There is absolutely nothing dignified about not answering a very pertinent question. It is a cop-out.
by the way, nimepata data mpya kuhusu weye - kha baada ya kushindwa n.w sasa uko n.s!
Deep down he knows he is in the minority and that his stance is untenable.
Brilliant. It's not like Mbeki hajui kwamba hili jambo litamhunza maisha yake yote.
Ahahahahaaaa wee dogo bana...hao wanaokupa data zangu wanakudanganya sana aisee maana I am the king of incognito.
NW sijashindwa kwa sababu sijawahi kujaribu wala kuraraghbika naye kwa zaidi ya miaka 20. Mara ya mwisho kuwa na raghba naye ilikuwa Food Evening ya SRSS circa 91. Na NS....I ain't got a clue who that is...
Oh my Tanzania, land of soothsayers, ventriloquists, fortune-tellers, psychics, mind-readers, babus and the likes!
naona na wewe unakuwa 'denialist', nitakutumia faili kwenye barua pepe yako maana nahisi unadhani na hiyo ni incognito!
i) Reflecting and looking back to your presidency, and given the pace at which South Africa has reduced the HIV infection rates and HIV related deaths, do you still maintain the same position regarding the cause of HIV?
ii) Do you have any regrets over your position?
how many times should he answer the sama question?
Una kazi sana kuwa na uelewa wa mambo.............. in SA, HIV is beyond swali, it is a package, na kwa imbechili yako huwezi jua
ngoja utandikwe na aids, tuone kama utaiweka HIV unavyojaribu kuiweka sasa
Jah Bless
Ukiweza kuituma hiyo barua pepe kwenye anuani yangu halisi basi nitakupa dola 5,000 (elfu tano) uichangie katika charity organization yoyote ile upendayo wewe. I am the king of incognito....that I'm 100% sure of.....
ngoja wakulambie ndio ueleweMkuu hilo dua la HIV utakutana nalo mwenyewe mimi nipo kwenye ndoa mambo ya kula mizoga nimeacha long long time hivi sasa nakula vitu FDA approved!
Chama
Gongo la mboto DSM
Mkuu hilo dua la HIV utakutana nalo mwenyewe mimi nipo kwenye ndoa mambo ya kula mizoga nimeacha long long time hivi sasa nakula vitu FDA approved!
Chama
Gongo la mboto DSM
yaliwashinda carlos the jackal na femme fatale, cheki junk email yako - data zimekamilika including za polymath/polyglot!
Maswali aliyouliza Kitila haya hapa
Now tell me how many times has he been asked those two questions?
VVU/HIV huwa havipenyi kwenye NDOA au ndiyo yale yale ya HIKI na KILE hakisababishi UKIMWI/AIDS?
Nikusaidieje?
utakuwa mwanagenzi wewe, kaa na wakufunzi wakufunde
kitila hapo kweli alikosa busara na alihuliza swali kama sifa flani hivi aonekane nae kahuliza swali ,pia hakukuwa na haja ya yeye kumtaja mtoto wa mbeki kwani ni masuala ya kifamilia...hekiama hana akili finyu huo udokta kapewa kwa njia za panya yaelekea....mgeni akija kwake anaweza kumuhuliza vitu kama hivyo?
nisaidie kunielewesha!
Ungeeleza ulichokuwa hujakielewa kwanza, kama ni lugha au jenginelo
genzi ndio nini!?
Anauliza hivi: