- Dr. Kitila, ni mmoja wa viongozi ninayemuheshimu sana huko Chadema na ninajua kuwa ni kichwa na ndiye anayepaswakuwa MWenyekiti wa Chadema ila kwa vile huko kumejaa vilaza kuanzia wanachama na wapambe hawezi kupewa nafasi kubwa kama hiyo wataishia kupeana hao vilaza,
- I have no comment kuhusu mawaswali aliyomuuliza huyo Rais mstaafu, ila nashangaa kusikia hakujibu WHY? Sasa usipojibu ndio unatoa nafasi kwa watu kuamua wanayoyataka na kukusingizia uongo mwingi, hivi ni lini Viongozi wa Africa watajifunza kuwa wawazi? I mean ona Obama ameambiwa na MWananchi tu wa kwaida Donald Trump kuwa sio Raia wa USA, the the most powerful man in the world si angesema sio lazima ajibu, lakini imebidi mtumzima Obama aonyeshe mpaka vyeti vyake vya kuzaliwa kumjibu Trump!
- I dont care kuhusu swali la Dr. Kitila even though kwa kuwa najua ni kichwa najua kwamba alilipima na yuko right kuliuliza, nina tatizo sana na swali kutkujibiwa ndio huwa ninaita nonsense! Mbeki alitakiwa kujibu tena kwa ufasaha na kama anaamini alikosea aseme sio kukimbia swali!
- I HAVE SO MUCH RESPECT KWA DR. KITILA THAT NINAAMINI SWALI LAKE NI JUSTFIED ILA TATIZO NI VIONGOZI WA AFRICA KUJIFUNZA KWUA WAWAZI SASA NA KUACHA KUJIFICHA FICHA NYUMA YA VIVULI VYAO!
BRAVO DR. KITILA, NEXT TIME KAMA HAWAWEZI KUJIBU MASWALI YENU MSIWARUHUSU KUJA KUPOTEZA MUDA WENU HUKO KWENYE VYUO VIKUU VYETU, MAHALI PA WASOMI NI WEWE ULIYEKUBALI KWENDA SASA ULITEMEA NINI KWAMBA WASOMI WATAKUBEBA BEBA TU KAMA MTOTO MDOGO, SAAFI SANA KITILA!!
Le Mutuz!!