Dr. Leny Kasoga: Nyerere hakufa 'natural death'

Dr. Leny Kasoga: Nyerere hakufa 'natural death'

Hakuna kitu kibaya kama mfumo tegezemi,kwa wale wote waliokuwa wanamtegemea Nyerere kimawazo,kifikra,kiundugu,kiimani na kifalsafa walimgeuza Nyerere kuwa ni mungu.Wana Jf msishangae watu kuja na tuhuma kama hizi.

Kama wewe unavyomtegemea Mkuu wa Kitengo cha Book7 Lumumba!
 
Kwa nini kukanusha na isiwe kuelezea vizuri kwa maana ya kutoa evidence? ina maana hamtaki iwe kweli au?
At least your making sense I would love to see him enlightening us how leukemia could be implanted. Na anadhani ni kipindi gani aliwekewa hilo gonjwa.
 
... Acha kudhalilisha elimu za watu.
Namdhalilisha au anajidhalilisha sio mimi niliesema cancer ni gonjwa la kupachikwa wala mwalimu kalazwa wodi daraja la tatu. Hakuna wodi daraja nchi za ulaya wodi zinaendana na urgency inayohitajika na mtu anaelipia huduma moja kwa moja anakwenda kwenye importance ya NHS ukizingatia nahospitali yenyewe ndio kabisa wakikushindwa wale sijui wapi watakuweza ni hospitali ya chuo hapo alipofia na wataalamu wote waliobobea wapo hapo kama hujui.
 
Hapa mwenye mtindio wa ubongo ni wewe, Ulipaswa kutuletea uthibitisho wa document beyond question of doubt kumprove wrong Dr., sasa na wewe unabwabwaja thread nzima, mama vipi?
Ungekuwa unaweza toa kithibitisho ya luekemia inaweza kuwa implanted labda ungekuwa na hoja vinginevyo endelea kumsikiliza huyo professor wako uchwara.

Wacha niingie kitaa rasmi mie kwa siku ya leo kuliko kujibizana na akina empty cans; kelele mingi ndani amna kitu.

R.I.P mwalimu we miss you watanzania wazalendo sio wale wanaotumia jina lako kwa faida zao kukiponda chama chako.
 
Dont be so defensive honey!. Stick to the point, dont even exaggerate. Dr. Kasoga kasema in a very simple and clear way kwamba Nyerere hakufa natural death!.

No true scientist or any balanced mindset would breath fire for his comment kama wewe. "..alimpima yeye........sijui ma Dr. wa siku hizi...........blah blah .", ishara za hofu na limited listening and reasoning abilities. Any intellectual asingesema kwa emotions kama kuku wa kizaramo anataka kutaga kama ulivyoonyesha wewe.

No research no right to conclude na research ziko nyingi. Mtu kusema taarifa anayoifahamu na kuiamani si lazima yeye ndiye awe amekusanya primary data. Be careful sweetheart!.

Mtu kukupa sehemu ndogo tu ama hitimisho la topic kama Kasoga alivyofanya, haina maana kwamba hana data za kusupport hitimisho lake. Mtu mweye ufahamu kamili asingekimbilia ku refute na kum dis mchumi wa watu bila kutafuta kujua kwa nini kasema hilo.

Kama angetoa maelezo yasiyotosheleza na ukajua hana taarifa wala takwimu sahihi, hapo ungeanza kumkandia.

Lakini kwa picha uliyojianika nayo hapa, inaonekana wewe ndiye una tatizo na wala si la Kasoga. By the way umekosea Kasoga si Dr. wa Siku hizi kama unavyo piga ramli. Na ndiyo maana nikauuliza, unafahamu profile yake? Kama huna hakika na jambo, wala huna sababu ya kulazimisha kufahamu hadi ufahamu.

Na si ajabu ukaja hapa na bubbles kujitnetea kwamba unafahamu ulichokisema na hutaki kuambiwa ukweli niliokuambia na ambako kwa watu waaina yako lazima aukatae. Hata hivyo sihitaji malumbano.

Ongeza maarifa ya utafiti na uchambuzi kama si kubadili fake motives zinazokufanya u defend serikali na ccm hata pale unapojua ziko wrong.

Kwa heri na sirudi tena hapa.

