Dr. Makongoro Mahanga Sukari imepanda

Dr. Makongoro Mahanga Sukari imepanda

Mahanga huu ndio wakati pekee unaohitaji msaada wa hali na mali wa EL ulimtetea sana kwenye vikao mbalimbali vya chama chenu na hata bunge lilipokaa kama kamati ya chama chenu ulimtetea mno EL ukidai sio fisadi watu wanamfanyia fitina tu,hujalikumbuka hilo???mpigie,rafiki wa kweli ni yule unaekuwa nae hata wakati wa dhiki.Hii kesi imekukalia vibaya sana kwa kifupi KIMENUKA,hutoki.
 
Nijuzeni hili.. Akishatenguliwa kwenye ubunge atarudisha zile posho zote alizokuwa analipwa toka alipoapishwa..? Maana haitoshi tu kutolewa ubunge ambao aliupata kwa wizi na rushwa.. Inabidi iende mbele zaidi ili kama anavyosema hakimu wakati anakutafutia sababu ya kukufunga miaka mingi "iwe ni fundisho kwa wengine wenye tabia za kuiba kura na kutoa rushwa"..
 
Nini sukari hata chumvi nayo mmpande jizi kubwa hili.
 
Hhhhaaaaa umenifurahisha, ila kwa ccm loh usishangae anashindishwa kesi


Akishinda Makongoro Mahanga kesi hii sidhani kama nitakuja kuiamini Mahakama yoyote tena nchi hii, nitakuwa namaliza kesi zangu kwa waganga wa kienyeji,...ukinidhurumu haki yangu jiandae kupambana na jini Mariamu.
 
duniani huwezi kudhulumu watu ukasalimika milele.
chunguzeni kwa makini wala rushwa wengi na mafisadi wakubwa
wanao ni walevi,wavuta unga machangu na mazumbukuku darasani.
adhabu ni papa hapa duniani.
this guy is going to regret forever kwa kuapa mahakamani huku akijua anadanganya
 
Mm aliniacha Hoi alipokimbia na masanduku ya kura tu! Magamba kwa kutimua mbio anapoona ulaji unaondoka!!!
Angalieni Msikimbie na masanduku ya kura huku Arumeru . Tutawafi.........nya!!!

wanateleza haooo...!!! kama nyoka vile.
 
Hakuna kitu polisi wamedai hakukimbia na masanduku source gzt habr leo
 
Akishinda Makongoro Mahanga kesi hii sidhani kama nitakuja kuiamini Mahakama yoyote tena nchi hii, nitakuwa namaliza kesi zangu kwa waganga wa kienyeji,...ukinidhurumu haki yangu jiandae kupambana na jini Mariamu.

nna mahaba na jamii forums
 
hili song umelickia wapi mkuu? ebu liangushe lote nilickie vzuri.
Watoto utawajua tu! Nyimbo za kizalendo hizo! Unajua nyimbo ya "Jua literemke mama aiya iya iya iya mama!" Au "Nyerere alisema wakati wa kulala umekwisha sasa ni wakati wa mchakamchaka chinja!!"
 
Back
Top Bottom