King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 51,643
- 68,577
Mpendazoe ni Jembe namkubali sana Mh.
Nitamtupa kagera awe chakula cha mambaaaaa!!
Furaha ni kuumwa kwake au ni ushindi wa haki mahakamani?
Ni kama umefurahia kuumwa kwake badala ya kesi kumwendea vibaya.
Ushindi wa mahakama hauna uhusiano na kuumwa kwake wao wanaangalia ushahidi na vielelezo visivyo acha mashaka.
Kama ni kushindwa kesi ama akiwa wa afya njema au afya mgogoro bado atashindwa.
haitasaidia. siku hizi kuna hansard za kurekodi ushahidi mahakamani.
Furaha ni kuumwa kwake au ni ushindi wa haki mahakamani?
Ni kama umefurahia kuumwa kwake badala ya kesi kumwendea vibaya.
Ushindi wa mahakama hauna uhusiano na kuumwa kwake wao wanaangalia ushahidi na vielelezo visivyo acha mashaka.
Kama ni kushindwa kesi ama akiwa wa afya njema au afya mgogoro bado atashindwa.
unawajua wameru wewe?! Hebu jaribu kuuliza kwa mtu anaewajua atakupa stori ya wale watu....ni noma kuliko maelezo,ni watu wasiotaka masihara hata kidogo na wenye msimamo.Mm aliniacha Hoi alipokimbia na masanduku ya kura tu! Magamba kwa kutimua mbio anapoona ulaji unaondoka!!!
Angalieni Msikimbie na masanduku ya kura huku Arumeru . Tutawafi.........nya!!!
Mtu mzima kaumbuka mpaka kisugar imepanda.
Alishinda kiujanja ujanja, anaishi kiujanja ujanja, amesoma kiujanja ujanja.
Si bora ajivue gamba tu kama Kihiyo
Kila kazi ina ethics zake hata ya uchangudoa
Get well soon
Akishinda Makongoro Mahanga kesi hii sidhani kama nitakuja kuiamini Mahakama yoyote tena nchi hii, nitakuwa namaliza kesi zangu kwa waganga wa kienyeji,...ukinidhurumu haki yangu jiandae kupambana na jini Mariamu.atakaposhinda kesi ndo mtajua sukari imempanda au imemshika,chezea makongoro wewe
...........................na masaburi..........................
Akishinda Makongoro Mahanga kesi hii sidhani kama nitakuja kuiamini Mahakama yoyote tena nchi hii, nitakuwa namaliza kesi zangu kwa waganga wa kienyeji,...ukinidhurumu haki yangu jiandae kupambana na jini Mariamu.
Nitashangaa sana nikisikia Makongoro ameshindwa maana maana wakuu wote wa mahakama wameteuliwa na Mwenyekiti wa CCM, na kuna kila dalili kwamba uchaguzi ukirudiwa Segerea Makongoro atapata kula za familia yake tu