MwanaDiwani
JF-Expert Member
- Mar 22, 2013
- 5,536
- 2,264
Tatizo lako kwa sababu akili yako tayari imeisha kuwa poisoned by negative comtemplative basi kila kikitajwa kijiji unafikiria ukabila.Mkuu sio lazima aanzie nyumbani!!!! Urais haupatikani kwa ukabila wala udini kama mnavyofikiria nyinyi CCM. Rais anachaguliwa na watanzania wote na siyo sehemu uliyozaliwa tuu
Swali la kwanza kwa mtu anayegombea Urais huwa ni WHO'S THIS?. Sasa kama hata watu wa kijijini kwake hawamfahamu, unategemea watanzania wengine ndiyo watamfahamu kwa undani zaidi.
He's just floating without political foundation.