Jaffary
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 808
- 389
Naomba mwenye ule waraka aulete hapa ili tufanye analysis nzuri tutende haki. Na vile vile tumuombe Dr atufafanulie jinsi maamuzi yalivyofikiwa mpaka wao kuadhibiwa je ilikuwa ni matakwa ya wengi kidemokrasia ua maamuzi ya wachache.
Tuchambue hoja zote halafu tutende haki kwa pande zote na sisi wanachma na wapenzi tujitendee haki.
mkuu Mkwawa ukiona mtu haheshimu mamlaka iliyo juu yake basi huyo hafai.
Kumwita kiongozi wako hana elimu, eti yupo too local n.k huku ukifahamu fika huo uongozi amepewa na wanachama huo ni utomvu wa nidhamu wa hali ya juu
likewise kumpigia mtu kampeni kwa kutumia propaganda za kidini na muflisi tuu wa mawazo na fikra ambaye anaweza kuyatenda.
Dr. Ametenda yote haya why not to be kissed off?
Last edited by a moderator: