utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,812
Muogopeni sana, sisi tunamuona nyanya mbichi tu.Inaonekana kabisa kuwa CCM mnamwogopa sana ndio maana mnatoa kauli za mfa maji. Sisi wanachadema tunajua jamaa ni jembe, kama wewe huoni shauri yako
Ama humfahamu Mkumbo au unapiga propaganda.
Nakwambia, tukiacha chaguzi za wabunge na Rais, hakuna uchaguzi ulio mgumu kama wa Rais wa wanafunzi wa Chuo Kikuu, na hili Kitila alifanikiwa vizuri sana katika kujenga mvuto na kuchaguliwa. Lakini pia aliongoza vizuri.
Ukimsikia Mkumbo anaelezea Vision yake ya kukabiliana na changamoto zilizo mbele yake katika jukumu analotaka kulichukua, utamkubali tu!!!
Kuwa Rais wa chuo siyo kigezo cha kuwa Rais wa Tanganyika, kama ni hivyo hata Mtatiro naye anaweza kuwa Rais wa Tanganyika.
Ukitaka kumpima Kitila mwambie agombee nafasi ya Katibu Mkuu au Mwenyekiti ndani ya chama chake cha Chadema kama Kaskazini watakubali hata yeye mwenyewe analijua hilo.
Mkuu hakuna uongo nilioandika. Kama ni uongo weka habari sahihi.Kwa umbea wako wa kuandika vitu visivyo kuwepo, wenda ungefanikiwa kuwalaghai wanakijiji na wangeipa CHADEMA kwa mwamvuli wa Mkumbo.
Ni kweli si kigezo cha kutosha. Lakini kumbuka siongelei tu kuwa alikuwa Rais, bali alikuwa kiongozi mzuri sana akiwa Rais.Kuwa Rais wa chuo siyo kigezo cha kuwa Rais wa Tanganyika, kama ni hivyo hata Mtatiro naye anaweza kuwa Rais wa Tanganyika.
Ukitaka kumpima Kitila mwambie agombee nafasi ya Katibu Mkuu au Mwenyekiti ndani ya chama chake cha Chadema kama Kaskazini watakubali hata yeye mwenyewe analijua hilo.
Ujembe wa Kitila Mkumbo ni wa lipi? au kushiriki usaliti yeye na Zitto Kabwe? Kilaza kabisa wewe. Profesa Abdallah Safari ndio awe mgombea wa Chadema kwa Tanganyika.Inaonekana kabisa kuwa CCM mnamwogopa sana ndio maana mnatoa kauli za mfa maji. Sisi wanachadema tunajua jamaa ni jembe, kama wewe huoni shauri yako
Mkuu hakuna uongo nilioandika. Kama ni uongo weka habari sahihi.
Kitila Mkumbo alikuwa Rais wa Wanafunzi wa UDSM (DARUSO) mwaka 1998/99 na ilikuwa kwa kufanya kwake kampeni na kukubalika na watu. Kama ni uongo niambie Rais wa wanafunzi mwaka huo alikuwa nani.
Nikiongezea tu, makamu wake alikuwa Dr. Francis Michael Kasabubu wa Idara ya Human Resources Management.
Kwa kuongezea, Kitila pia amekuwa mwenyekiti wa Umoja wa Wahadhiri wa UDSM (UDASA) mpaka mwaka jana, ambapo sasa Mwenyekiti ni Dr. Francis Michael. Serikali ilikuwa haifurahii kuwepo kwake kwenye uongozi wa UDASA na wakawa wanampiga vita [h=1]Mpango wa kumtimua UDASA Dr. Kitila Mkumbo wasukwa[/h]
Kuhusu Iramba, Kitila hakuwa kwenye timu ya kupiga kampeni Iramba. Ikumbukwe kuwa mpaka sasa yeye ni Mhadhiri wa Chuo Kikuu, na ana majukumu ya uongozi. Ni mkuu wa kitivo cha elimu katika chuo kikuu kishiriki cha elimu, Dar es Salaam yaani (Dean, Faculty of Education at the Dar es Salaam University College of Education). Kazi hizo na kazi za kufundisha hazimpi nafasi ya kwenda Iramba kwa kampeni.
Kitila amekuwa akienda Iramba mara kwa mara kwa sababu ya kuitwa mahakamani kwenye kesi ya kubumbwa na Mwigulu Nchemba.
