Dr. Leny Kasoga: Nyerere hakufa 'natural death'

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,640
Reaction score
164,788
Katika kipindi cha cha malumbano ya hoja kinachorushwa na ITV,mkuu wa chuo cha Bagamoyo, Dr.Leny Kasoga amefunguka na kusema mwalimu Nyerere hakufa 'natural death'.

Dr.Kasoga,akiwa mmoja wa wazungumzji wakuu, aliongeza kuwa hata katika ile hospitali aliofia baba wa taifa, alilazwa katika wodi ya daraja la tatu kwani alichanganyika na wagonjwa wengine kama wahindi n.k kitua ambacho hakikulingana na hadhi yake.

Kwa maoni yangu,huyu Dr. yanaweza kumkuta yaliyomkuta Mbowe baada ya kutangaza maandamano ama kwa kibali au hata pasipo kibali cha polisi.
 
Nilisikiaga kuwa baada kuona ubinafsishaji wa makampuni ya Uma unakosa uungwaji mkono na Mwalimu, ikabidi wamtanguleze kwa lazima.

Ngoja tutasikia mengi tu.
 
Yule jamaa angekuwepo Leo angekua anavaa gwanda nakwambia.ccm wakaona wamtangulize wafanye yao.ila all iz well yatafichuka tu mengi
 
Dr.Leny Kasoga amefunguka na kusema mwalimu Nyerere hakufa natural death.
Kwa sababu yeye ndie aliemfanyia post mortem examination au ana ripoti ni nini hasa ushahidi wa hoja zake? hawa ma Dr wetu hawa kwa kweli wanaanza kuchosha na hizi tabia za kuropoka ropoka ovyo.

Dr.Kasoga,akiwa mmoja wa wazungumzji wakuu, aliongeza kuwa hata katika ile hospitali aliofia baba wa taifa, alilazwa katika wodi ya daraja la tatu kwani alichanganyika na wagonjwa wengine kama wahindi n.k kitua ambacho hakikulingana na hadhi yake.
Alienda kumtembelea akaona uko alikolazwa St. Thomas hospital au hata anajua wodi zenyewe zikoje?

Kwa maoni yangu,huyu Dr. yanaweza kumkuta yaliyomkuta Mbowe baada ya kutangaza maandamano ama kwa kibali au hata pasipo kibali cha polisi.
Ni wakati sasa wa watu waongo kuitwa kukanusha habari zao maana huku ni kupumbaza jamii au kutafutiwa namna moja ama nyingine za adhabu this is too much sasa kama Dr.s ni waongo kushuka chini inakuaje?
 
Kwa sababu yeye ndie aliemfanyia post mortem examination au ana ripoti ni nini hasa ushahidi wa hoja zake? hawa ma Dr wetu hawa kwa kweli wanaanza kuchosha na hizi tabia za kuropoka ropoka ovyo.

Alienda kumtembelea akaona uko alikolazwa St. Thomas hospital au hata anajua wodi zenyewe zikoje?

Ni wakati sasa wa watu waongo kuitwa kukanusha habari zao maana huku ni kupumbaza jamii au kutafutiwa namna moja ama nyingine za adhabu this is too much sasa kama Dr.s ni waongo kushuka chini inakuaje?
Kweli.
Tena alinichosha zaidi anaposema kuwa aliwekwa wodi daraja la tatu...
 
Kwa sababu yeye ndie aliemfanyia post mortem examination au ana ripoti ni nini hasa ushahidi wa hoja zake? hawa ma Dr wetu hawa kwa kweli wanaanza kuchosha na hizi tabia za kuropoka ropoka ovyo.

Alienda kumtembelea akaona uko alikolazwa St. Thomas hospital au hata anajua wodi zenyewe zikoje?

Ni wakati sasa wa watu waongo kuitwa kukanusha habari zao maana huku ni kupumbaza jamii au kutafutiwa namna moja ama nyingine za adhabu this is too much sasa kama Dr.s ni waongo kushuka chini inakuaje?

Kwa mujuibu wa mdao mmoja,huyo Dr.Kao mjukuu wa Nyerere hivyo huenda ana taarifa za kutosha kuhusu nini kilitokea.

Ila kama amedanganya wamshitaki maana kaongea live na ushahidi wa alichosema utapatikana.

Hata hivyo,ni mashaka na serikali kuthubutu kwani huenda wakaumbuka.
 
Sasa Leukemia iliyosababisha Ukosefu wa Kinga Mwilini itakuwaje "natural death"?

Upunguani mwingine umevuka mipaka.
 
Inawezekana walimkolimba!

Si unaona NBC alikataa kuibinafsisha, na sasa iko mahututi!
 
Back
Top Bottom