Dr. Leny Kasoga: Nyerere hakufa 'natural death'

Dr. Leny Kasoga: Nyerere hakufa 'natural death'

Ungekuwa unaweza toa kithibitisho ya luekemia inaweza kuwa implanted labda ungekuwa na hoja vinginevyo endelea kumsikiliza huyo professor wako uchwara.

Wacha niingie kitaa rasmi mie kwa siku ya leo kuliko kujibizana na akina empty cans; kelele mingi ndani amna kitu.

R.I.P mwalimu we miss you watanzania wazalendo sio wale wanaotumia jina lako kwa faida zao kukiponda chama chako.

Acha kujifanya unajua we mjinga, humu ndani tunafichwa kwa hizi ID tu, kwa usijione wewe unajua sanaaa, pia si kila ambacho hukijui basi hakiexist, ukitumia mahaba yako hapa unakosea sana...

Wewe lete uthibitisho kumprove wrong Dr. hizo taarabu unazoshusha hapa mwachie Shilole na Snura
 
Thibitisha uongo wa huyo Dr. la sivyo na wewe ni debe tupu!!!!!!!

Tiba
Mimi nakubali the outcome as it is yeye ndio anatakiwa athibithishe kwa sababu hakubali maelezo jamii nzima iliyopewa.
 
...kwa madaktari makini lazima kuhoji chanzo cha kifo cha Nyerere....Mi sijawahi kusikia leukemia inagundulika uzeeni....Mara nyingi leukemia hugundulika utotoni (pamoja na kwamba ziko aina nyingi)....na mara chache utasikia mtu ana leukemia hadi umri kama wa Nyerere(wagonjwa wengi hufa utotoni...haswa huku kwetu Africa kusiko na dawa poa).....

...Kwa maana hiyo kwa doctor makini kuhoji chanzo cha kifo cha Nyerere ni sahihi.....haswa kwa kuzingatia ubaya wafanyao watawala kwa taifa hili....haswa baada ya kifo cha Nyerere...Hata mimi nina hakika Nyerere walimwua ili waweze kufanya ushenzi walofanyia taifa hili mara baada ya kifo chake....

...Its very logical kuwa walimwua...haikua natural death kabisa....na mbaya zaidi wabongo hawakupewa nafasi ya kuhoji kifo kile....kama ambavyo vifo tata havihojiwi hadi leo....rejea kifo cha Dr.Mvungi....ama Dr.Mgimwa....Dr.Mwaikyusa....Kolimba etc etc....vyote hivi mazingira yanaonyesha kabisa vilipangwa...
 
Hakuna kitu kibaya kama mfumo tegezemi,kwa wale wote waliokuwa wanamtegemea Nyerere kimawazo,kifikra,kiundugu,kiimani na kifalsafa walimgeuza Nyerere kuwa ni mungu.Wana Jf msishangae watu kuja na tuhuma kama hizi.

Mpaka kesho tutaendelea kumuenzi (siyo kumuabudu) JK Nyerere kwa kusikiliza na kufuata usia wake. Hotuba zake hata zile za miaka ya 1947 zinagusa maisha yetu ya leo. Lakini hotuba za wezi, hazifai wala hazina ujumbe unaofaa kwa Taifa.
 
Hivi mtu aliekuwa anaugua leukemia (cancer) kafia hospital UK na hospital inatoa tamko la sababu za kufa bado tu unaweza kuamini porojo?

Natural gani aliitaka yeye hawa watu wamezidi upotoshaji huku ni kujaza ujinga jamii ugonjwa uliomuua mwalimu huko wazi si siri na wala si wakutengenezwa ni biological disorder tu sasa tena anakuja msomi kuleta hekaya maana yake ni nini au anatafuta nini kama si upotoshaji tu kwakweli hawa watu wamezidi.[/QUOT
Mzee aliondoka hapa anatembea vizuri tu, mara tukasikia mzee kafa! hawa watu ni balaa! kama Mama shida ambaye keshafariki alipiga kura ya ndio kwenye katiba, kwanini wasilete habali ya leukemia
 
Acha kujifanya unajua we mjinga, humu ndani tunafichwa kwa hizi ID tu, kwa usijione wewe unajua sanaaa, pia si kila ambacho hukijui basi hakiexist, ukitumia mahaba yako hapa unakosea sana...

Wewe lete uthibitisho kumprove wrong Dr. hizo taarabu unazoshusha hapa mwachie Shilole na Snura
You sound like the people I removed from my life. Sasa hapa ni open forum kujibu ndio kujifanya najua si natakiwa kukosolewa kama nakosea ama?

Halafu who you're does not interest me the slightest matter of fact with anonymity ulitakiwa kuonyesha unachojua directly ata kwa kutufunda ukienda jukwaa la international uhitaji kuwajua members majina yao kujua shughuli zao kutokana na depth ya mambo wanayo jibizana.

Sasa wewe unaeshinda kwenye majukwaa ya kutongozana probably some luuza tu uliefika mahala kwa kubebwa binafsi naamini mtoto wa kiume akifika umri fulani kuna maongozi huwa haya make sense au kushinda anacheka cheka na akina dada all the time anymore; anyway that is me na watu wa dizaini hizo ata wawe akina nani hapana.
 
Sasa kama hana mke, anatafuta mwanamke utasemaje waume wapo tele? Unasema aolewe, ataolewaje mwanaume? Anatafuta mwanamke kama wewe sio mwanaume. Unataka kuleta mambo gani tena hapa? Ushindwe na ulegee.
Waume wamejaa tele kama anatafuta, aolewe.
 
Mzee aliondoka hapa anatembea vizuri tu, mara tukasikia mzee kafa! hawa watu ni balaa! kama Mama shida ambaye keshafariki alipiga kura ya ndio kwenye katiba, kwanini wasilete habali ya leukemia
Unajua kama alipata na stroke wakati yuko kwenye matibabu na ndio iliyomuondoa? au hiyo pia ilipangwa na waliomuua.

_457741_nyerere300.jpg

Former Tanzanian President Julius Nyerere has died - one of the most influential African statesmen of his generation.
The 77-year-old statesman was diagnosed with leukaemia in August 1998 and was being treated in a London hospital.
The man who led Tanzania to independence and served as its first president from 1961 to 1985, had what was described as a massive stroke earlier this week and doctors said he would not recover.

Addressing the nation on television, Tanzania's current President Benjamin Mkapa announced that he died at 0730gmt at St Thomas's Hospital in London.

"I know it is shocking news to all of us Tanzanians who loved and revered Nyerere, the father of our nation.
"I am asking you my fellow countrymen to remain calm at this difficult time of extreme grief," he said.

He said the challenge now was for Tanzanians to build on the important foundation which he laid for our nation.
An important opponent of colonialism and apartheid, Dr Nyerer stood out as an African leader who ignored the trappings of power.

However, as an African socialist his policy of "ujama", community-based farming collectives, proved disastrous for many and Tanzania's economy suffered.

After stepping down as president, Dr Nyerere became an influential figure on the international scene.
Most recently he had been mediating talks in northern Tanzania aimed at ending the ethnic and political conflict in Burundi.
BBC News | Africa | Tanzania's Nyerere dies
 
Unajua kama alipata na stroke wakati yuko kwenye matibabu na ndio iliyomuondoa? au hiyo pia ilipangwa na waliomuua.
Sidhani kama unayoyasema yana ukweli wowote, watu wana taarifa zote, wewe una zako, na wao wana zao sasa zipi ni zenyewe, au halali?
 
Kwa sababu yeye ndie aliemfanyia post mortem examination au ana ripoti ni nini hasa ushahidi wa hoja zake? hawa ma Dr wetu hawa kwa kweli wanaanza kuchosha na hizi tabia za kuropoka ropoka ovyo.

Alienda kumtembelea akaona uko alikolazwa St. Thomas hospital au hata anajua wodi zenyewe zikoje?

Ni wakati sasa wa watu waongo kuitwa kukanusha habari zao maana huku ni kupumbaza jamii au kutafutiwa namna moja ama nyingine za adhabu this is too much sasa kama Dr.s ni waongo kushuka chini inakuaje?

ww ni nani wa kujibu hoja zote za uzi hapa JF?
 
