.
For details, please see "Application Fee Payment Form".
For Reference Use only
4
Application Requirements
The applicant for the Ph.D. program is required to submit all of the following in order to be considered for admission.
�� Application forms (prescribed forms No.1-No.4)
�� Financial statement (prescribed form)
�� Research plan (prescribed form, to be completed in Japanese or English)
�� Two letters of recommendation (prescribed form, to be completed in Japanese or English)
Those who correspond to the condition number 2 of the "Eligibility for Admission" must submit only one letter of
recommendation written by his supervisor in the Graduate School of Science and Technology at Keio University.
�� Application fee payment form (prescribed form)
�� *Transcript request form (prescribed form)
(summary and supplementary information of academic transcripts for undergraduate courses)
�� *Official academic transcripts for undergraduate and master's courses (in English or Japanese - no photocopies)
�� *Certificate of (expected) graduation or degree from a graduate school (in English or Japanese - no photocopies)
The type of the degree awarded must be specified on the certificate.
Those who correspond to the condition number 2 of the "Eligibility for Admission" are not required to submit this
certificate.
* Those documents must be provided to the Admissions Office directly from the registrar's office of the university where the
applicant completed his studies.
Notice
Before submitting your application, please contact your prospective research advisor to discuss your research plan
thoroughly and receive instructions as to which sub-school you should belong to. Applicants who have failed to do this
prior to submitting their applications have a much smaller chance of acceptance and in some cases their applications may be
rejected.
For more information on our faculty members, use "Staff Search" at: http://www.st.keio.ac.jp/english/staff_search/
Please choose your prospective research advisor from among the faculty members who are qualified to be a thesis advisor.
Announcement of Results
Results will be announced around the beginning of February 2010.
III. Enrollment Registration and Tuition Fees
Enrollment Registration
Applicants who have been recommended to the Japanese Government (Monbukagakusho: MEXT) Scholarship Program: Late
February 2010
Others: Late May 2010
The applicant is reminded that if he plans to submit evidence of a master's degree he expects to be awarded (and does not have
it yet at the time of application), official evidence of the conferral of his degree must be submitted during the enrollment
process.
For Reference Use only
5
Admission and Tuition Fees (Matriculation 2009)
Spring Enrollment Fall Enrollment
Admission fee 310,000 yen 310,000 yen
Annual tuition 640,000 yen 320,000 yen
Facility expenses 50,000 yen 25,000 yen
Lab experiment fee 120,000 yen 60,000 yen
Network registration fee 5,000 yen 2,500 yen
Student insurance 3,600 yen 1,850 yen
(Including the initial fee of 100yen)
TOTAL 1,128,600 yen
Payment by semester:
Spring (808,600 yen)
Fall (320,000 yen)
719,350 yen
The student has the option of paying his tuition on an annual or semester basis.
The tuition fee for 2010 will be announced later.
IV. Scholar ships
J apanese Government (Monbukagakusho: MEXT) Scholarship through University Recommendation
Applicants for this scholar ship should fill the designated application form and submit it to the specified office.
Number of Awards: Up to 6 awards for master's progr am students and up to 6 awards for Ph.D. progr am students
Recipients of this award will receive financial aid from the Monbukagakusho Scholarship (Japanese Government Scholarship
Program). Those wishing to apply for this scholarship need to have a "university recommendation". The scholarship covers the
costs of one roundtrip air-ticket, the admission fee, tuition, plus a monthly stipend for a maximum of three years. The amount is
not decided for the 2010. The scholarship for the 2009 academic year was ¥158,000 per month. This is based on the normal
time it takes to complete postgraduate studies (two years as a master's student and three years as a Ph.D. student). Please note
that the applicant for the scholarship must be no more than 35 years of age as of April 1 of the year of enrollment.
There will be a short telephone interview. Three professors will interview the candidate regarding his academic background,
motives for graduate studies, and other relevant questions pertaining to the criteria for awarding this scholarship. Please note
that once you have accepted the Monbukagakusho Scholarship, you do not have the option to withdraw.
Eligibility for the Monbukagakusho Scholarship (J apanese Government Scholarship Progr am)
- The applicants for the scholarship must be no more than 35 years old as of April 1 of the year of enrollment.
- Those who have already obtained a scholarship from the government of their country of origin or from other foundations
are not qualified to apply for this scholarship.
- Applications cannot be submitted to both to the "Short-term Student Exchange Promotion Program (Inbound) Scholarship"
offered by Japan Student Service Organization (JASSO) and the Monbukagakusho Scholarship.
- If applicants are applying for the Monbukagakusho Scholarship through the Japanese Embassy/Consulate in their country,
they cannot submit an application through Keio University. There are two ways to apply for the Monbukagakusho
Scholarship. This may be done through a "university recommendation" or an "embassy recommendation" and an applicant
may not simultaneously apply through both routes.
- The scholarship is not for those on active military or civilian duties in military services.
- Taiwanese and North Korean nationals may not apply.
- Those of Japanese nationality cannot apply to this scholarship. This includes those with dual citizenship if one of the
nationalities is Japanese.
- Successful applicants must have a college student visa to enter Japan. If the status of this visa is changed during the
scholarship period, they are obliged to withdraw from the scholarship and its benefits.
For Reference Use only
6
V. Other information
For information regarding scholarships, housing, visas and general information about campus life, please visit the Keio
University International Center web site:
http://www.ic.keio.ac.jp/en/life/index.html
Contact Information
Admissions Office (AO)
Graduate School of Science and Technology
Keio University
3-14-1 Hiyoshi, Kohoku-ku, Yokohama
Kanagawa 223-8522
JAPAN
Fax: +81-45-566-1464
URL: http://www.st.keio.ac.jp/english/index.html
E-mail: ao_st_inquiry@info.keio.ac.jp
Pr ivacy Policy
Any personal information submitted to Keio University, including applicants' names and addresses, will be used to
contact applicants regarding the following matters:
(1) Admission programs (applications and examination procedures)
(2) Announcements of results
(3) Admission procedures
(4) Administration, communications or procedures relevant to academic matters
(5) Administration, communications or procedures relevant to student life
(6) Administration, communications or procedures relevant to the use of university facilities
(7) Communications relevant to solicitations for donations, for the Preservation Society, or for the Keio Card
(8) Dispatch of documents to applicants and/or their Guarantors as well as other communications
(9) Dispatch of documents related to the Mita-kai (alumni association) and matters incidental to these
The abovementioned services will be conducted partially by certain outsourced companies commissioned by Keio
University to conduct such services (hereinafter referred to as "outsourcees"). Some or all of students' personal
information will be given to outsourcees to the extent necessary for them to conduct their sub-contractual work.
Applicants should be aware that statistically processed personal information data (in which applicants remain
anonymous) will be used as investigation and research material for applicant selection at the university.
 
