Dr. LOVE - Strictly for women...Ask me anything! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. LOVE - Strictly for women...Ask me anything!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mkandara, May 12, 2009.

 1. M

  Mkandara Verified User

  #1
  May 12, 2009
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Leo mzee mzima nimeingia hapa kutaka kuwasaidia dada zangu kuhusiana na mapenzi kwani nina imani kubwa kwamba hawafahamu mengi kuhusiana na Wanaume... 'cause Men don't Talk..

  Sasa basi ili mpate wapenzi na kuyaenzi mapenzi yenu, hamna budi kuwafahamu wanaume zenu, kufahamu wanafikiria nini, wanataka nini wanapendezewa na vitu gani..
  Yote haya ili mpate kuondoa dhana potovu ambazo zimejengwa mara nyingi na wanawake wengine au watu wasiopenda mafanikio yako... sifanyi utabiri bali ni mambo ya kawaida kabisa ktk maisha yetu...
  Muulize mzee wa bahari nikutonye yanayoajiri badala ya kusoma vitabu vingi vinavyotungwa au kuandikwa na Wanawake, ambao ukifuatilia historia ya maisha yao ktk ndoa au Mapenzi - They have failed..Na ndio sababu iliyowasukuma kuandika vitabu hivyo.. Why not learn from Dr. LOVE na Bureeee!..Lol..
  Nitapitia hapa kila mara kukusanya maswali na unaweza kunitumia PM, trust me, U won't be disappointed!
   
 2. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #2
  May 12, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  Mheshimiwa, karibu sana kwenye jamvi la mahusiano. Naamini kina dada hawatoacha kutumia 'kismati' hicho cha kuwasiliana moja kwa moja na DR. LOVE... ila hilo la PM duh!

  Anyway, na sie kina kaka tunahitaji busara zako uzimwage hapa kwenye jamvi 'mchana kweupe' muzee.

  Karibu sana.
   
 3. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #3
  May 12, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,810
  Likes Received: 83,207
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha ha ha Mkandara alias DR LOVE :) kila la heri katika fani yako mpya hapa JF, lakini usituweke kando akina sie manjemba labda na sisi tunahitaji msaada wako wa kitaalamu katika anga za maluv luv. Kila la heri. ;)
   
 4. M

  Mkandara Verified User

  #4
  May 12, 2009
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Mbu Na Bubu ataka Kusema,
  Lol.....shukran wakuu zangu lakini duh.. hapana wakuu zangu, mimi najaribu kuwajenga dada zangu (self esteem) hasa baada ya kusikia malalamiko mengi toka kwa hawa kina dada kuhusiana na Wanaume na ktk kufikiria nimeona kwa nini nisiweze kuwasaidia..

  Maswala la Kiume nadhani itakuwa ngumu kwa sababu upeo wangu unakoma kama mwanamme, hata mimi nakutana na mengi toka kwao ambayo huwa natoka mtupu pamoja na kwamba binafsi naelewa fika msimamo wangu kama mwanamme..Na kibaya zaidi nashindwa hata kuchukua ushauri wa mwanamke kwa sababu wengi wao wanatofautiana sana ktk mengi ambayo ni wazi..

  Kwa hiyo itaniuwia vigumu sana kuweza kuwashauri wanaume wenzangu hasa nikitambua kuwa vijana wa siku hizi ni wana sayansi, wasanii na wabunifu kuliko elimu niliyokuwa nayo ktk fani hiyo upande huu wa wanaume..
  Hivyo basi kwa sababu mimi ni mwanaume na naelewa mengi ya old school, nikachanganya na kuelewa ubunifu wa sayansi zenu, usanii wenu na mengineyo nadhani itakuwa bora kwangu kuwa mjumbe wenu kufikisha salaam zenu..

  Kama nilivyosema wanawake hawafahamu kwamba wanaume hawazungumzi mengi sana ambayo huwatatiza na wakashindwa lugha ya kutumia..Na bahati mbaya wanawake wengi hushindwa kuzisoma alama, wakashindwa kufikiria sababu zaidi ya kudhania au kuuliza wanawake wenzao..kitendo ambacho mara nyingi huwa hakiwasaidii kitu isipokuwa kuharibu zaidi..
  Hii ndio sababu iliyonisukuma kuweka mada hii na naelewa fika kwamba nina ujuzi, uzoefu na mengi ambayo kwa hakika mwanamme yoyote hawezi kuyasema wazi..
   
 5. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #5
  May 12, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Dear Dk,
  Kuna tatizo kwa baadhi ya wanawake hawajisikii kufanya tendo la ndoa, je kuna dawa yeyote inayoweza kuwasaidia? Je na wanaume wafanye nn ili kuwezesha wake zao wapate hamu ya tendo?
   
 6. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #6
  May 12, 2009
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Changa la macho linakuja!!
   
 7. M

  Mkandara Verified User

  #7
  May 12, 2009
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Pretty,
  Nitachukulia kwamba wewe ni mwanamke, na unataka kujua sababu za mwanamke kutojisikia kufanya tendo la ndoa..hapo dada yangu siwezi kujua ila tu nafahamu kwamba kutojisikia ni hisia za viumbe wote..
  Dada yangu kwanza hili swala la kutojisikia ni swala la wote yaani wanaume na wanawake.. Jinsi usivyoweza wewe kutojisikia hata wanaume hufikia mahala wasijisikie vile vile pamoja na kwamba mwanamme ana ashiki za karibu zaidi ya mwanamke.