Sidhani kama unayoyasema yana ukweli wowote, watu wana taarifa zote, wewe una zako, na wao wana zao sasa zipi ni zenyewe, au halali?
Wakitaka watufunge midomo na kukata mzizi wa fitina waziweke kwenye public domain, watu waliposema J.F Kennedy aliuliwa ilifanyika investigation kuanzia security measures za rais anapokuwa kwenye open space, route inatakiwa iwe ring fenced vipi, monitor possible hazards na kama ilikuwa sahihi kwa inteligence kumu expose the way they did. Hivyo vitu avifanyiki bila ya kujua 100% safe.

Bado wakaja kuzingatia response unit na muda uliotumika everything to do with the president security mpaka ikaonekana ni mpango wa CIA na motive was clear.

Leo tunajua kuna kesi ambazo zimefungwa hillary clinton alikuwa na bwana kabla ya mumewe kuwa madarakani ilibidi aondolewe na kwa sababu abc na evidence abc; alijua kuhusu Clinton abc na angeweza muharibia.

In short unapotaka kuleta consipiracy back it up completely na hii inataka iende all the way to the role of UK hospital kama kuna report ya autopsy iliyofichwa na mengineo vinginevyo inakuwa umbeya tu. Sasa na Dr anapojiingiza kati inaonyesha weledi wake kama msomi ulivyo finyu.
 
ww ni nani wa kujibu hoja zote za uzi hapa JF?
Sijamjibu ambae ajani quote wewe inakuhusu nini kusoma hoja zote nazojibu pengine nataka majibu ya kweli ndio maana nauliza kutokana na mazingira yaliyo wazi or else watu waache kuropoka.
 
Wakitaka watufunge midomo na kukata mzizi wa fitina waziweke kwenye public domain, watu waliposema J.F Kennedy aliuliwa ilifanyika investigation kuanzia security measures za rais anapokuwa kwenye open space, route inatakiwa iwe ring fenced vipi, monitor possible hazards na kama ilikuwa sahihi kwa inteligence kumu expose the way they did. Hivyo vitu avifanyiki bila ya kujua 100% safe.

Bado wakaja kuzingatia response unit na muda uliotumika everything to do with the president security mpaka ikaonekana ni mpango wa CIA na motive was clear.

Leo tunajua kuna kesi ambazo zimefungwa hillary clinton alikuwa na bwana kabla ya mumewe kuwa madarakani ilibidi aondolewe na kwa sababu abc na evidence abc; alijua kuhusu Clinton abc na angeweza muharibia.

In short unapotaka kuleta consipiracy back it up completely na hii inataka iende all the way to the role of UK hospital kama kuna report ya autopsy iliyofichwa na mengineo vinginevyo inakuwa umbeya tu. Sasa na Dr anapojiingiza kati inaonyesha weledi wake kama msomi ulivyo finyu.

unatakiwa kujua kuwa nchi zetu hizi zinatawaliwa sana na mifumo mibovu ya kutoa habali kwa wazi na haki, kumbuka issue ya Balali, akuna anayeweza kudhibitisha kifo chake, nchi hizi zenye kiwango kukubwa cha uharifu wa rushwa si rahisi kupata exectly habali ikawa ya uhakika, hivyo si lazima ubase kwenye upande mmoja hundred percent ukamezeshwa kila habali inayotolewa!
 
At least your implying kuuliza si ujinga lakini si ndio ninachofanya hapa?

Mazingira, historia na facts za kifo zinasema abc sasa mtu anaposema hapana aikuwa hivyo kuna mambo mengine zaidi si ata wewe ungetaka kujua mbona facts zipo hivi na wewe unasema vile? lile gonjwa linaweza kuwa implanted, stroke ilitengenezwa, autopsy inasemaje etc to do with circumstance. Si hata 'inspector Columbo' au 'Mrs Fletcher' ndio wanavyofanya kwenye detective work zao sasa kuuliza au kutaka kujua testimony za huyu Dr wengine wanaona why? only in Afrika.

alamsiki.
 
