Dr Kikwete Kumteua Dr.slaa kuwa MBunge?

Dr Kikwete Kumteua Dr.slaa kuwa MBunge?

mi naamini hiyo inawezekana. na najua Slaa hatakataa,siasa jamani si watazamaji ndo tuliwao.
 
Kwa taarifa yako DR. Slaa siyo huyo unayemfikiria wewe, ni mtu makini na uelewa wa hali ya juu sana. akiteuliwa akatekeleze malengo yapi? kwa sera zipi?
 
Kwa habari ambazo nina uhakika na chanzo chake,zinasema Dr.Kikwete Baada ya kuwa amechaguliwa kwa kura za Nyingi na kuingia Ikulu kwa kipindi cha pili kama Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania ,atatumia nafasi aliyopewa na Katiba ya Nchi kuteua wabunge 10,na mmoja kati ya hao atakuwa ni mgombea wa sasa wa Chadema Dr.Salaa.
pipe dream!!!
 
Maneno haya ni rushwa, Dr Slaa hadanganyiki. Urais ni wa Dr. Slaa labda useme Dr. Slaa atachukua urais na atamsemehe Kikwete kwa kuwakumbatia mafisadi.
 
Hivi Kikwete ni daktari au ana digrii ya doctorate ya nini? Anayejua atuambie.
 
attachment.php

Huo ujumbe wa wananchi ni kiboko jamani ingekuwa vyema ukasambazwa kwa wengi ,watu wajue jinsi alivyomropokaji
 
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kenyatta nchini Kenya, Dk.Harris Mule akimtunuku Phd ya Heshima Rais Jakaya Kikwete wakati wa mahafali ya 25 ya chuo hicho yaliyofanyika mjini Nairobi,Kenya leo. Phd hiyo inatokana na jitihada zake za utatuzi wa migogoro kwa nchi za Afrika hasa mgogoro wa Kenya uliozuka baada ya uchaguzi. Vipi mwakani atapata PhD ya pili?

Photo/Freddy Maro

Read more: DR.JAKAYA MRISHO KIKWETE - BongoCelebrity
 
Attachments

Re: Dr Kikwete Kumteua Dr.slaa kuwa MBunge.

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kenyatta nchini Kenya, Dk.Harris Mule akimtunuku Phd ya Heshima Rais Jakaya Kikwete wakati wa mahafali ya 25 ya chuo hicho yaliyofanyika mjini Nairobi,Kenya.

Photo/Freddy Maro
 
Haiwezekani Rais ateuliwe na raia kuwa mbunge. Kikwete atakuwa raia mara tu baada ya 31st october sanasana awe rais wa ngo ya Mama Salma
 
Dr Slaa atamteua JK kuwa mbunge (wa kuteuliwa
)
 
Ukishangaa ya Musa utaona ya Filauni......endelea kusubiri tu utaona .
 
Kwa habari ambazo nina uhakika na chanzo chake,zinasema Dr.Kikwete Baada ya kuwa amechaguliwa kwa kura za Nyingi na kuingia Ikulu kwa kipindi cha pili kama Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania ,atatumia nafasi aliyopewa na Katiba ya Nchi kuteua wabunge 10,na mmoja kati ya hao atakuwa ni mgombea wa sasa wa Chadema Dr.Salaa.

Hana jipya huyo.
Labda tumuombee kwa Dr Slaa akishaapishwa amteue jk kuwa diwani wa bagamoyo kama katiba inamruhusu!
 
Hizi ni porojo tu za mafisdi ili kuona kama watatuliza mzuka wa Dr Slaa.
Angalizo, ni makosa kumuita Kikwete DR labda kama mnamaanisha wale wakina dk Yahya wanaosoma nyota na kuua albino

JK ana honorary PhD, hivyo ni sahihi kumuita Dr. Acheni wivu!
 
JK ana honorary PhD, hivyo ni sahihi kumuita Dr. Acheni wivu!
Mbona Mkapa naye ana PHD na mkewe ana PHD JKN alikuwa na PHD lakini sijawahi kusikia mkiwaita dk mkapa, dk anna au marehemu dk nyerere.
Huu ni ushamba tu wa kikwete na makamba.
Haya basi mie natoa PHD kwa makamba kwa kuwa mropokaji wa mwaka. Tangu kesho aanze kuitwa dk makamba.
 
Back
Top Bottom