Dr Kigwangala aikemea CCM na kuikubali UKAWA

Dr Kigwangala aikemea CCM na kuikubali UKAWA

Mtu aliyekaa darasani akaelimika lazima ajipambanue na waliohudhuria darasani kama Nape Nauye, Assumpter Mshama na Livingstone Lusinde.

cc: Dr, Prof. Hon JK, Mary Nagu, Lukuvi, Wassira etc..

Shahada za kupewa na wajomba pengine zipigwe marufuku. Sasa zinazidi.
 
Nacheka Kigwa kualikwa ITV. Kweli mambo mazuri, ukikosa la mama hata la mbwa linasaidia.

la mama ni lipi? TBCCM? kwani TBCCM inaendeshwa kwa kodi za maCCM au wananchi? Think BIG bi Kiroboto!
 
Back
Top Bottom