Leo mzee mzima nimeingia hapa kutaka kuwasaidia dada zangu kuhusiana na mapenzi kwani nina imani kubwa kwamba hawafahamu mengi kuhusiana na Wanaume... 'cause Men don't Talk..
... Why not learn from Dr. LOVE na Bureeee!..Lol..
Nitapitia hapa kila mara kukusanya maswali na unaweza kunitumia PM, trust me, U won't be disappointed!
Leo mzee mzima nimeingia hapa kutaka kuwasaidia dada zangu kuhusiana na mapenzi kwani nina imani kubwa kwamba hawafahamu mengi kuhusiana na Wanaume... 'cause Men don't Talk..
Sasa basi ili mpate wapenzi na kuyaenzi mapenzi yenu, hamna budi kuwafahamu wanaume zenu, kufahamu wanafikiria nini, wanataka nini wanapendezewa na vitu gani..
Yote haya ili mpate kuondoa dhana potovu ambazo zimejengwa mara nyingi na wanawake wengine au watu wasiopenda mafanikio yako... sifanyi utabiri bali ni mambo ya kawaida kabisa ktk maisha yetu...
Muulize mzee wa bahari nikutonye yanayoajiri badala ya kusoma vitabu vingi vinavyotungwa au kuandikwa na Wanawake, ambao ukifuatilia historia ya maisha yao ktk ndoa au Mapenzi - They have failed..Na ndio sababu iliyowasukuma kuandika vitabu hivyo.. Why not learn from Dr. LOVE na Bureeee!..Lol..
Nitapitia hapa kila mara kukusanya maswali na unaweza kunitumia PM, trust me, U won't be disappointed!
Dear Dk,
...Kuna tatizo kwa baadhi ya wanawake
...Je na wanaume wafanye nn ili
ahsante DR Love, nimekuelewa kiasi.Pretty,
Nitachukulia kwamba wewe ni mwanamke, na unataka kujua sababu za mwanamke kutojisikia kufanya tendo la ndoa..hapo dada yangu siwezi kujua ila tu nafahamu kwamba kutojisikia ni hisia za viumbe wote..
Dada yangu kwanza hili swala la kutojisikia ni swala la wote yaani wanaume na wanawake.. Jinsi usivyoweza wewe kutojisikia hata wanaume hufikia mahala wasijisikie vile vile pamoja na kwamba mwanamme ana ashiki za karibu zaidi ya mwanamke.
1. Mara nyingi hali hii hutokana na akili.. akili ndio kiamsho cha mambo yote ya ashiki na mara nyingi kutojisikia hutokana na hisia zetu za kimwili, iwe kuona, kusikia, kugusa, harufu na kadhalika, sub consciously inapanda kichwani na ndio pale maamuzi hutolewa..Mara zote hali hii hutokana na huyo mshirika wako..Kwa hiyo yawezekana kabisa kuna tatizo na huyo bwana ambalo wewe hutaki kulikubali kiakili isipokuwa unachukuakwamba hujisikii kufanya.
2. sababu ya pili huwa ni uchovu wa akili, na sio mwli.. akili inapochoka mara nyingi huushawishi mwili kutojisikia kufanya tendo hilo..
Mara nyingi sana unapoona hali kama hii inamtokea mwenzako iwe mwanamke au mwanamme na kimwili unajisikia kutotaka kufanya tendo hilo basi jaribu sana kuleta mazungumzo ya mapenzi (matusi) au tazameni sinema za mapenzi au kitu chochote kile ambacho sii physical baina yenu lakini kina alama zote za matusi... mara nyingi inaweza kubadilisha maamuzi ya akili...
Kifupi kutojisikia kufanya mapendi ni swala la akili ya mhusika, mwenza hawezi kufanya lolote asolijua kwani mara nyingi contact zozote zile huongezea hasira na poengine kinyaa kwa mhusika..
Again, sikatazi kujaribu kutomasana lakini kuwa makini sana kwani hii huwa ni hatua ya pili baada ya akili kukabiriwa na ashiki ya tendo hilo...
Sijui kama nimetosheleza..
wala sisumbuliwi na hizo adha, ila kuna baadhi huwa inawatokea hii hali.Alah, umekuja kwa mganga mgonjwa hukuja nae? Au weye ndo wasumbuliwa na hizi adha? Mficha ugonjwa guu huota tende ati.
Haya, mweleze dokta love, akungojea, yanayokusibu haswa ni yepi binti Pretty? Zamani ukimpenda huyo bwana? Kakughafirisha ghafla au toka awali yu kero?
Vipi tena kunielewa kidogo?.. kumbuka tu kwamba nakujibu wewe kama mwanamme..na natazama hali zetu sisi wanaume inapofikia hali hiyo..ahsante DR Love, nimekuelewa kiasi.
Please! Im woman.Vipi tena kunielewa kidogo?.. kumbuka tu kwamba nakujibu wewe kama mwanamme..na natazama hali zetu sisi wanaume inapofikia hali hiyo..
WomenofSubstanc,
Happily Married...
Please! Im woman.
............By the way nitakuwa natumia jina la Dr. LOVE, nasubiri tu kupitishwa na wakuu wa JF.
trick za Busanda mpaka jimbo litwaliwe....Nitapitia hapa kila mara kukusanya maswali na unaweza kunitumia PM, trust me, U won't be disappointed!
.....what if he is not??Dr,
Are you married?
By the way nitakuwa natumia jina la Dr. LOVE, nasubiri tu kupitishwa na wakuu wa JF.
wala sisumbuliwi na hizo adha, ila kuna baadhi huwa inawatokea hii hali.
DMussa,.....what if he is not??
WOS kwani ili kuwa na uelewa wa haya mambo ya mahusiano baina ya mwanamke na mwanaume ni lazima uwe umeoa/kuolewa??