Dr. Kitila Mkumbo Anafaa Kugombea Urais wa Tanganyika Kwa Tiketi ya CHADEMA

MwanaDiwani

MwanaDiwani

JF-Expert Member
Mar 22, 2013
5,536
1,195
Mkuu sio lazima aanzie nyumbani!!!! Urais haupatikani kwa ukabila wala udini kama mnavyofikiria nyinyi CCM. Rais anachaguliwa na watanzania wote na siyo sehemu uliyozaliwa tuu
Tatizo lako kwa sababu akili yako tayari imeisha kuwa poisoned by negative comtemplative basi kila kikitajwa kijiji unafikiria ukabila.

Swali la kwanza kwa mtu anayegombea Urais huwa ni WHO'S THIS?. Sasa kama hata watu wa kijijini kwake hawamfahamu, unategemea watanzania wengine ndiyo watamfahamu kwa undani zaidi.

He's just floating without political foundation.
 
KYAMTUNDU

KYAMTUNDU

JF-Expert Member
Mar 7, 2013
1,821
1,195
Hatuwezi kujadili kabla hatujajua kama kama hizo ni sifa za kweli au lah!Nasema hvyo kwa sababu juzi juzi hapa jukwaani mmemuona hafai kuwa mbunge wa Iramba eti kwa sababu CCM imeshinda viti vyote vye marudio ya serikali za mitaa...!
LEO, haiwezi kuwa hivi hivi kwamba busara imewazukia tu mkala matapishi! Mie naziona kama prop. zenye wapenda matukio hasa baada ya kuona lile la Mh. Zitto kutaka kugombea kuelekea kufifia kwa sababu ya rasimu ya katiba!
Mwisho, Mkumbo atapita bila kupingwa kwa sababu ya sifa alizonazo au kuna wagombea wengine wa vyama vyingine?Twaweza kuwafahamu pia na sifa zao?
Ni njia zipi mtazitumia kumuunga mkono ili kuhakikisha anaibuka mshindi? Na kwa kugombea yeye U-CHAGGA, U-DINI na U-KANDA wa CHADEMA mnaodai kuwepo kila mara utakuwa umeisha?!
Pa1 na kuleta wazo zuri, siwezi kukuunga mkono kiasi hcho kwa sababu nia zenu haziaminiki ng'o!
 
AdvocateFi

AdvocateFi

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
11,515
2,000
Namjua vzr na najua vzr changamoto za uchaguzi wa daruso..lakini kwann alishinndwa kuwashawishi wana kijiji alikozaliwa wachague wenyeviti wa vijiji wa chadema huko kwao iramba??? Daruso is history now, talk on real politics
Muu bungeni acha uchochezi wako, inamana we peke yako ndiyo unamjua Dr. Kitila Mkumbo kuliko watu wote?
 
Last edited by a moderator:
Ritz

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
42,258
2,000
Mkuu kuwa Rais wa Chuo kikubwa kama UDSM bado hana uwezo naanza kushikwa na wasiwasi juu ya uelewa wako
Hata mimi napata wasiwasi na ufahamu wako, hivi kazi za Rais wa Tanganyika zinafanana na kazi za Rais wa Chuo Kikuu.

Umeishajiuliza kwa nini ajawahi kugombea nafasi yoyote ndani ya chama kama ana uwezo.

Julius Mtatiro na John Mnyika nani mwenye uwezo?
 
Matola

Matola

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
40,099
2,000
Wewe ndiyo kilaza unatutajia Prof. Safari hajawahi kuwa hata mjumbe wa kata, kama unampenda labada kampe urais wa nyumbani kwenu.
Umejaa fitina tu wewe huna lolote, Profesa Safari ndio alipaswa kuwa Mufti mkuu wa Waislamu baada ya kifo cha Mufti Sheikh Juma Bin Hemed, ila kwa fitina za wapenda ubwabwa kama wewe mkamchaguwa darasa la saba Mufti Simba.

Matokeo yake mtaendelea kuimba nyimbo ya mfumo kristo mpaka mwisho wa Dunia hii. Profesa Safari ni msomi nisiye na shaka naye na asiyependa makuu, yuko simple siku zote.
 
Ritz

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
42,258
2,000
bora tupate mtu fresh,kuliko hao waliopitia uwenyekiti uvccm,uwaziri bure kabisa.DR.Kitila akigombea kura yangu atapata
Kama mtu fresh kwa nini msimpe uongozi ndani ya Chadema.
 
AdvocateFi

AdvocateFi

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
11,515
2,000
Mkuu na mimi naona nitagombea urais kwa tkt ya chadema, nimeamua kurudi
Mkuu umeamua kurudi wapi? We si ulisema kuwa haujawahi kuwa mwanachama wa CHADEMA tangu uzaliwe? Sasa unataka kurudi wap ambapo ulikuwa mwanzo?
 
B

Babu Kijana

JF-Expert Member
Jan 24, 2013
484
250
Dr. Kitila Nkumbo ndie NTU gani?
 