  1. Mara nyingi hali hii hutokana na akili.. akili ndio kiamsho cha mambo yote ya ashiki na mara nyingi kutojisikia hutokana na hisia zetu za kimwili, iwe kuona, kusikia, kugusa, harufu na kadhalika, sub consciously inapanda kichwani na ndio pale maamuzi hutolewa..Mara zote hali hii hutokana na huyo mshirika wako..Kwa hiyo yawezekana kabisa kuna tatizo na huyo bwana ambalo wewe hutaki kulikubali kiakili isipokuwa unachukuakwamba hujisikii kufanya.

  2. sababu ya pili huwa ni uchovu wa akili, na sio mwli.. akili inapochoka mara nyingi huushawishi mwili kutojisikia kufanya tendo hilo..

  Mara nyingi sana unapoona hali kama hii inamtokea mwenzako iwe mwanamke au mwanamme na kimwili unajisikia kutotaka kufanya tendo hilo basi jaribu sana kuleta mazungumzo ya mapenzi (matusi) au tazameni sinema za mapenzi au kitu chochote kile ambacho sii physical baina yenu lakini kina alama zote za matusi... mara nyingi inaweza kubadilisha maamuzi ya akili...
  Kifupi kutojisikia kufanya mapendi ni swala la akili ya mhusika, mwenza hawezi kufanya lolote asolijua kwani mara nyingi contact zozote zile huongezea hasira na poengine kinyaa kwa mhusika..
  Again, sikatazi kujaribu kutomasana lakini kuwa makini sana kwani hii huwa ni hatua ya pili baada ya akili kukabiriwa na ashiki ya tendo hilo...
  Sijui kama nimetosheleza..
   
 8. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #8
  May 12, 2009
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Alah, umekuja kwa mganga mgonjwa hukuja nae? Au weye ndo wasumbuliwa na hizi adha? Mficha ugonjwa guu huota tende ati.

  Haya, mweleze dokta love, akungojea, yanayokusibu haswa ni yepi binti Pretty? Zamani ukimpenda huyo bwana? Kakughafirisha ghafla au toka awali yu kero?
   
 9. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #9
  May 12, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  ahsante DR Love, nimekuelewa kiasi.
   
 10. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #10
  May 12, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  wala sisumbuliwi na hizo adha, ila kuna baadhi huwa inawatokea hii hali.
   
 11. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #11
  May 12, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Dr,
  Are you married?
   
 12. M

  Mkandara Verified User

  #12
  May 12, 2009
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Vipi tena kunielewa kidogo?.. kumbuka tu kwamba nakujibu wewe kama mwanamme..na natazama hali zetu sisi wanaume inapofikia hali hiyo..

  WomenofSubstanc,
  Happily Married...
   
 13. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #13
  May 12, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Please! Im woman.
   
 14. M

  Mkandara Verified User

  #14
  May 12, 2009
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Samahani sana nadhani hukunielewa.. nasema hivi majibu yangu yanatoka upande wa wanaume yaani mimi kama mwanaume ndiko nakotoa majibu yangu..

  Hivyo hisia zote nilizoandika hapo nyuma zina base toka fikra na hisia za kiume pamoja na kwamba hili swala ni la wote yaani wake kwa waume..I replied Ur Q from man's point of view..
  Madhumuni yangu ktk mada hii ni kuwaelezea wanawake yaliyoko upande huu wa wanaume..samahani tena for any inconivenience..

  By the way nitakuwa natumia jina la Dr. LOVE, nasubiri tu kupitishwa na wakuu wa JF.
   
 15. O

  Ogah JF-Expert Member

  #15
  May 12, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  ALahaulaah!........yamekuwa haya!!!
   
 16. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #16
  May 12, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  trick za Busanda mpaka jimbo litwaliwe....
   
 17. DMussa

  DMussa JF-Expert Member

  #17
  May 12, 2009
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 1,301
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  .....what if he is not??
  WOS kwani ili kuwa na uelewa wa haya mambo ya mahusiano baina ya mwanamke na mwanaume ni lazima uwe umeoa/kuolewa??

  Anyway Dr. Love endelea kutoa busara zako kwa kina dada, na mimi nitakuwa napita mara moja moja kujua ni kipi chawasumbua zaidi dada zetu.
   
 18. Icadon

  Icadon JF-Expert Member

  #18
  May 12, 2009
  Joined: Mar 21, 2007
  Messages: 3,589
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 0
  Hahaha, haya Dr. Love tutakuwa tunapitia uku.
   
 19. stanluva

  stanluva Senior Member

  #19
  May 12, 2009
  Joined: Apr 7, 2009
  Messages: 147
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Usijari hata kama unaumwa sio tatizo kwani nani asiye ugua?
   
 20. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #20
  May 12, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  DMussa,
  Ni sawa na mganga anayetibu kwa dawa ambayo hajawahi kuionja.
   
Loading...