Jibu kwa facts kama unazo.
Nikipepesa macho, namwona kijana msomi, mwenye uwezo mkubwa wa kiuongozi, mwenye hoja nzito, mnyenyekevu, asiyependa makuu, asiye na majivuno, asiye na doa, anayekubalika kwa watu wa rika zote, mchapa kazi na mzalendo wa kweli, huyu si mwingine ni Dr Kitila Mkumbo.
Mkuu kuwa Rais wa Chuo kikubwa kama UDSM bado hana uwezo naanza kushikwa na wasiwasi juu ya uelewa wakoMtu hajawahi hata kuwa katibu kata watu wakampima uwezo wake katika masuala ya kisiasa utawezaje kumpa nafasi kubwa ya urais wa Tanganyika.
Mpaka leo hajaweza kusema alitumia vigezo gani katika kuchaguwa wabunge wa viti maalum Chadema.
Nadhani angeanza kwanza kugombea ubunge huko Singida.
Mkuu sio lazima aanzie nyumbani!!!! Urais haupatikani kwa ukabila wala udini kama mnavyofikiria nyinyi CCM. Rais anachaguliwa na watanzania wote na siyo sehemu uliyozaliwa tuuWhen will we stop this nonsense.
Watu kama wewe ndiyo hamuitakii mema CHADEMA!.
Charity begins at home.
Kama watu wa kijijini kwake hawakuweza kumpatia au kumpandisha kwenye ladder ya uongozi, wewe ndiyo unafikiri watanzania wengine ni wajinga kwa kiasi hicho unachofikiri?.
You're just destroying him instead of nurturing him.
bora tupate mtu fresh,kuliko hao waliopitia uwenyekiti uvccm,uwaziri bure kabisa.DR.Kitila akigombea kura yangu atapataMtu hajawahi hata kuwa katibu kata watu wakampima uwezo wake katika masuala ya kisiasa utawezaje kumpa nafasi kubwa ya urais wa Tanganyika.
Mpaka leo hajaweza kusema alitumia vigezo gani katika kuchaguwa wabunge wa viti maalum Chadema.
Nadhani angeanza kwanza kugombea ubunge huko Singida.
Ujembe wa Kitila Mkumbo ni wa lipi? au kushiriki usaliti yeye na Zitto Kabwe? Kilaza kabisa wewe. Profesa Abdallah Safari ndio awe mgombea wa Chadema kwa Tanganyika.
Mkuu, rasimu unayoisoma siyo yenyewe bali ni mapendekezo ya CHADEMA kwenye tume ya Jaji Warioba ambayo yaliwekwa hapa na wengi mpaka sasa wanadhani ndiyo rasimu yenyewe.Hakuna kitu kama raisi wa Tanganyika. Wamesema Tanganyika na Zanzibar we na magavana. Ugavana na uraisi vitu viwili tofauti.
Kitila alikuwa Rais wa DARUSO UDSM main campus 1998/99 na mimi pia nilikuwa kwenye serikali hiyo ya wanafunzi. Najua ninachokisema, kwa kuwa I was an insider.Umeeleza kwenye maelezo yako ya awali kuwa alifanikisha kuwatuliza wana-COET kwa ushawishi wake, huu ndio uongo mkuu.
Naomba niseme tu kuwa ushindi wa CCM kwenye viti vya vijiji Iramba si kipimo cha kukubalika kwa Kitila kwa kuwa Kitila hakuwa mgombea na wala hakuwa kwenye timu ya kampeni.Nimesema, kama wanakijiji wangemjua kuwa Kitila ni jembe, wangeichagua CHADEMA kwa mwamvuli wake, maana hata sababu ya Kitila kufunguliwa kesi na Mwigulu ni kwa sababu ya kusimama kwake majukwaani na kukashifu watu badala ya kufanya siasa safi.
Mtu wa namna hii asie kuwa na maadili nani ampe urais?
Mkuu na mimi naona nitagombea urais kwa tkt ya chadema, nimeamua kurudiMtu hajawahi hata kuwa katibu kata watu wakampima uwezo wake katika masuala ya kisiasa utawezaje kumpa nafasi kubwa ya urais wa Tanganyika.
Mpaka leo hajaweza kusema alitumia vigezo gani katika kuchaguwa wabunge wa viti maalum Chadema.
Nadhani angeanza kwanza kugombea ubunge huko Singida.