Dr Kikwete Kumteua Dr.slaa kuwa MBunge?

Kwa habari ambazo nina uhakika na chanzo chake,zinasema Dr.Kikwete Baada ya kuwa amechaguliwa kwa kura za Nyingi na kuingia Ikulu kwa kipindi cha pili kama Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania ,atatumia nafasi aliyopewa na Katiba ya Nchi kuteua wabunge 10,na mmoja kati ya hao atakuwa ni mgombea wa sasa wa Chadema Dr.Salaa.

Ni sawa kama Chadema kuna Dr. Salaa. Ila Chadema hakuna Dr. Salaa bali kuna Dr. Slaa! Utakuwa umechanganya na CUF!!
 
chanzo gani hicho? usemacho si kipya lakini pia ni ndoto yako! uchaguzi bado haujafika na mpaka sasa mshindi hajapatikana. aidha wagombea ni zaidi ya unaowataja na chochote kinaweza kutokea;
  • dr slaa
  • jk
  • mutamwega
  • lipumba
tusubiri mpaka uchaguzi mkuu upite na matokeo yatangazwe na nec; hapo ndipo tunaweza kuwa na mazungumzo haya; otherwise, naona kama unajitahidi kuongeza idadi ya post zako walau zizidi 14 tangu ulipojiunga julai 2010.
 
Ina maana kikwete amefuzu haraka hivyo chini ya Prof yahya kwa hiyo naye katunukiwa Dr. wa miti shamba, Makubwa haya
 
Kwa habari ambazo nina uhakika na chanzo chake,zinasema Dr.Kikwete Baada ya kuwa amechaguliwa kwa kura za Nyingi na kuingia Ikulu kwa kipindi cha pili kama Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania ,atatumia nafasi aliyopewa na Katiba ya Nchi kuteua wabunge 10,na mmoja kati ya hao atakuwa ni mgombea wa sasa wa Chadema Dr.Salaa.

hii itakuwa jambo jema kuonyesha kuwa hana kinyongo na wawajibishaji .....
 
Inashngaza kuona TBC, Habari Leo, Uhuru, RAi na magzeti yote ya chama cha mafisadi wakikomaa kumuita jk Doctor, Aibu! Doctor gani hajui chanzo cha umasikini wa watu wake. Nina uhakika jk hawezi andika hata research proposal ambayo mtu wa diploma anaweza andika. Sasa kumuita dr ndo kutamfanya awe dr wa kweli? Acheni hizo, unafikiri kuitwa dr ndo kutakufanya uwajibike na kufanana na mabingwa kam akina slaa na lipumba?
icon4.png
 
mbona mkapa naye ana phd na mkewe ana phd jkn alikuwa na phd lakini sijawahi kusikia mkiwaita dk mkapa, dk anna au marehemu dk nyerere.
Huu ni ushamba tu wa kikwete na makamba.
Haya basi mie natoa phd kwa makamba kwa kuwa mropokaji wa mwaka. Tangu kesho aanze kuitwa dk makamba.

hujawahi kusikia au hutaki kusikia? Mara kibao mkapa, nyerere wameitwa dr - mtu kama ana title yake ni halali kutumika. Unatoa phd kwa makamba? Wewe una mamlaka ya kutoa phd? Labda za kina majimarefu!
 
Nimjuavyo Slaa hawezi kubali na ni kitu kisichowezekana kabsaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Kwa sasa watu wako busy wanatafuta visas ili ziwe standby ili a genuine phd holder Slaa akiingia ikulu wachape mwendo
 
Haya bana na huyu Dr Kibunango?:jaw:
 
Hicho hakiwezekani. Atafanyaje kazi na JK?

Siyo makamo wa Rais wala si Waziri bali mwanachama wa wapiga kelele kule jengoni. Angalau yeye anampa changamoto waliobaki (hasa CCM ) "zidumu fikra za Rais"
 
Ni sawa kama Chadema kuna Dr. Salaa. Ila Chadema hakuna Dr. Salaa bali kuna Dr. Slaa! Utakuwa umechanganya na CUF!!

Mkuu sema kweli kisa kinachokufanya uichukie CCM kwa kweli visa ni kwamba
1. Ufisadi(ujangili,wizi,uporaji,ulanguzi,uhujumu uchumi,mauaji,utesaji,wapiga dili) mfano madini(almasi,Dhahabu,tanzanite coper nk) yanapigwa dili kwa kigezo cha uwekezaji/twiga wameporwa njenje kweupe wakapanda lidege la kijeshi Quartor kwenda Doha,Tembo/kifaru wanaelekea kupotea katika ardhi ya tanzania badala ya kupambana na hali hii ccm iko busy kuiangamiza chadema ili inchi hii ipigwe dili la kufa na kupoa. Jamani tulikatae hili watanzania tupambane kuiondoa ccm ccm ni adui No.1 Tanzania.
2. Watanzania tukae macho tutambu7a uhuni unaofanywa na majangili ya ccm leo yanapita mitaani yakihubili udini na ukanda Niwaombe watanzania kwamba leo tunataza na kushangilia pale tunaposikia viongozi(majangili) ya ccm yakihubili udini bila kutafakari kwamba siku limebuma wote ni wahanga isipokuwa majangili(ccm) yenye mipesa uswizi na ulaya .Hivyo tukatae kwa nguvu zote.
3. Dalili za hili ni nyingi sisi waislam tuposhap sana tunaposikia na kuhubiliwa udini hatulazi damu wote hujingiza mkenge upande ambao shehe anahubili. Hili naliona si zuri ni lazima watanzania tutafakari mahubili yanayokuwa yanafanywa na wanasiasa hususani ya ccm Tafakari kabla ya kuchukua hatua . Mara nyingi sana tumekosea kwa kusikiliza na kuamini maneno ya udini yanayosambazwa na ccm kwa lengo la kuifight chadema. hapo mwanzo walitumia njia hi hi kuifight CUF
4 Leo wanaanza kutumia vijana kwa kuwateka na kuwanunua wakachafue mikutano ya chadema.
 
Mwenzie anataka urais yeye anataka kumpa ubunge wa kuteuliwa kwa hili Jk we ni kiboko umeona ukatibu haumfai na uraisi
 
Back
Top Bottom