Simjui wala anisaidii hila nachosikia ni kwamba Dr Kasoga alifukuzwa UDSM kwa hiyo bado atakuwa na hasira na serikari.

Swali kwako Dr Kasoga ni mtaalamu wa medical au ana research ya cancer yenye maelezo vinginevyo yeye na mimi tunategemea ripoti ya wa taalamu. Au wewe unafikiri Dr wa elimu ni sacred? kasoma tu wala usitishike ndugu lakini aina maana kwa mwengine akisomeki au awezi kupingwa ata kama angekuwa na researched artciles on the field. How do you think we evolve our understanding kutoka kukatana kama tuko butcher kwenye ma-operation miaka si mingi iliyopita mpaka kutumia lenses kuvunja mawe mwilini na kuflush na mirija.

Wake up mwafrika wewe.
 
Kwa mimi ninaavyofahamu hakuna kitu kama artificial death all deaths are natural if i kill someone todays it is natural for a human to kill if i create a poison to kill its natural for human beings to create lethal material to kill each other sasa asikwambie mtu kuna natural deaths na ambazo sio natural. Atomic bombs deaths all are natural, malaria deaths are natural,ebola deaths are natural etc.

Usitufanye wajinga!
 
Kwa sababu yeye ndie aliemfanyia post mortem examination au ana ripoti ni nini hasa ushahidi wa hoja zake? hawa ma Dr wetu hawa kwa kweli wanaanza kuchosha na hizi tabia za kuropoka ropoka ovyo.

Alienda kumtembelea akaona uko alikolazwa St. Thomas hospital au hata anajua wodi zenyewe zikoje?

Ni wakati sasa wa watu waongo kuitwa kukanusha habari zao maana huku ni kupumbaza jamii au kutafutiwa namna moja ama nyingine za adhabu this is too much sasa kama Dr.s ni waongo kushuka chini inakuaje?

Thibitisha uongo wa huyo Dr. la sivyo na wewe ni debe tupu!!!!!!!

Tiba
 
Hivi mtu aliekuwa anaugua leukemia (cancer) kafia hospital UK na hospital inatoa tamko la sababu za kufa bado tu unaweza kuamini porojo?

Natural gani aliitaka yeye hawa watu wamezidi upotoshaji huku ni kujaza ujinga jamii ugonjwa uliomuua mwalimu huko wazi si siri na wala si wakutengenezwa ni biological disorder tu sasa tena anakuja msomi kuleta hekaya maana yake ni nini au anatafuta nini kama si upotoshaji tu kwakweli hawa watu wamezidi.

Hata kiongozi wa Palestina,marehemu Yasin Arafat,watu walijua kafa kifo cha kawaida ila baadae ilukuja kuoenekana aliwekewa sumu ya madini hatari ya Plutonium hivyo hata kwa Nyerere lolote linawezekana.
 
Katika kipindi cha cha malumbano ya hoja kinachorushwa na ITV,mkuu wa chuo cha Bagamoyo, Dr.Leny Kasoga amefunguka na kusema mwalimu Nyerere hakufa 'natural death'.

Dr.Kasoga,akiwa mmoja wa wazungumzji wakuu, aliongeza kuwa hata katika ile hospitali aliofia baba wa taifa, alilazwa katika wodi ya daraja la tatu kwani alichanganyika na wagonjwa wengine kama wahindi n.k kitua ambacho hakikulingana na hadhi yake.

Kwa maoni yangu,huyu Dr. yanaweza kumkuta yaliyomkuta Mbowe baada ya kutangaza maandamano ama kwa kibali au hata pasipo kibali cha polisi.
Watanzania nyie , mnapenda ku-feed on your wild imaginations based on unfounded allegations!!!!
 
Ukoo wa akina Kasoga naangallia kwenye mtambo wa darubini ya asili naona kuna watu wana maradhi ya ugonjwa wa akili (certified Vichaa) naona naye kimemuanza.Niko serious ndugu wamuwaishe hospitali ya vichaa.Tayari kimemuanza.Ndugu wa karibu wahini.
Brother hayo matusi
 
Alipewa plutonium!!!! Ili Iweje! sell of NBC, sera ya ubinafsishaji! Migodi ha dhahabu, nk nk nk.
Mnakumbuka Yule binti machachari bungeni na alivyoondoka? Time will tell I guess.
 
Dont be so defensive honey!. Stick to the point, dont even exaggerate. Dr. Kasoga kasema in a very simple and clear way kwamba Nyerere hakufa natural death!.

No true scientist or any balanced mindset would breath fire for his comment kama wewe. "..alimpima yeye........sijui ma Dr. wa siku hizi...........blah blah .", ishara za hofu na limited listening and reasoning abilities. Any intellectual asingesema kwa emotions kama kuku wa kizaramo anataka kutaga kama ulivyoonyesha wewe.

No research no right to conclude na research ziko nyingi. Mtu kusema taarifa anayoifahamu na kuiamani si lazima yeye ndiye awe amekusanya primary data. Be careful sweetheart!.

Mtu kukupa sehemu ndogo tu ama hitimisho la topic kama Kasoga alivyofanya, haina maana kwamba hana data za kusupport hitimisho lake. Mtu mweye ufahamu kamili asingekimbilia ku refute na kum dis mchumi wa watu bila kutafuta kujua kwa nini kasema hilo.

Kama angetoa maelezo yasiyotosheleza na ukajua hana taarifa wala takwimu sahihi, hapo ungeanza kumkandia.

Lakini kwa picha uliyojianika nayo hapa, inaonekana wewe ndiye una tatizo na wala si la Kasoga. By the way umekosea Kasoga si Dr. wa Siku hizi kama unavyo piga ramli. Na ndiyo maana nikauuliza, unafahamu profile yake? Kama huna hakika na jambo, wala huna sababu ya kulazimisha kufahamu hadi ufahamu.

Na si ajabu ukaja hapa na bubbles kujitnetea kwamba unafahamu ulichokisema na hutaki kuambiwa ukweli niliokuambia na ambako kwa watu waaina yako lazima aukatae. Hata hivyo sihitaji malumbano.

Ongeza maarifa ya utafiti na uchambuzi kama si kubadili fake motives zinazokufanya u defend serikali na ccm hata pale unapojua ziko wrong.

Kwa heri na sirudi tena hapa.
Amazing blah blah useme wewe halafu uje uni accuse mie.

Maneno mingi sijui mzaramo, mara wewe intellectual, sweetheart and msomi wa zamani dr wako etc to do with porojo.

Hapo kwenye msomi wa zamani dunia zingine baada ya miaka mitatu syllabus shule zinazotakiwa kujenga field reasoning marufuku kutumia vitabu vyenye miaka mitatu kwa sababu pengine theories zimesha evolve; huko mbele ni creativity inahitajika na how current is the student sasa kama msomi akishapata Dr.s yake na ajui current affairs sidhani kama anaweza pewa platform ya kuchanganua mambo kwenye kadamnasi..

Mtu anadai mwalimu ajafa na natural death wakati hospital aliyofia inasema ni leukemia na habari zipo mpaka kwenye nakala za BBC UK. Sasa ina maana hata huyo Dr mzungu aliemfanyia post-moterm yupo kwenye system. Mtu mwenye walau akili zake angeuliza linawezekana vipi hil swala kwenda un noticed hata kwa wenzetu au waliomuua wanajiamini vipi sumu zao azitokuwa noticed huko kwenye hospitali ya mabingwa.

Isitoshe cancer upati leo ukafa kesho sasa ni nani aliejua kipindi hiki atakuwa kesha ondoka kusudi yeye anufaike?

Try to reason a bit and it wont make sense or else utakuwa unalishwa utumbo with every harry and tom with a Dr.s title shauri zako.

Hata mimi sioni sababu ya kuendelea na wewe you dont bring facts on the table any way, you couldn't even if you want to because its all in ya head.
 
Hata kiongozi wa Palestina,marehemu Yasin Arafat,watu walijua kafa kifo cha kawaida ila baadae ilukuja kuoenekana aliwekewa sumu ya madini hatari ya Plutonium hivyo hata kwa Nyerere lolote linawezekana.
Then waliomuua itakuwa wameshirikiana na wafaransa maana ndiko alikofia na awakutoa ripoti sasa unataka kutanua wigo la conspiracy theory yako waliomuua Mwalimu walishirikiana na MI5? kaazi kweli kweli.
 
Back
Top Bottom