Mi binafsi nishawahi kuweka uzi humu uliyosema; Kufanya vibaya kwa CCM kumechangiwa na ukimya wa raisi wetu " mods wakaitoa sasa nawaomba na hii muitoe.
chriss lukosi myalukolo wetu wa kule uk hasikiki nimemmisi jukwaani kukitetea chama chetu. Kule nyumbani pia hawa chadema wanazidi kupaa. Tokea uokoe jahazi ndugu yangu
tpaul kigwa wako lazima aseme hivyo sasa kwani ameshasoma alama za nyakati na kugundua kuwa safari hii hakuna atakayembeba kwenye kura za maoni na kuna vijana zaidi ya watatu akiwemo husein bashe ambao watakuwa wapinzani wake. Kwa hiyo ungempa ushauri wa bure tu badala ya kumpongeza kwamba ahamie chama chochote kilichomo ukawa huenda akaambulia ubunge wa kuteuliwa. Wewe hushangai mtu unayemwita mwanasiasa mkongwe anataka kumshinikiza rais afanye maamuzi jinsi anavyotaka yeye.? Kwa kifupi tu kigwa sio ccm kusema kwamba akiondoka itakufa. Ameikuta ccm na ataondoka ataiacha ccm kama ilivyo na ndoto yake ya kuwa itadidimia akaiote nzega kwa muda uliobakia wa ubunge wake.
Afadhali kauona ukweri!
sasa wachekani bi kiroboto? kwani ITV ndio waliomlisha maneno hayo au unataka kusema nini?
jifunze kuandika vizuri ukweri ndo nini??
= ukweli
ni kweli kabisa mkuu. Ni bora aihame ccm kwa kuwa ameongea ukweli wakati maccm hawampendi mtu anayesema ukweli mtupu bila chembe ya ulaghai.
Anatafuta kick ya kujisogeza UKAWA mwakani.. Ameshaona taa nyekundu huko aliko
Eti mkongwe