Dr. Kafumu (CCM) avuliwa ubunge Igunga!

[h=4]There are currently 3153 users browsing this thread. (569 members and 2584 guests)[/h]
 
Hii pia ilitakiwa itokee kwa baba yao wa kuchakachua kura Kikwete
ingekuwa poa sana,sema katiba kimeo inamlinda na nivyema katiba
mpya ikaondoa tongotongo hizi.
 
Huu ni utabiri!?
 
Najisikia raha sana ingawa bado zile picha za yule mama wa Igunga aliyetupwa kwenye pickup la polisi na yule kijana aliyeokotwa akiwa amekufa zipo kichwani. Hata Kikwete kwa namna moja au nyingine ni lazima atalipa tu kwa kuingia Ikulu kimazingaombwe...
 
Hii ni hukumu ya pili iliyofuata misingi ya haki baada ya ile ya Sumbawanga. Haya sio mambo ya ushabiki. Ni ukweli tu. Hukumu ya Arusha haikupaswa kukaa kama ilivyotolewa maana haikufuata misingi ya sheria.

Hongera Mwl Kashindye. Hakika wewe ndio mbunge wa mioyo ya Wanaigunga. Tuachane na CCM! CCM ni ugonjwa ambao huwezi kuwa na matumaini ya kupona. Tushirikiane sote kuitokomeza kabisa.
 
Baada ya hukumu kutolewa Igunga wananchi wa Igunga wameripuka kwa furaha na nderemo na kuzunguka katika viunga vya mji huu huku wakiimba nyimbo za kuipongeza CDM na kumpongeza Magufuri kwa kusaidia ushindi huu. Peooooooooooooplooooooooooooooooooooooz


 
Eti kuna Dingi la Sisiemu hapa linajaribu kunipiga Mkwara eti kazini hakuruhusiwi mambo ya siasa, kisa? Wameshindwa
Liambie siasa ndo iliyotukutanisha na wewe babu.Halafu liambie uta ji-jei jei babuu!ncha ya mkuki haipigwi kwenzi.
 
Hakika ni haki tupu Imetendeka.Hizi ndizo hukumu na siyo ule uhuni wa kesi ya Arusha.
 
sasa hii isiwe ndo kama njia ya kuisafisha mahakama kuu kwa watanzania, bado dukuduku letu lipo rohoni kuhusu mambo wanayotufanyia mahakama hasa wanapoficha haki zetu!
 
Hoja kubwa iliyo mtoa kafumu kwenye ubunge ni ipi?
 
Huenda jaji ametoa hukumu kwa "jazba" baada ya fito za Advocate T.L.
Hasira nyingine ni neema kwa yule unayemhasiri!
 
Hivi huyu mkariri samaki na dagaa aka Pombe Magufuli atauweka wapi uso wake?
 


Team ya Kamfumu Igunga iliwaza vema sana ambao ni Mwigulu, Lusinde, mkapa, Magufuli, Easter Bulaya, na kubwa jinga Tyson

Wananchi wakishaonaga ubwabwa huwa wanachanganyikiwa kabisa! especially hao madogo :happy:

Ndio shida ya umasikini , yeye anawapiga ubwabwa wa laki 2 halafu anaingia mjengoni anaanza na mkopo wa milioni 100
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…