Na alimwambia mmojawapo kuwa "nikirudi st thomas itabidi uwaeleze watanzania nyumba afrika ya kusini umeipataje". kulikuwa na kasi ya ubinafsishaji wa rasilimali nyingi za tz. So sad.
 
In short unapotaka kuleta consipiracy back it up completely na hii inataka iende all the way to the role of UK hospital kama kuna report ya autopsy iliyofichwa na mengineo vinginevyo inakuwa umbeya tu. Sasa na Dr anapojiingiza kati inaonyesha weledi wake kama msomi ulivyo finyu.

Mkuu nilimsikiliza jamaa live akiuongea, Alichosema ni kuwa Mwalimu alilazwa wodi third part yani ile ya wagonjwa wengi kiasi hata watu wengine wa nchi zingine wanao mjua na kumuheshimu mwalimu walishangaa sana, anachoamini jamaa ni kuwa mwalimu kama angepewa huduma first class asingekufa alivyo kufa.
 
At least your implying kuuliza si ujinga lakini si ndio ninachofanya hapa?

Mazingira, historia na facts za kifo zinasema abc sasa mtu anaposema hapana aikuwa hivyo kuna mambo mengine zaidi si ata wewe ungetaka kujua mbona facts zipo hivi na wewe unasema vile? lile gonjwa linaweza kuwa implanted, stroke ilitengenezwa, autopsy inasemaje etc to do with circumstance. Si hata 'inspector Columbo' au 'Mrs Fletcher' ndio wanavyofanya kwenye detective work zao sasa kuuliza au kutaka kujua testimony za huyu Dr wengine wanaona why? only in Afrika.

alamsiki.

Ni kwa sababu mifumo mibovu Afrika, wanapenda watawala kuitumia ili wafaidike na wakitokea wajanja wachache wakawagundua ndo presha kubwa ya watetezi kama nyie inaibuka kusawazisha mambo, lakini ukweli unajulikana
 
Mkuu nilimsikiliza jamaa live akiuongea, Alichosema ni kuwa Mwalimu alilazwa wodi third part yani ile ya wagonjwa wengi kiasi hata watu wengine wa nchi zingine wanao mjua na kumuheshimu mwalimu walishangaa sana, anachoamini jamaa ni kuwa mwalimu kama angepewa huduma first class asingekufa alivyo kufa.
Ni upotoshaji muulize mtanzania yeyote aliyewahi kutibiwa hospitali yeyote UK kama kuna kitu kama icho.

Eti third class services wagonjwa NHS wanatibiwa according to their urgency of supervision. Sasa kama mwalimu alipata stroke moja kwa moja atakuwa alikuwa intensive care units waulize wengine kama nurse anacheza mbali na mgonjwa au zikoje intensive care units?

Ni hivi ngoja nikupe mfano mimi kuna ndugu yangu alifika UK na mimba yake katoka nayo huko alikoipata, kafika UK kasahau details zake alizoziacha miaka karibu 17 iliyopita. Alichokumbuka ni jina tu la mazabe siku zilipofika alipoenda hospitali hawataki kujua nani analipa au hata kama unaruhusiwa kutibiwa bure hiyo ndio NHS.

Sasa basi yule mtoto alipozaliwa alikunywa maji ya uzazi ikabidi awekwe intensive care, sikia hivyo hivyo hiyo supervision yake mama mtu anakuja kukamuliwa maziwa tu na kumshika kwa nusu saa kila baada ya masaa wanayo muitaji. Halipo maliza hapo ndio wakampa bill yake ya £18,000 mungu si athumani na yeye huku kuna mtu ndio akawa keshamfukua jina.

Huo ndio utaratibu wa NHS juzi Cameron alisema wageni wasitibiwe kama hawana hela ya kulipa madokta walimjia juu kwamba hiyo si shughuli yao wao kazi yao ni kutibu according to ethics watampa bill baadae it is up to government to follow up. These people do understand ethics of their job na hakuna kitu kama daraja la huduma NHS. Muulize mtu anaeishi UK atakwambia wako wengi hapa kwenye forum.

Sasa nyerere awekwe kwenye daraja mmh hadithi tu.
 
Back
Top Bottom