Mkuu unaishi dunia gani? Sababu kubwa ya maambukizo ya HIV ni ngono na matumizi ya kujidunga sindano kwa wanaotumia madawa; rekebisha mienendo na tabia yako utakuwa salama 99.9%; tafiti nyingi zimeonyesha sehemu mbalimbali maambukizi ya VVU yamepungua baada ya watu kuelemika; sasa kama wewe hujaamua kubadilika tabia tishio litaendelea kuwepo. Hivi sasa ukimwi si tishio kama unavyodai elimu nyingi zimetolewa na zinaendelea kutolewa kama hujao tafuta mchumba pima afya zenu oaneni mambo ya kuokota mizoga acha remember that AIDS can be avoided don't put yourself at risk for 5minutes pleasure, it's a self inflicted problem !
Chama
Gongo la mboto DSM
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Hili ni tatizo kubwa kwa baadhi ya watanzania wengi kwenye mikutano, hasa ya kimataifa. Huwa hawaulizi maswali kwa kuogopa kuonekana kiherere. Tuna shida pia ya umakini-ni wapi katika swali langu nilipuuliza habari za mtoto wa Mbeki au ndio unafuata tu upepo mheshimiwa? Soma vizuri mada kabla hujajibu, ni muhimu!
Mkuu huitaji rocket science kumuelewesha mtu juu ya maambukizi ya VVU pitia majarida mbalimbali ya UNICEF na WHO yatakuonyesha progress inayofanyika duniani na Tanzania tishio la ukimwi limepungua sana na sababu kubwa ni elimu ya maambukizi na upatikanaji wa dawa bora; dawa kubwa ya ukimwi ni kubadili tabia hakuna kingine zaidi, angalia studies zilizofanywa kwenye wafanyakazi wa migodini South Africa hiyo itakusaidia kuelewa naongea kitu gani.Naishi dunia gani wakati nimetoa hint kuwa hali si shwari? Hivi hujafahamu kuwa wanaoeneza HIV ni watu ambao wengi wana uelewa kuhusu maambukizi? na huwapatia wale, ambao ama wana ufahamu mdogo, ama hawana maamuzi sahihi kuhusu masuala ya kingono. Nawe una takwimu zipi kuhusu kupungua kwa maambukizi basi? hata nikikuuliza mkoa upi sasa hivi Bongo unangoza kwa maambukizi huwezi kunitajia.
Naona huyo muuliza swali aliuliza tu kujionesha kwamba anafuatilia sana mambo ya Mbeki hakuwa na nia yeyote ya kupata clarification kwa faida ya wote.
Kwa taarifa yako Dr Kitila Mkumbo ni mtaalam wa psychology, na hapo Mlimani yeye ni mtaalamu wa kutoa ushauri nasaha kwa wote wenye matatizo ya ukimwi pale chuoni. Hivyo yeye kama mtoa ushauri nasaha alikuwa na haki ya kuuliza swali kama lile kwa muhusika mkuu, kwanza ndie aliyesema ukimwi unatokana na umasikini, (kumbuka alisema hayo yeye akiwa ndio Rais wa South Afrika, hivyo sio masikini yeye na familia yake), pia ni muhusika kwa kuwa mtoto wake wa kumzaa aliambukizwa ukimwi na akafariki. Msingi wa swali hapo ni kutaka kujua je bado ni kweli kuwa ukimwi unawapata masikini tu na sio matajili?? Kama hivyo ndivyo kwanini mtoto wa Mbeki aliambukizwa na akafariki???
MBEKI: They are very wrong. They started off by saying all you needed was to give drugs and we are saying no it is not. They've changed. Now they are saying you must also take care of nutrition.
Chama
Gongo la Mboto DSM
CC: Kitila, Mundu; Bukyanagandi
Naomba umnakili na Kiranga!
Niliwahi kufanya utafiti kuhusu ARV katika viijiji na miji kadhaa, watumiaji hoja na dai lao kuu ilikuwa ni hitaji la lishe na jinsi umaskini unavyosababisha madawa yawazidi nguvu sasa jamaa wa watu aliposema hili suala la VVU sio la kuwapa watu makemikali tu wahafidhina wa sayansi na vibaraka wa makampuni makubwa ya madawa wakamjia juu!
Ni vigumu sana kuwa mpinzani!
Naomba umnakili na Kiranga!
Niliwahi kufanya utafiti kuhusu ARV katika viijiji na miji kadhaa, watumiaji hoja na dai lao kuu ilikuwa ni hitaji la lishe na jinsi umaskini unavyosababisha madawa yawazidi nguvu sasa jamaa wa watu aliposema hili suala la VVU sio la kuwapa watu makemikali tu wahafidhina wa sayansi na vibaraka wa makampuni makubwa ya madawa wakamjia juu!
Ni vigumu sana kuwa mpinzani!
mbeki mtu rais wa nchi iliyo na resources kama SA kama hakukubaliani na model hiyo mbona haku commandeer the alternative badala ya kulalamika tu HIV pekee haisababishi AIDS?
"mbeki aliacha kujibu hilo swali. 'i will not respond to that pinching question' alisema mbeki."
mbeki knows the answer. Issue yangu hapa ni kuwa viongozi wengi wamekuwa wakitoa kauli ambazo impact yake ni mbaya sana.
Ndio, kasa ama turtle kwa Kiingereza.
*Tanabahi
Kwa Kiswahili cha pwani kulishwa kasa maana yake ni kulishwa taarifa zisizokuwa na uhakika wa ukweli wake kama kulishwa kasa ambae kwa mujibu wa sheria za Kiislam uhalali na uharamu wake una utata
uyu ni kobe sio kasa braza..labda kama ulikuwa umelala wakati wenzio wakifundishwa 'classification'.
that is some incredible confidence, if absolutist. Impressive!Huwa sikisii.
Wait a minute now, who knows? You are the surefooted authority on kasa's and kobe's here!muundo wa magamba (magome?) na miguu (mikono?)
Wait a minute now, who knows? You are the surefooted authority on kasa's and kobe's here!
Mkuu huitaji rocket science kumuelewesha mtu juu ya maambukizi ya VVU pitia majarida mbalimbali ya UNICEF na WHO yatakuonyesha progress inayofanyika duniani na Tanzania tishio la ukimwi limepungua sana na sababu kubwa ni elimu ya maambukizi na upatikanaji wa dawa bora; dawa kubwa ya ukimwi ni kubadili tabia hakuna kingine zaidi, angalia studies zilizofanywa kwenye wafanyakazi wa migodini South Africa hiyo itakusaidia kuelewa naongea kitu gani.
Chama
Gongo la mboto DSM
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums