Dr. Kafumu (CCM) avuliwa ubunge Igunga!

Kweli kabisa!

Hivi Nape ana taharifa ya hukumu ya leo?

Huenda jaji ametoa hukumu kwa "jazba" baada ya fito za Advocate T.L.
Hasira nyingine ni neema kwa yule unayemhasiri!
 

Vipi Gordons itakuwepo ?.Siku hizi nimehamia XL Pub mitaa ya Stadium unapata kinywaji na wakati huo huo unafaidi mpira bila chenga.

Haya ni maendeleo makubwa.............. Ngongo umehama chama lini mpaka usherehekee ushindi wa CDM??
 
CCM UMETUNYONYA SANA! :baby::baby::baby:CCM! BYE! BYE! CCM BURIANI!:A S 103::A S 103::A S 103:CCM UNA MIMBA YA CHADEMA! HAHAHAHAHA!:mimba::mimba::mimba::mimba: CHADEMA MAMBO MDUNDO! :A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up: WAPI MAKAPA, MWIGULO, WASIRO! NK! AIBU!!!!!!!!:behindsofa::behindsofa: TUNATAKA JIMBO LETU:focus::focus::focus: CHADEMA! HOYEEEEEEE!:israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel: CCM! MOTO WAWAKA :flame::flame::flame::flame::flame:NA NA SISI MASELA WA CHADEMA, YETU ni KAMA UNAVYOONA! DEBE TU! :msela::msela::msela::msela:
CHADEMA NI MFALME! :A S crown-1::A S crown-1::A S crown-1::A S crown-1::A S crown-1:CCM! AIBU! JAMANI AIBU! :A S 109::A S 109::A S 109::A S 109: BLA BLA BLA BLA BLA BLA BLA! NDANI YA CCM! NA BADO TU, TUKUTANE 2015 :blabla::blabla::blabla::blabla:
 
Nadhani wana bodi Mnakumbuka huyu Bwe.ge alivyojiapiza kuwa CDM ikishinda IGUNGA anakunywa SUMU.
Na tumuone sasa anywe Pambaf zake
 
Aisee aliyeahidi kunywa sumu sio Mwigulu, ni Lusinde. Mwigulu yeye ana kesi nyingine tu ya kulipa fidia kwa kulala na mke wa ustadh (bila shaka katika kulala alimvua hijab !!)
 
Hayo matano ni mengi sana. Hata lalamiko moja tu kati ya 100 au zaidi linaweza kumtia mtu hatiani. Waweza kuta hilo moja lina uzito wa tani 5 wakati hayo yaliyobaki hayafiki hata kilo moja yote kwa pamoja.
 
Nadhan kuna mtu anaitwa FISICHAWNE ndo alisema atakunywa sumu.
 
Halafu nyie mliokalia kuandika "there are currently ......users browsing this thread..........", kama hamna cha kuchangia si dhambi mkawa watazamaji tu.
 
mwaka huu ni wa shida sana sijui tujipange vipi maana dah aibu
 
Je lile daraja alilowalaghai magufuli lilikwishajengwa?
Daraja la MBUTU mpaka leo halijajengwa! Wakati wa kampeni za Arumeru Mashariki waliamua kutafuta Mkandarasi, wakamsaundisha ili ionekane kuwa amechukua kazi na angeanza kujenga!
Picha nyingi zikapigwa na Waandishi wa habari wakafanya kazi yao...kumbe ni KAPUTI.
UWONGO HAUDUMU!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…