Dr. Leny Kasoga: Nyerere hakufa 'natural death'

Dr. Leny Kasoga: Nyerere hakufa 'natural death'

IMRAN - SHIMBO mwaka 2010 alianzisha uzi hapa katika kutafuta jibu la swali hili, wapo waliomtukana na wapo waliokuwa wakijiuliza kama yeye, wapo pia walioelezea namna gani mwalimu hakufa Natural death

uzi wenyewe uliitwa "did Mwalimu die a natural death" anaeweza autafute
 
Last edited by a moderator:
RIP Mwl. J. K. Nyerere,
Ulisema "Ugonjwa huu sitapona ila Watanzania mtanililia sana mtanikumbuka" Hakika bado tunakulilia sana yote uliyotabiri yametokea na wale uliowaachia nchi wamegeuka MAFISADI PAPA wanauza nchi kwa rehani mbalimbali. Huko uliko utuombee.
 
Kwani we mrembo wangu, unaelewaje wanaposema ''natural death''? Kwa lugha rahisi mrembo wangu, natural death ni kifo cha kawaida. Kifo kisichosababishwa na mkono wa mtu (not induced by any person). Lukemia ni sarakani ya damu. Mpaka sasa hakuna utafiti unaoeleza bayana nini hasa chanzo cha sarakani. Zipo sababu nyingi zinazotajwa kuwa zinasababsha cancer lakini bado hazijathibitishwa. Kupungua kwa kinga mwilini ni complication ya sarakani ya damu yaani Lukemia. Sasa hapo mrembo upungwani unaingilia wapi, mlangoni au dirishani. Madai ya huyu Dr. Leny Kasoga ni kuwa kifo cha Mwalimu JK Nyerere kilisababishwa na watu fulani hivyo sio kifo cha kawaida ie not natural death. Tunaposema kifo cha kawaida ni kwa sababu kwa asili ni kawaida binadamu kufa kwa magonjwa lakini sio kawaida kufa kwa kupewa sumu, kunyongwa, kupigwa risasi au hata kwa ajili.

Madai bila ushahidi? Ampelekee mkewe.
 
Kwa mujuibu wa mdao mmoja,huyo Dr.Kao mjukuu wa Nyerere hivyo huenda ana taarifa za kutosha kuhusu nini kilitokea.

Ila kama amedanganya wamshitaki maana kaongea live na ushahidi wa alichosema utapatikana.

Hata hivyo,ni mashaka na serikali kuthubutu kwani huenda wakaumbuka.

As long as skendo hii imetokea kwenye kipindi cha Che-Nkapa hakuna kitakachofanywa, ila kuna umuhimu wa kuchunguza sakata zima kupata ukweli
 
Hivi wewe unajua profile ya Dr. Kasoga ama unabwabwaja tu kwa vile mmeajiriwa kutetea kila uovu unaofanywa na ama ccm ama serikali yake?

Dr. Kasoga wala si saizi yako. Unahitaji uelewa na umakini. Utakuja kukaa uchi kwenye mwamba wakati wa jua kali!.

Kwa sababu yeye ndie aliemfanyia post mortem examination au ana ripoti ni nini hasa ushahidi wa hoja zake? hawa ma Dr wetu hawa kwa kweli wanaanza kuchosha na hizi tabia za kuropoka ropoka ovyo.

Alienda kumtembelea akaona uko alikolazwa St. Thomas hospital au hata anajua wodi zenyewe zikoje?

Ni wakati sasa wa watu waongo kuitwa kukanusha habari zao maana huku ni kupumbaza jamii au kutafutiwa namna moja ama nyingine za adhabu this is too much sasa kama Dr.s ni waongo kushuka chini inakuaje?
 
Hakuna kitu kibaya kama mfumo tegezemi,kwa wale wote waliokuwa wanamtegemea Nyerere kimawazo,kifikra,kiundugu,kiimani na kifalsafa walimgeuza Nyerere kuwa ni mungu.Wana Jf msishangae watu kuja na tuhuma kama hizi.
 
Nyerere alizaliwa na amekufa FULL STOP,angekufa usingizini,angeanguka kwenye mpapai,angekufa katika accident kifo ni kifo.Kwani natural death unapigwa sindano ya ganzi?
 
Kwa mimi ninaavyofahamu hakuna kitu kama artificial death all deaths are natural if i kill someone todays it is natural for a human to kill if i create a poison to kill its natural for human beings to create lethal material to kill each other sasa asikwambie mtu kuna natural deaths na ambazo sio natural. Atomic bombs deaths all are natural, malaria deaths are natural,ebola deaths are natural etc.
 
watu wanaongea tu kua aliuawa bila kusema aliuawa vp, na kwa ushahd up. kibaya zaid con anae tajwa akichuliwa hatua, ah!
 
Kwa sababu yeye ndie aliemfanyia post mortem examination au ana ripoti ni nini hasa ushahidi wa hoja zake? hawa ma Dr wetu hawa kwa kweli wanaanza kuchosha na hizi tabia za kuropoka ropoka ovyo.

Alienda kumtembelea akaona uko alikolazwa St. Thomas hospital au hata anajua wodi zenyewe zikoje?

Ni wakati sasa wa watu waongo kuitwa kukanusha habari zao maana huku ni kupumbaza jamii au kutafutiwa namna moja ama nyingine za adhabu this is too much sasa kama Dr.s ni waongo kushuka chini inakuaje?

Kwa nini kukanusha na isiwe kuelezea vizuri kwa maana ya kutoa evidence? ina maana hamtaki iwe kweli au?
 
RIP Mwl. J. K. Nyerere,
Ulisema "Ugonjwa huu sitapona ila Watanzania mtanililia sana mtanikumbuka" Hakika bado tunakulilia sana yote uliyotabiri yametokea na wale uliowaachia nchi wamegeuka MAFISADI PAPA wanauza nchi kwa rehani mbalimbali. Huko uliko utuombee.

Maneno mazito sana hayo,walaaniwe wote waliotia mkono kwenye kifo cha mwalimu.
 
We ndio bogus kweli kwa hivyo ukikuta mtoto ana bruises na michirizo ya fimbo, mashavu mekundu kwa vibao na kuna alama ya vidole ata wazazi wakikwambia ajachapwa uwezi kutumia akili kisa we ukuwepo au auna uhusiano na mtoto.

Sijui mimi na wewe nani mwenye mtindio hapa?

Hapa mwenye mtindio wa ubongo ni wewe, Ulipaswa kutuletea uthibitisho wa document beyond question of doubt kumprove wrong Dr., sasa na wewe unabwabwaja thread nzima, mama vipi?
 
Kwa mimi ninaavyofahamu hakuna kitu kama artificial death all deaths are natural if i kill someone todays it is natural for a human to kill if i create a poison to kill its natural for human beings to create lethal material to kill each other sasa asikwambie mtu kuna natural deaths na ambazo sio natural. Atomic bombs deaths all are natural, malaria deaths are natural,ebola deaths are natural etc.

Hahahahahahahahaha,
Naskia Big Result Now imefeli kumbe member wake mlikua Mirembe in exchange
 
Ndo yaleyale ya barali kwahiyo kamanyelele hakufa walie mzika ninani?Msukule auwatuwengine niwasomi lakini kauli zao zinazidiwa na wanafunzi wa chekechea

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Kwa sababu yeye ndie aliemfanyia post mortem examination au ana ripoti ni nini hasa ushahidi wa hoja zake? hawa ma Dr wetu hawa kwa kweli wanaanza kuchosha na hizi tabia za kuropoka ropoka ovyo.

Alienda kumtembelea akaona uko alikolazwa St. Thomas hospital au hata anajua wodi zenyewe zikoje?

Ni wakati sasa wa watu waongo kuitwa kukanusha habari zao maana huku ni kupumbaza jamii au kutafutiwa namna moja ama nyingine za adhabu this is too much sasa kama Dr.s ni waongo kushuka chini inakuaje?
......Mbona unaandika vitu kama vile unagongwa na kitu chenye ncha kali?.
Dr.s waongo ni wale wa kupewa kama alivyopewa JK au wale wachumia tumbo wa CCM ambao kazi zao ni kuzomea bungeni. Acha kudhalilisha elimu za watu.
 
Katika kipindi cha cha malumbano ya hoja kinachorushwa na ITV,mkuu wa chuo cha Bagamoyo, Dr.Leny Kasoga amefunguka na kusema mwalimu Nyerere hakufa natural death.

Dr.Kasoga,akiwa mmoja wa wazungumzji wakuu, aliongeza kuwa hata katika ile hospitali aliofia baba wa taifa, alilazwa katika wodi ya daraja la tatu kwani alichanganyika na wagonjwa wengine kama wahindi n.k kitua ambacho hakikulingana na hadhi yake.

Kwa maoni yangu,huyu Dr. yanaweza kumkuta yaliyomkuta Mbowe baada ya kutangaza maandamano ama kwa kibali au hata pasipo kibali cha polisi.

what goes around comes back around....R.i.p Sokoine.
 
Ukoo wa akina Kasoga naangallia kwenye mtambo wa darubini ya asili naona kuna watu wana maradhi ya ugonjwa wa akili (certified Vichaa) naona naye kimemuanza.Niko serious ndugu wamuwaishe hospitali ya vichaa.Tayari kimemuanza.Ndugu wa karibu wahini.
 
Hivi wewe unajua profile ya Dr. Kasoga ama unabwabwaja tu kwa vile mmeajiriwa kutetea kila uovu unaofanywa na ama ccm ama serikali yake?

Dr. Kasoga wala si saizi yako. Unahitaji uelewa na umakini. Utakuja kukaa uchi kwenye mwamba wakati wa jua kali!.
Simjui wala anisaidii hila nachosikia ni kwamba Dr Kasoga alifukuzwa UDSM kwa hiyo bado atakuwa na hasira na serikari.

Swali kwako Dr Kasoga ni mtaalamu wa medical au ana research ya cancer yenye maelezo vinginevyo yeye na mimi tunategemea ripoti ya wa taalamu. Au wewe unafikiri Dr wa elimu ni sacred? kasoma tu wala usitishike ndugu lakini aina maana kwa mwengine akisomeki au awezi kupingwa ata kama angekuwa na researched artciles on the field. How do you think we evolve our understanding kutoka kukatana kama tuko butcher kwenye ma-operation miaka si mingi iliyopita mpaka kutumia lenses kuvunja mawe mwilini na kuflush na mirija.

Wake up mwafrika wewe.
 
Back
Top Bottom