Dr. Leny Kasoga: Nyerere hakufa 'natural death'

Dr. Leny Kasoga: Nyerere hakufa 'natural death'

Ni kwa sababu mifumo mibovu Afrika, wanapenda watawala kuitumia ili wafaidike na wakitokea wajanja wachache wakawagundua ndo presha kubwa ya watetezi kama nyie inaibuka kusawazisha mambo, lakini ukweli unajulikana
Sipo kwa mantiki ya kusawazisha nipo kwa sababu ya kuwekana sawa hata ninapoponda upinzani inategemea ni jinsi gani wanachukulia some people might see it as positive criticism ambayo inabidi wajirekebishe au kuniona ni kuwa puuzwa it does not matter to me as far as i am concerned im a member obeying the forum rules.

Hayo mawazo ya wengine huwa ayanisumbui nishazoea yamekuwa yakija sana kutoka kwa watu nisiowajua sasa naona kama kawaida tu,
 
soma raia mwema la last week uone nyerere alivyolizwa na uuzwaji wa benki ya NBC,na habar zilizoripotiwa jana zinathibitisha kuwa BANK YA NBC ILITUPWA KAMA MATIKITI YASHUSHWAYO BUGURUNI SOKONI

mkuu soko la buguruni lina afadhali kwa upande wa matikiti,nafikiri walimtupa km wanavyotupa matikiti sokoni temeke sterio mkuu.
 
Mimi nakubali the outcome as it is yeye ndio anatakiwa athibithishe kwa sababu hakubali maelezo jamii nzima iliyopewa.

Jamii nzima ni ipi hiyo unayozungumzia hapa? Hizo ni sweeping statement ambazo ni wajinga tu wanaweza kukubaliana nazo. Wewe leta vithibitisho utuonyeshe kwamba alichokisema Dr. sio sahihi, you need to prove him wrong, otherwise kaa kimya.

Tiba
 
Mkuu mimi nadhani huyu Dr. Ndo anatakiwa aje na uthibitisho tofauti na ule uliotolewa na hospitali alikofia. Madaktar walitoa taarifa kamili juu ya kifo chake, kuwaambia watu tofauti na taarifa hiyo inabidi uende mbali zaidi siyo kuishia kuongea tu. Asipokuja na uthibitisho katika taarifa ambayo ilishatolewa rasmi na wataalamu, maneno yake tutayachukulia kama maneno ya mitaani.
 
Kikawaida the accuser ndio anaetakiwa kuthibisha sio the accused.

Halafu eti sweeping statement za wajinga, mama/dada ni hivi in mass communication raisi anapo hutubia taifa kutumia tv, au magazeti yanapo andika habari walengwa ni jamii sio kwa sababu wewe ukusoma gazeti au ukuangalia TV ndio neno jamii lisitumike.

Hivyo basi alipokufa mwalimu raisi aliutubia taifa na magazeti ya taifa yaliandika ndivyo jamii inavyopata habari; as invisible would put it ficha .......................
 
You sound like the people I removed from my life. Sasa hapa ni open forum kujibu ndio kujifanya najua si natakiwa kukosolewa kama nakosea ama?

Halafu who you're does not interest me the slightest matter of fact with anonymity ulitakiwa kuonyesha unachojua directly ata kwa kutufunda ukienda jukwaa la international uhitaji kuwajua members majina yao kujua shughuli zao kutokana na depth ya mambo wanayo jibizana.

Sasa wewe unaeshinda kwenye majukwaa ya kutongozana probably some luuza tu uliefika mahala kwa kubebwa binafsi naamini mtoto wa kiume akifika umri fulani kuna maongozi huwa haya make sense au kushinda anacheka cheka na akina dada all the time anymore; anyway that is me na watu wa dizaini hizo ata wawe akina nani hapana.

I hope you are not in a Menstrual crisis, and if so....go to hell
 
Sasa Leukemia iliyosababisha Ukosefu wa Kinga Mwilini itakuwaje "natural death"?

Upunguani mwingine umevuka mipaka.

we ni moja kati ya watu ambao nguvu ya umma inakukabili na huna dhamana mbele ya nguvu ya umma😡
 
we ni moja kati ya watu ambao nguvu ya umma inakukabili na huna dhamana mbele ya nguvu ya umma😡

quote_icon.png
By FaizaFoxy
Sasa Leukemia iliyosababisha Ukosefu wa Kinga Mwilini itakuwaje "natural death"?

