Dr.Kitila Mkumbo: Tunahitaji mbadala wa CCM na CHADEMA

Dr.Kitila Mkumbo: Tunahitaji mbadala wa CCM na CHADEMA

Kitila anaburuzwa na ZItto tu, namjua vizuri ni kilaza flani hivi. Kana uroho wa madaraka ile mbaya. Kana maneno mengi ndo maana kanaonekana kanajua kitu...kalisoma PCB pale Pugu kakapata ufaulu hafifu kakapita njia za panya kwenda chuo kusoma ungwini...ati nako kana PhD!
Zitto ni kama mlima kwa haka kajamaa..ndo maana anakadrg kwenye matope na ki PhD chake!
However, ni ka home boy kangu na nilikuwa mbele yake pale Pugu A-level.

Elimu ya TZ majanga matupu.

Hivi kimburura kama hiki kinapataje PhD? Kumbe kamesoma sayansi? Ndo maana huwa kanahangaika sana kwenye kipindi cha "This week in perspective". Kalistahili kufukuzwa muda mrefu sana naona CHADEMA walikavumilia sana.
 
Natamani kuona Dr. Kitila, Zitto, Mwigamba na MM@ wanatakiwa kuanzisha chama chao ambacho ndicho MBADALA wa CCM na CDM.

Kujenga mawazo ya kushawishi watafute mbadala bila kusema ni chama gani ni lazima sasa waseme bila kumumunya maneno kuwa chama chao watakachokianzisha ndicho mbadala wa tamko lao hilo.

Hata hivyo unapoona kuwa mbadala ni chama kingine usihangaike kusababisha mitafaruku bali anzisha cha kwako ili uoneshe ROLE MODEL ikiwa ni rahisi kihivyo.

Aliyeanzisha CCM au CDM au NCCR au chama chochote kile aliona kitu kama hicho lakini akachukua uamuzi sahihi wa kuanzisha chama ambacho alikitafutia sera na kanuni ndiyo maana wakaanzisha.

KINYUME NA HAPO NI POROJO NA KUJITAFUTIA UMAARUFU WAKATI UMENYEA KWENYE BAKULI LAKO LA MSOSI. M*A*T*AKO.
 
- Pole sana Dr. Kitila ila maandishi yako kwangu ninayejua siasa yanaonyesha kwamba wewe sio mwanasiasa, ungekuwa basi usingeandika maneno ya kukata tamaa mapema hivi ulitakuwa kuwa kama Zitto kupigana mpaka damu ya mwisho wewe hujapigana, umekalia maneno maneno tu ya kulia lia kama haya yatakusaidia nini? Nani anayasikiliza haya now, watu wanasonga mbele kaka umeshirikana na hawa wahuni huko Chadema sasa wamekutema unaleta hizi? wote huko mlikuwa wammoja ni Zitto tu peke yake ndiye hakuwa na nyinyi siku zote na ndio maana mpaka leo anasimama nao na kinaeleweka,

- Kitila wewe ndugu yangu sana naomba kukwambia bila kuchanganya maneno wewe sio mwanasiasa ni mbabaishaji, sasa wachana na hii field ya siasa endelea na kufundisha kaka, Zitto ni politician sio wewe kaka badilisha field now ulikimbia CCM sasa umekimbizwa Chadema, ni wakati wa kuwacha siasa tu ninakwambia hvii kwa sababu ninakuheshimu sana wacha siasa huziwezi kaka!!

Le Mutuz
 
Dr. Kitila

Sikubahatika sana Kusoma mabandiko yako yoyote Kwa undani Na Kwa mantiki hiyo sijawahi kuccoment negative wala positive Kwenye maelezo yoyote yanayo kuhusu. Nina principle ya kutomwongelea Mtu kabla ya Kujua uwezo wa fikra zake. Sisi tunaoamini NENO la Mungu linasema

Luka 5:45--Mtu mwema katika hazina njema ya moyo wake hutoa yaliyo mema, na mtu mwovu katika hazina mbovu ya moyo wake hutoa yaliyo maovu; kwa kuwa mtu, kinywa chake hunena yale yaujazayo moyo wake.

