Consigliere
Platinum Member
- Sep 9, 2010
- 12,689
- 26,568
Bado yupo puzzled. Hata arogwe vipi hataweza kupata maneno mbadala...ashukuru tu wana CCM wao hawajali hico, wanachoangalia ni muongeaji amevaa nguo za rangi gani.
Tatizo hakujiandaa kuwa raisi
Mnakandya! Angekuwa cDM aaaa kelele zingekuwa nyingi saaaaana!
JE itakuwaje kwenye mikutano ya kimataifa, itakuwa aliselemaaaa?
Bora hata aseme kama huna shs 200 piga mbizi