BULOLE BUKOMBE
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 488
- 109
aliyekuwa mbunge wa jingo la igunga amefunguka na kusema kuwa hakuwa na imani na jaji kwa kuwa aliegemea upande wa chadema na matokeo yake ameipa chadema ushindi, pia Dk. kafumu ameenda mbali zaidi kwa kusema kuwa yeye siyo mbunge tena na ataendelea na kazi yake ya utafiti wa madini.
source EAT
Kumbe naye wamemGodbles!!!!!.
Masikini Dalali Kafumu mbona katumikia muda mfupi sana??
Mimi ninakubaliana na Ritz kuwa mahakama imetenda/hutenda haki, tatizo ni kuwa pale inapoamua kwa upande wetu tunasifu mahakama lakini inapoamua in favour ya upande mwengine tunaanza kulalamika.
Hata hivyo ningemshauri Dk. Kafumu kukata rufaa kwani ni haki yake na haki ya mtu haipotei.
Haya tamaa zake zimemponza alikuwa kwenye position nzuri akataka aongeze nyingine, badala yake amezikosa zote
aje uku nimbuluze atabeba mabegi ya vifaa mpaka apinde mgongo uku tunakwenda pori kwa pori
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Igunga amefunguka na kusema kuwa hakuwa na imani na jaji kwa kuwa aliegemea upande wa CHADEMA na matokeo yake ameipa CHADEMA ushindi.
Dk. Kafumu ameenda mbali zaidi kwa kusema kuwa yeye siyo mbunge tena na ataendelea na kazi yake ya utafiti wa madini.
source EAT
Huogopi kifungo?bora mimi sijasema.Kumbe aliombewa kura na huyu nyani Wasira! Kwani alikosa watu. Hivi Jaji hakuongelea kupiga marufuku kuleta wanyama kwenye mikutano inayohudhuriwa na binadamu?