Sasa Kama Bandiko Hili ndio Picha ya Yale yaujazayo Moyo Wa Dr. Kitila Basi SINA shaka wala dukuduku tena Kwamba ilipaswa Kweli aondolewe.

Labda Dr Kitila Uelewe Dhima ya Chama Cha Kisiasa, Na KUSUDIO la Chama CHOCHOTE kuongoza DOLA, sio mambo ya ujingajinga, ubinafsi Na SHAUKU au Tamanio binafsi la Mtu au kikundi flan Cha watu. Na pia wanayekuita Dr Uelewe pia Dhima ya Kiongozi au Mwanachama wa Chama Chochote Cha Kisiasa Chenye mtazamo Na Kusudio la kishika Dola sio KUSINDIKIZA, huelekeza kutumia Akili zake, nia Yake, Elimu Yake Na hata Muda wake kuchochea vuguvugu Hilo la mageuzi Kwa bidii Na sio kila anapogeuza pillow kitandani mwake anawazia Uongozi huu ni Ugonjwa wenye kutu mbaya sana. What is chairmanship?!??! ..

Wakati Mwingine sikatai unaweza kuchochea vuguvugu hili la Mageuzi, lakini ukahisi hawakuelewi au hawakuamini au wanakupuuza, lazima ukifanyie introspect .. Kwanini hawanielewi.. Ni aina ya uzembe wa kufikiri kuamini your are always 100% parfect and these fellows ate fools..

Lakini pia Kama unaamini my fellow are cup of fools thats why they anderstand not my smart plan, kwanini ung'ang'anie Kuwa Na unaoamini ni wajinga!!? . Kwanini usijiondoe weye mstaarabu ukaanzisha kile chako unachoamini kiko sahihi .. Utauza sera zako yamkini watu wakaziamini Na kukuunga mkono.. Unless uwe Na Tatizo ..unapoanza kuwapinga, kuwakosoa wale unaoamini hawako sawa unadhani nani Hayuko Sawa.
Mwalimu wangu wa Hesabu nayemweshimu sana Marehemu Prop.Shayo alianzisha Chama Chake, Demokrasia Makini Sitaki kuongelea alifaulu au alifeli lakini alianzisha Chama chake kivyake, Sheria Za Kuanzisha Chama Cha Kisiasa Tanzania ziko wazi ANZA CHAKO FANYA YAKO FUJO YA NINI, Makelele ya NINI??!????!

MBAYA zaidi unatumia Vibaya Kurasa Za Magazeti Kufanya political pollution ..! Ungedadavua kwanini mliamua kuandaa waraka kinyume Na Taratibu Za Chama Chenu?!Na kwanini mlikwenda kinyume Na tararibu zenu mwenyewe, Je demokrasia ya VYAMA vingi ni Kufanya kila ukitakacho Ndani ya Chama Kwa jina la Vyama vingi?!?

Ungeeleza Nani Na wapi Alinyimwa nafasi ya Kugombea uongozi mahali Fulani Na Kwa nini!? Na yamkini Sababu hiyo iliwapelekea kuandaa waraka ule!?!?? Lakini Cha zaidi ungeeleza Kama kuna kifungu Ndani ya KATIBA ye Chama Chenu kilichotoa mwanya wa ninyi kufanya kile mlichokifanya? Lakini zaidi sana jiulize mwenyewe Je Kama wewe utakuwa Mwenyekiti wa Chama flani Je utapendelea team yako ya Kazi nayo ikawa inatengeneza side-mastermind Na Fukuto mbalimbali..!?

Lakini Mwisho umetumia 96% ya Waraka wako Kumtetea mwanachama mwenzako wala sio wewe huu ni udhaifu mkubwa unaotoa upenyo mtu ku-smell something fishy around.. Jitambue .. Nyuma kuna Jamii Kubwa ya Watanzania wanaotaka Mageuzi.. Utaingizwa wewe Na ukoo wako wote Na jamaa Za nyumba yako Kwenye record Za wasaliti wa mageuzi..

Umetoa point tupuuuuuuuuuuuuuuuu! You are really a great thinker
 
Elimu ya TZ majanga matupu.

Hivi kimburura kama hiki kinapataje PhD? Kumbe kamesoma sayansi? Ndo maana huwa kanahangaika sana kwenye kipindi cha "This week in perspective". Kalistahili kufukuzwa muda mrefu sana naona CHADEMA walikavumilia sana.
Mkuu, lecturer wa chuo kikuu cha dar es salaam, tena docta aliyebobea kwa usomi bado unamuita mburula? Hivi kuna kiongozi anafanana na kitila?
 
Naweza nisiwe na tatizo sana na waraka ila content za huo waraka.

Waraka una udini, matusi, majivuno na kila aina ya uchafu.

Huwezi kutafuta cheo kwa kuwakashifu na kuwatukana wenzio, this is unacceptable!

Uliaminika nje na ndani ya chama lakini umejiaibisha... go to hell doctor!

Naomba mwenye ule waraka aulete hapa ili tufanye analysis nzuri tutende haki. Na vile vile tumuombe Dr atufafanulie jinsi maamuzi yalivyofikiwa mpaka wao kuadhibiwa je ilikuwa ni matakwa ya wengi kidemokrasia ua maamuzi ya wachache.

Tuchambue hoja zote halafu tutende haki kwa pande zote na sisi wanachma na wapenzi tujitendee haki.
 
Kitila ameeleza vizuri sana tatizo na "ujinga ulipo"

ila sidhani kama washabiki tuna uwezo wa kutambua kwamba hakuna ujinga bila wajinga... na sisi dnio wajinga

it would have been easy kuboresha chama kwa kumshinda Zitto kwenye kura, through carefully crafted strategy kuliko kumfukuza ili asigombee

chadema has fallen into the same trap and those "system" people will believe that wameshinda vita, kumbe adui kajipiga risasi mwenyewe
 
naunga mkono hoja,nazan watu kma tundu lissu ndio wanaua chama,yey si mwanasiasa ni mwanaharakat hatufahi chedema
 
Chadema wapo kwenye wakati mgumu sana. Soon watasambaratika

mhh mtasubiri sana

- Pole sana Dr. Kitila ila maandishi yako kwangu ninayejua siasa yanaonyesha kwamba .............tu ninakwambia hvii kwa sababu ninakuheshimu sana wacha siasa huziwezi kaka!!

Le Mutuz

Mhh hata mizuka inatoa ushauri-just kidding Jirani usije nitoa roho.
 
kitu cha pekee ninachoamini ni kuwa kitila hamjui zitto wala hajui dhamira ya moyoni mwa zitto. Ameburuzwa tu na bahati mbaya amekubali kuburuzika

hivi wewe ungejua vizuri dhamira ya mbowe si ungejua mapema kuwa anapiga madeal na anao waita mafisadi huku wakisaidia campaign za uchaguzi?
 
Dr.kitila mkumbo ni mchumia tumbo hana jipya.Alimpigania zzt kwa kuwa alikuwa analipwa.
Kweli uwingi Wa madarasa sio tija au kuelimika,kweli unahitaji kwenda shule kutambua mlichokuwa mnakifanya ni kuhujumu chama?Mambo mazuri kwanini yafanyike mafichoni
 
Dr. Kitila Mkumbo unahitaji mbadala wa CCM na cdm? au mnahitaji Zitto kuwa Mwenyekiti wa Chama chochote ili muone kwamba ndio haki imetendeka? Je kama mlikuwa na lengo la kuleta mageuzi chanya ndani ya CDM kwa nini mlikuwa mnafanya kazi Kama waasi?
 
Ukweli mi pia nashindwa kuamini huyu dr.kitila ni mwanataaluma wa kweli au vyeti tu? Bado hajaona tatizo hapo la usaliti na uhaini juu ya mkakati wa mabadiliko waliouandaa.kipindi chenyewe kinataka umakini na mshikamano mkubwa kwanini wasionekane walitaka kudhoofisha au kuua chama?
 
Chadema ni story za kale.
si bure utakuwa unafikiri kwa kutumia makalio.
A%20S%2013.gif
 
kitila ameeleza vizuri sana tatizo na "ujinga ulipo"

ila sidhani kama washabiki tuna uwezo wa kutambua kwamba hakuna ujinga bila wajinga... Na sisi dnio wajinga

it would have been easy kuboresha chama kwa kumshinda zitto kwenye kura, through carefully crafted strategy kuliko kumfukuza ili asigombee

chadema has fallen into the same trap and those "system" people will believe that wameshinda vita, kumbe adui kajipiga risasi mwenyewe

mkuu unajua hili swala la kufukuzana pengine lisinge kuwepo,maana lissu alihitaji kukiua hiki chama na yeye ndio alipendekeza toka mwanzo swala la kufukuza bila kusikiliza mtu na uwezi amini lissu ni mwana sheria anaye zitumia sheria kuwa changanya chadema na kujichanganya mwenyewe.

Hkki chama kimekufa rasmi mikononi mwa lissu na lema.
 
- Pole sana Dr. Kitila ila maandishi yako kwangu ninayejua siasa yanaonyesha kwamba wewe sio mwanasiasa, ungekuwa basi usingeandika maneno ya kukata tamaa mapema hivi ulitakuwa kuwa kama Zitto kupigana mpaka damu ya mwisho wewe hujapigana, umekalia maneno maneno tu ya kulia lia kama haya yatakusaidia nini? Nani anayasikiliza haya now, watu wanasonga mbele kaka umeshirikana na hawa wahuni huko Chadema sasa wamekutema unaleta hizi? wote huko mlikuwa wammoja ni Zitto tu peke yake ndiye hakuwa na nyinyi siku zote na ndio maana mpaka leo anasimama nao na kinaeleweka,

- Kitila wewe ndugu yangu sana naomba kukwambia bila kuchanganya maneno wewe sio mwanasiasa ni mbabaishaji, sasa wachana na hii field ya siasa endelea na kufundisha kaka, Zitto ni politician sio wewe kaka badilisha field now ulikimbia CCM sasa umekimbizwa Chadema, ni wakati wa kuwacha siasa tu ninakwambia hvii kwa sababu ninakuheshimu sana wacha siasa huziwezi kaka!!

Le Mutuz

Le Mutuz, kama kweli ungekuwa unaijua siasa usingeandika haya uliyoandika! Nataman kukuelewesha ni nini Dr. Mkumbo kakusudia hapa ila bado mapema sana!
Nadhani kwa wale waliosoma Comparative Political Thought na Democracy and Election na wakajikita katika Political Parties in Sourthen Sahara case study ya East Africa watakuwa kidogo wamemuelewa Dr Kitila!
 
Inahitaji Weledi wa hali ya juu kumuelewa Nguli Kitila Mkumbo, Pale tutakapoacha kushabikia Viongozi na badala yake kupenda CHAMA, tutaweza kuchambua hoja za msingi na kasoro zilizopo katika uongozi.

.
Sasa kati ya wanachama na kitilya mkumbo ni nani aliyekuwa anashabikia kiongozi badala ya kukishabikia chama? Mimi naona kitilya ni mmoja wa washabiki wa kiongozi. Swali la msingi kwa Mkumbo ni za nini fedha 200000 alizokuwa anapokea kutoka kwa Zitto kila mwezi nje ya pesa yake halali aliyokuwa akilipwa na chama? Ni nini kazi ya pesa waliyokuwa wakiilipa kwa Zitto watabiri wa ccm kwamba Chadema ingekufa kabla ya 2014?.
Pia kwa msomi kama Mkumbo kukifananisha chadema na nccr ni kosa la kuifanyia vurugu taaluma yake. Sijajua ni kwa nini.
Mwisho napenda kumshauri Dr tuliemwamini sana na kumpa heshima zote ndani ya chadema, aondoke tu kwa amani kumfuata Zitto nae tuliempa heshima kubwa pia lakini akaitumia fursa hiyo kuhujumu ukombozi wetu kutoka mikononi mwa wakoloni weusi sisiem. Maana ni hakika na yakini kwamba chadema kwa sasa hakimhitaji tena Zitto Kabwe.
.
 
sasa nina wasiwasi na elimu Mh. Mkumbo Hyo Dr. Labda itakuwa co sahihi yaani anataka kutuaminisha hajui mambo ya Zitto tangu mwaka 2009. He will not fool us. Ametumwa Huyu na lazima wanamlipa parefu
 
Back
Top Bottom