Dr. Kafumu (CCM) avuliwa ubunge Igunga!

Dr. Kafumu (CCM) avuliwa ubunge Igunga!

Hizi ni rasharasha tu wasubiri storm 2015 chezea chadema wewe. Mwigulu na lusinde mko wapi?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
mdau kutoka Igunga amenipa taarifa Kafumu kashindwa kesi
 
Kama Kafumu kafumuliwa basi na huo utakuwa ndio mwisho wa Ubunge wake wala asijaribu kukata rufaa. Tena ikiwezekana aachane na siasa za kugombe unless awe apointed na Prezdaa.. Maana nguvu iliyotumika Igunga mpaka leo machungu yake tunayaone kwenye uchumi wetu..
aachane na ubunge kwanza ccm imemtupa haijampa msaada hata wanachama wake hawakujitokeza kutoa ushahidi mahakamani.furaha ya R.A
 
Miezi mitatu baada ya kiti cha ubunge kutangazwa ki wazi maana yake kufikia tarehe ya leo miezi mitatu ijayo tunatakiwe kuwe kumeshafanyika uchaguzi.
 
Hapo wanatuchezea kina werema, jk, etc. Hawajamvua na kuliachia tu jimbo, kuna kitu nahisi kitafuata. Hakuna Akimu hata mmoja TZ anayetoa extreme decision bila ku-consult wakubwa kwanza. Okey!
 
Hao wanaosema kodi zetu naomba wazifuate mabenk ya nchi za nje hz za chaguzi ndogo c kitu uswiz ni bilion 360 huko kwingne vp acha chaguz zirudiwe haki ipatikane.
 
Amevulia kwa hoja zipi za kisheria?
 


haki imetendeka......huko mbele ya safari chama tawala kisiwategemee sana majaji....utafiti uliofanywa unaonyesha kuwa waraka wa lissu umewashitua sana majaji.....na wengi hawatakuwa tena tayari kutumika kupindisha sheria kwa kuhofia kuharibu heshima yao na taaluma yao.......hii ikiwa na maana kuwa hawataionea serikali na pia hawataipendelea..

Tutegemee haya pia kwenye kesi ya lema iwapo kweli hukumu ya yule jaji ilikuwa batili....
 
bwana wee....yaani we acha tu...ni tatizo la kutokuamini..na ni hawa hawa hawaendi kupiga kura wakati wa uhaguzi mkuu halafu wanategemea yule wanayemtaka kushinda

tena hao wasiopiga kura ndio wengi humu JF, ninawachukia sana hao watu wa design hiyo, kazi yao ni kulalamika tuuuu bila vitendo.
Ndio maana tunatumia nguvu kuitoa ccm madarakani kwa sababu ya watu kama hawa.
 
Back
Top Bottom