Mtu akifanya PhD yake anaandika thesis ambayo inawekwa maktaba baada ya kuwa catalogued ili watu wengine wajifunze. Mheshimiwa ukienda katika page ya library ya university of the free state hapa http://wagtail.uovs.ac.za/ na kujaribu kuangalia jina lake kama author wa thesis hayupo. Hii ni indication moja ya kuwa kuna uwalakini kwamba jamaa hakusoma hapo. Thesis za masters zinakuwa catalogued sembuse ya PhD?

Nitashangaa sana kama wahandishi wa habari nao hawatafanya homework yao kuchunguza kwa njia zao ukweli huu na kuweka hadharani ili kama TCU itaonekana imefanya mchezo TAKUKURU waifuatilie, maana hii itakua ni rushwa imetumika.
Ndugu yangu Madago,

Msemakweli ameenda zaidi ya kuchungulia kwenye digital library. Kama hata yeye amesema hana matatizo na degrees za Mathayo ina maana kaujua ukweli wote.

Msemakweli asingeliweza kujidhalilisha kuviambia vyombo vyote ikiwemo TUC na bunge kwamba wamsafishe Mathayo.

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
 
hivi ku upload pdf file hapa mbona sioni? inakuwa je?
 
Mdondoaji

Nilikwambia kuna vyuo vina consider masters yako umeifanya kwa urefu wa mda gani, ukabisha weeeeee.

Sasa kimweri naye kaja kwa kasi kubisha ,sasa tuhakikishie kama Keio univesity haiko Japan na badala yake iko south africa.

Na wewe Masa usilale mbele
 
..wengi wenye degree feki, in my opinion, they don't even need them. Mary Nagu ana bachelor na masters nzuri tu, juu yake ana proffesional experience ya muda mrefu, sijui ni kitu gani kimemsukuma huko kwenye PhD feki.
 