AdvocateFi

AdvocateFi

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
11,515
2,000
Tatizo lako kwa sababu akili yako tayari imeisha kuwa poisoned by negative comtemplative basi kila kikitajwa kijiji unafikiria ukabila.

Swali la kwanza kwa mtu anayegombea Urais huwa ni WHO'S THIS?. Sasa kama hata watu wa kijijini kwake hawamfahamu, unategemea watanzania wengine ndiyo watamfahamu kwa undani zaidi.

He's just floating without political foundation.
Mkuu tutampa kura Prof.Lipumba.
 
Mwanaukweli

Mwanaukweli

JF-Expert Member
May 18, 2007
4,649
2,000
Mkuu na mimi naona nitagombea urais kwa tkt ya chadema, nimeamua kurudi
Mkuu unasahau ambayo unapost wewe mwenyewe humu?

Umetwambia hujawahi kuwa mwanachama wa Chadema, hivi karibuni tu. Umesahau?
 
Chris Lukosi

Chris Lukosi

Verified Member
Aug 23, 2012
4,584
1,225
Mkuu umeamua kurudi wapi? We si ulisema kuwa haujawahi kuwa mwanachama wa CHADEMA tangu uzaliwe? Sasa unataka kurudi wap ambapo ulikuwa mwanzo?
Nimesikia huko kwenu babu hagombei tena urais hivyo nitakuja kugombea kwa niaba yake
 
Ritz

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
42,258
2,000
Umejaa fitina tu wewe huna lolote, Profesa Safari ndio alipaswa kuwa Mufti mkuu wa Waislamu baada ya kifo cha Mufti Sheikh Juma Bin Hemed, ila kwa fitina za wapenda ubwabwa kama wewe mkamchaguwa darasa la saba Mufti Simba.

Matokeo yake mtaendelea kuimba nyimbo ya mfumo kristo mpaka mwisho wa Dunia hii. Profesa Safari ni msomi nisiye na shaka naye na asiyependa makuu, yuko simple siku zote.
Tatizo nyie vijana wa Bavicha badala ya kusimama kwenye hoja mnawashambulia Waislam.

Umeishajiuliza akili ndogo inaongoza akili kubwa Chadema Mbowe, darasa la saba lakini anawangoza kina Prof. Safari. Prof. Baregu, Dr Kitila, Zitto, Lissu.
 
Sanoyet

Sanoyet

JF-Expert Member
Apr 3, 2013
1,324
1,225
Hata Mwigulu ni jembe,anafaa kuwa presdaa.Ni mtu mwenye kujiamini,ni mchumi nambari 1 tz,ni mbunifu,ni mzalendo,n.k
 
mdeki

mdeki

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
3,304
1,225
Hawa ndiyo wale wanoipenda siasa lakini siasa haiwapendi

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Matola

Matola

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
40,099
2,000
Tatizo nyie vijana wa Bavicha badala ya kusimama kwenye hoja mnawashambulia Waislam.

Umeishajiuliza akili ndogo inaongoza akili kubwa Chadema Mbowe, darasa la saba lakini anawangoza kina Prof. Safari. Prof. Baregu, Dr Kitila, Zitto, Lissu.
Mimi nashambulia Waislamu wajinga kama wewe na Sheikh Ponda na Mohamed Said, Waislamu wenye akili timamu kama Bakhresa, Agha Khan and likes nawapa tano.

Thibisha hapa kama Mbowe ni Darasa la saba kama Mufti Simba na Invisible shuhuda ukishindwa kuthibitisha kwa kuongea uongo kama siku ile ushushiwe ban kama siku ile kwa kuongea uongo.
 
F

Freshthinking

JF-Expert Member
Dec 20, 2012
621
170
Hii rasimu naona imekaa kimtego mtego sana kwa CHADEMA.

Mgombea urais lazima awe na degree ya chuo kinachotambulika. DR Slaa 2015 kama hii rasimu ikithibitishwa, anakosa sifa ya kugombea.

Ni vyema CHADEMA mkajipanga kupata mgombea mwingine, lakini kwa rasimu hii naona kama DR Slaa anakosa kigezo cha kuwa na shahada ya kwanza ya chuo kikuu. Kitila anaweza kuwa option moja wapo.
 
M

Misterdennis

JF-Expert Member
Jun 4, 2007
1,751
1,500
Akagombee kwanza ubunge ....apate uzoefu wa mikikimikiki ya uongozi.
 
HUGO CHAVES

HUGO CHAVES

JF-Expert Member
Mar 25, 2011
2,047
1,500
mkuu matasha hatujafika huku unaelekea bado kuna mambo mengi ya kukubaliana kutokubaliana juu ya suala la serikali tatu ambayo wananchi wengi hawako tayari kubeba huu mzigo wa kodi kwa ajili ya kuendesha serikali tatu wakati hii iliyopo sasa bado ni tegemezi kwa asilimia kubwa .tuwaze tunapoelekea usiwaze kwa kulinda chama au kumfurahisha mtu .
 
Top Bottom