Dr Kikwete Kumteua Dr.slaa kuwa MBunge?

Dr Kikwete Kumteua Dr.slaa kuwa MBunge?

Moseley

Senior Member
Joined
Jul 10, 2010
Posts
187
Reaction score
98
Kwa habari ambazo nina uhakika na chanzo chake,zinasema Dr.Kikwete Baada ya kuwa amechaguliwa kwa kura za Nyingi na kuingia Ikulu kwa kipindi cha pili kama Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania ,atatumia nafasi aliyopewa na Katiba ya Nchi kuteua wabunge 10,na mmoja kati ya hao atakuwa ni mgombea wa sasa wa Chadema Dr.Salaa.
 
Hicho hakiwezekani. Atafanyaje kazi na JK?
 
Kwa habari ambazo nina uhakika na chanzo chake,zinasema Dr.Kikwete Baada ya kuwa amechaguliwa kwa kura za Nyingi na kuingia Ikulu kwa kipindi cha pili kama Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania ,atatumia nafasi aliyopewa na Katiba ya Nchi kuteua wabunge 10,na mmoja kati ya hao atakuwa ni mgombea wa sasa wa Chadema Dr.Salaa.

Hapana. Ateuwe wana CCM au CUF ndiyo taratibu iliyopo tuliyoizoea. Lakini kwani JK mbona yeye mwenyewe anajua hatashinda.
 
Baada ya tarehe 31 Kikwete hatakuwa na mamlaka ya kuteua wabunge!!!
 
Mbona atashindwa atateuaje wabunge tena? still dreamin'?
 
JK anakarabati nyumba yake ya chalinze ndipo atakapohamia baada ya oktoba 31.
 
Kwa habari ambazo nina uhakika na chanzo chake,zinasema Dr.Kikwete Baada ya kuwa amechaguliwa kwa kura za Nyingi na kuingia Ikulu kwa kipindi cha pili kama Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania ,atatumia nafasi aliyopewa na Katiba ya Nchi kuteua wabunge 10,na mmoja kati ya hao atakuwa ni mgombea wa sasa wa Chadema Dr.Salaa.

Hata kampeni hujui, unakuwa mzigo kwa wenzio wakati mgumu kama huu
 
Atamteua vipi kuwa mbunge ?wakati rais wa nchi atakuwa Dr Slaa!huna jipya wewe!
 
Kama JK kadokeza habari kama hizo basi anakusudia kuwafanya wananchi wadhani atashinda. Kusudi la pili labda ni kupuliza kidogo kwa Slaa ili akishaingia Ikulu asishughulikie mapema ile orodha yake.
 
Unatushawishi vp tununue habari yko cz ts lyk utabiri wa waganga wa jadi..
 
Thubutu!...kwani mtu safi km dr.slaa wanaweza kuchangamana na mtu mchafu na fisadi km kikwete ambaye yuko tayari kuwaibia watz baada tu ya kuingia ikulu kwas kuamua kujitengenezea kampuni feki ya richmond pamoja na lowasa,rostamu na kuwaibia watz 152,000,000 kila siku!
 
Hizi ni porojo tu za mafisdi ili kuona kama watatuliza mzuka wa Dr Slaa.
Angalizo, ni makosa kumuita Kikwete DR labda kama mnamaanisha wale wakina dk Yahya wanaosoma nyota na kuua albino
 
Dk. Kikwete??

Dokta wa nini??????

Tangu lini?????????????????????????????
 
Kwa habari ambazo nina uhakika na chanzo chake,zinasema Dr.Kikwete Baada ya kuwa amechaguliwa kwa kura za Nyingi na kuingia Ikulu kwa kipindi cha pili kama Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania ,atatumia nafasi aliyopewa na Katiba ya Nchi kuteua wabunge 10,na mmoja kati ya hao atakuwa ni mgombea wa sasa wa Chadema Dr.Salaa.

Kuna chanzo cha habari chenye kujua matokeo ya kupiga kura hata kabla hazijapigwa au hii ni dharau mpya ya CCM kwa wapigakura?
 
Jamani hamjamsikia Mh Chiligati na wenzake wakisema ushindi ni lazima???
 
mbona bado watu wako kwenye mbio za uraisi, jk kamaliza lini hizo mbio za uraisi? au ndio tayari kazoea kuitwa raisi basi kamaliza kwa kusema anaanza kuchagua wabunge
 
Back
Top Bottom