Nimefungua ukurasa wa chuo hiki cha University of the Free State kwa link hii;
http://www.uovs.ac.za/faculties/content.php?id=318&FCode=04

Katika REGULATIONS - PART 1: Natural Sciences: Undergraduate Programmes, nime-download file PART 3: Post Graduate Programmes ni word document. Ukurasa wa mwisho (117) kuna maelezo haya;

Reg. H37 - A candidate who is admitted to Master studies according to Reg. A80, may apply for admission to the Ph.D. degree in consultation with the supervisor after a study and registration period of at least one year and on recommendation of the Examination Committee, the head of the department concerned and the Research Committee of the Faculty via the Dean. After admission to the Ph.D. study, at least two years must elapse before a Ph.D. degree can be awarded. The degree study therefore lasts three years.

Hebu angalia hapo nilipopigia mistari na angalia maelezo yenye red font.

Kama haya yalikuwa sahihi hata kwa miaka ya nyuma, basi Mathayo angehitaji miaka 3 ili apate Ph.D na siyo 2!

Tuendelee kuangalia kumbukumbu maana baadhi ya vyuo vina list ya wanafunzi wao wa nyuma. Tutamuona?
 
Masa
usilale mbele, rudi bwana. Ukilala mbele nitaamini watanzania tunapenda kutoa hukumu bila kuwa na data za uhakika, tunasikia rumaz tu basi tunajiunga ktk mduara.
 
Nimefungua ukurasa wa chuo hiki cha University of the Free State kwa link hii;
http://www.uovs.ac.za/faculties/content.php?id=318&FCode=04

Katika REGULATIONS - PART 1: Natural Sciences: Undergraduate Programmes, nime-download file PART 3: Post Graduate Programmes ni word document. Ukurasa wa mwisho (117) kuna maelezo haya;

Reg. H37 - A candidate who is admitted to Master studies according to Reg. A80, may apply for admission to the Ph.D. degree in consultation with the supervisor after a study and registration period of at least one year and on recommendation of the Examination Committee, the head of the department concerned and the Research Committee of the Faculty via the Dean. After admission to the Ph.D. study, at least two years must elapse before a Ph.D. degree can be awarded. The degree study therefore lasts three years.

Hebu angalia hapo nilipopigia mistari na angalia maelezo yenye red font.

Kama haya yalikuwa sahihi hata kwa miaka ya nyuma, basi Mathayo angehitaji miaka 3 ili apate Ph.D na siyo 2!

Tuendelee kuangalia kumbukumbu maana baadhi ya vyuo vina list ya wanafunzi wao wa nyuma. Tutamuona?

Mathayo kasoma miaka 3 kwa mijibu wa cv yake, haya ya miaka miwili nafikiri watu wanajaribu kupotosha ili kujenga hoja.

CV yake inaonyesha 2001-2003.
Nakama sijakosea naomba unisahihishe masomo ktk nchi/chuo kile yanaanza mwezi wa kwanza
hivo kafanya mwaka mzima 2001
mwaka mwingine 2002
mwaka mwingine 2003
Ni sahihishe.

kama unavyoanza form one 1996 na kumaliza form four mwaka 1999
yani 1996-1999. Je umesoma miaka mitatu??
 
Mathayo kasoma miaka 3 kwa mijibu wa cv yake, haya ya miaka miwili nafikiri watu wanajaribu kupotosha ili kujenga hoja.

CV yake inaonyesha 2001-2003.
Nakama sijakosea naomba unisahihishe masomo ktk nchi/chuo kile yanaanza mwezi wa kwanza
hivo kafanya mwaka mzima 2001
mwaka mwingine 2002
mwaka mwingine 2003
Ni sahihishe.

kama unavyoanza form one 1996 na kumaliza form four mwaka 1999
yani 1996-1999. Je umesoma miaka mitatu??

HAPANA! HAPANA! hata kama tuna mapenzi na mtu tujaribu kuweka elements za mashaka.

Hata Bunge web inaonyesha 2001 ndo alimaliza MSc na kuanza Ph.D. Je alimaliza Januari na kuanza Ph.D Januari? Jaribu kumpa wasi wasi Baadaye itaeleweka tu maana hata muda ambao TCU wametumia kumalika uhakiki wa vyeti vyake ni kama kuna mtu pale free state alikuwa akiwasubiri awape majibu yao.
 
Back
Top Bottom