Upunguani mwingine umevuka mipaka.
 
mkuu soko la buguruni lina afadhali kwa upande wa matikiti,nafikiri walimtupa km wanavyotupa matikiti sokoni temeke sterio mkuu.

Hayo matikiti unayotolea mfano ni yaliyooza au yanayoingizwa sokoni? Maana hayo yabashushwa kwa nidhamu vunginevyo yanapasuka!! Ila kwa kweli NBC ilitupwa wala haikuuzwa! Mkapa huyu!!!!
 
Mchakato wa kuua kwa kuuza NBC ulianzishwa na Mwinyi. Mkapa anaingiaje?
haya ndo matokeo ya kutumia kinyeo kufikiria badala ya kichwa. unajua NBC iliuzwa lini? ni lini kipindi cha mwinyi kulikuwa na wizara na waziri wa ubinafsishaji kama aliyokuwa akiiongoza Dr. Kigoda kipindi cha mkapa? ovyo kabisa.
 
Tena bora hata mwl. nyerere alifariki kipindi cha mkapa (aliyekuwa mwanafunzi wake, msimamizi wake wa vyombo vya habari, muumini mwenzake na mteuli wake), sipati picha kama angekufa mfano kipindi cha Kikwete. kwa ninachokiona hapa wasingechelewa kusema kikwete kamuua mwalimu. walimwengu tuna matatizo sana.

Sasa Leukemia iliyosababisha Ukosefu wa Kinga Mwilini itakuwaje "natural death"?

Upunguani mwingine umevuka mipaka.
 
Mkuu mimi nadhani huyu Dr. Ndo anatakiwa aje na uthibitisho tofauti na ule uliotolewa na hospitali alikofia. Madaktar walitoa taarifa kamili juu ya kifo chake, kuwaambia watu tofauti na taarifa hiyo inabidi uende mbali zaidi siyo kuishia kuongea tu. Asipokuja na uthibitisho katika taarifa ambayo ilishatolewa rasmi na wataalamu, maneno yake tutayachukulia kama maneno ya mitaani.

Hivi kweli kama ni uzushi asingeitwa walau hata kutakiwa kutoa maelezo polisi?

The simple conclusion here is an english saying "silence means yes".
 
As long as skendo hii imetokea kwenye kipindi cha Che-Nkapa hakuna kitakachofanywa, ila kuna umuhimu wa kuchunguza sakata zima kupata ukweli
unamaanisha nini kwenye hii post yako?
 
Hivi kweli kama ni uzushi asingeitwa walau hata kutakiwa kutoa maelezo polisi?

The simple conclusion here is an english saying "silence means yes".

Sisi tunaamini katika ushahidi na si vinginevyo hayo ya kuitwa na kuhojiwa nia yake, aweke ushahidi wazi ili tuamini.
 
Hayo matikiti unayotolea mfano ni yaliyooza au yanayoingizwa sokoni? Maana hayo yabashushwa kwa nidhamu vunginevyo yanapasuka!! Ila kwa kweli NBC ilitupwa wala haikuuzwa! Mkapa huyu!!!!

hapo kwenye red mkuu pamoja na kujiuzia kiwira ni moja ya mambo ambayo yatamcost mr clean mpaka siku anaingia kabuburini,hayo tu yanamfanya wengi wetu tumuone kama alihusuka moja kwa moja ktk kuuasisi ufisadi unaotutesa sisi kama taifa mpaka leo.
 
sio huenda hii kitu ni kweli kabisa,hata r.m.kawawa(r.i.p) alikuwa na siri nzito moyoni,lakini hakuthubutu kusema popote.
Tena wauwaji walishirikiana na kule
alikokuwa anajaribu kusuluhisha mgogoro.
N.b.
Mwalimu alikataa kwenda u.k. Lakini akapelekwa ki nguvu.

Kule ni Burundi maana Pierre Buyoya alianza jitihada za kumkataa Nyerere kama mediator.

Cc: Salary Slip
 
Back
Top Bottom