wewe mtoa hoja kweli ni bange kama jina lako. Kitila hata ubalozi wa nyumba kumi hafai. yeye abakie kufundisha tu,, siasa na uongozi si vya kila mtu
masaburi at work! Lunch time!
wewe mtoa hoja kweli ni bange kama jina lako. Kitila hata ubalozi wa nyumba kumi hafai. yeye abakie kufundisha tu,, siasa na uongozi si vya kila mtu
Siasa si hesabu. Kama hujui kwamba hoja ya ukaskazini inatumika kuididimiza chadema basi una tatizo. Hata leo tu soma Tazama uk 2 imeandikwa kama ifuatavyo:Kwa hiyo waweke mwenyekiti Mnyamwezi na CCM wakisema chama cha wanyamwezi CHADEMA wateue tena Mmakonde? Mbona fikra zako fupi sana? yaani unataka CHADEMA wafanye vile CCM watakavyo au wewe wampenda sana huyo Mkumbo?
kibaraka mkubwa unatutangazia kuwa unagawa masaburi!! chundu kwelikweli wewe.... kacheze Taarab magomeni unyoonye na vidole juu kampichi mbelewele weemasaburi at work! Lunch time!
Alishakuwa RAIS WA DARUSO 1998 lakini mmmmmh anapendwa pesa huyo..Miradi yote ya Daruso alikuwa anpewa 10% kama wakati huo baa ya Charlse na Duka na mradi wa chakula wa Daruso kwa wakati huo.Lol..omr..
Huyo kitila hata hajawahi kuwa balozi wa nyumba kumi.
Acha hizo!Alishakuwa RAIS WA DARUSO 1998 lakini mmmmmh anapendwa pesa huyo..Miradi yote ya Daruso alikuwa anpewa 10% kama wakati huo baa ya Charlse na Duka na mradi wa chakula wa Daruso kwa wakati huo.
kibaraka mkubwa unatutangazia kuwa unagawa masaburi!! chundu kwelikweli wewe.... kacheze Taarab magomeni unyoonye na vidole juu kampichi mbelewele wee
udsm yupo kitivo gani vile?
Again:Again-Masaburi at work! Lunch time!
Again:
kibaraka mkubwa unatutangazia kuwa unagawa masaburi!! unauza shilingi ngapi hayo masaburi??chundu kwelikweli wewe.... kacheze Taarab magomeni unyoonye na vidole juu kampichi mbelewele wee
Kama Mh Mbowe akiamua kutogombea tena, tunahitaji mtu mwenye uwezo mkubwa wa kutoa hoja na kujenga taswira ya chama. Kama Dr Mkumbo atakubali kuacha Udsm, ni moja ya brains nzuri sana zilizopo Chadema.
Ana sifa zote, kwanza ni jasiri, ana uwezo mkubwa wa kujenga hoja, ni msomi, ana uwezo wa kufikiri, ana busara, anakubalika kwa vijana, ametoka mkoa ambao si wa kaskazini, hana tamaa ya madaraka nk.
Ni mawazo yangu tu, JF mnaonaje?
Kumbe???? Ngoja nianzie hapaAlishakuwa RAIS WA DARUSO 1998 lakini mmmmmh anapendwa pesa huyo..Miradi yote ya Daruso alikuwa anpewa 10% kama wakati huo baa ya Charlse na Duka na mradi wa chakula wa Daruso kwa wakati huo.
Napendekeza kamanda mnyika,kamanda zitto na kamanda wenje................mmojawapo kati yao
Tahadhari: Tusiseme nani mzuri au anafaa! tujaribu kuainisha kwanza matatizo yetu ni yapi? tukisha yaanisha yote ndiyo tujiulize ili changamoto hizi zipate ufumbuzi ni kiongozi wa namna gani anafaa! kisha tumtafute kiongozi wa namna hiyo! siyo kukaa na kuwafagilia watu kwa jinsi wanavyoonekana! kuendelea na tabia hii ya kusema nani anafaa bila kujiuliza tuna matatizo yapi na yupi kwa kushirikiana nasi tunaweza kuvuka basi tujue tutaendelea kuwaweka viongozi aina ya jk kila kukicha!!! Over and out