Dr. Kafumu (CCM) avuliwa ubunge Igunga!

Dr. Kafumu (CCM) avuliwa ubunge Igunga!

Kama hukumu ina kurasa 127, huyo ni Jaji wa Mahakamu kuu wenye sifa kwa mujibu wa fani ya sheria. Majaji wa Mahakama CCM mara nyingi hawazidi kurasa 30
 
Majaji wote wazuri wamekufa na wengine wamestaafu bila kuongezewa mda wamebaki majajiJK! ngoja tusubiri haibu
 
Hukumu ina kurasa 127 hivi.Hadi sasa asilimia 80 ya sababu za CHADEMA zimekubaliwa.Lakini Jaji aweza kugeuka mwishoni.Ngoma inogile...


akibadilika atakiona cha mtema kuni...naambiwa nje kumefungwa spika na watu ni wengi sana na wanasikia kila kitu na kunote chini....soon kitaeleweka
 
kama watz mbona ccm haipeleki migogoro kwa taasisi za wakiristo? tatizo la viongozi wengi wa kiislam wapo CCM kutafuta umaarufu tofauti na wenzao. wakiona MWANYA ndipo hapo hapo kama walivyofanya kwa ajili ya MOU
Migogoro mingi ndani ya taasisi, ndoa,..., huanzwa na kumalizwa na wenye taasisi, ndoa hizi. Waislaam mkiwa WAMOJA, mkaongea kwa sauti moja, hakuna mgogoro utazushwa kutoka nje ya UISLAAM wenu. Turudi kwenye mada yetu.
 
jaji anasema tayari vifungu vinne vilionekana vimeathiri matokeo. Hadi sasa CDM iko juu

hii ni kutoka kwa jamaa aliyoko ndani ya mahakama

Jaji asije akaanza kwa kutupa matumaini then akaja kupinduka katika hoja nyepesi na kuwapa ushindi ccm. Ngoja tuendelee kuvuta subira, kitaeleweka tu muda si mrefu.
 
hivi tukishinda kafumu atavua kile kiapo na kumpa kashindye au kashindye ataapa tena? Na je, mahakama itamtangaza kashindye kuwa mshindi?
Tutarudi kwenye uchaguzi mdogo tena! Tuendelee tu kugharamia SIASA kama mazuzu.
 
sasa naanza kuona mnafunguka nilikuwa niodoke lakini ngoja nione mwisho wa hii picha!!
 
Migogoro mingi ndani ya taasisi, ndoa,..., huanzwa na kumalizwa na wenye taasisi, ndoa hizi. Waislaam mkiwa WAMOJA, mkaongea kwa sauti moja, hakuna mgogoro utazushwa kutoka nje ya UISLAAM wenu. Turudi kwenye mada yetu.

ccm inazalisha ili kuhalalisha pesa za MOU. ndio mana kiongozi wa ccm mkirissto akiona Upenyo na hutumia kupeleka habari kanisani. kwa mfano PESA ZInazotolewa na Serekali kwa ajilia ya MOU ambapo waislam wanabaguliwa kupewa. bora leo KAFUMU ASHINDWE kesi na hakimu awe fair
 
Jaji asije akaanza kwa kutupa matumaini then akaja kupinduka katika hoja nyepesi na kuwapa ushindi ccm. Ngoja tuendelee kuvuta subira, kitaeleweka tu muda si mrefu.
Makosa anayotaja sasa yanabatilisha matokeo ya uchaguzi ule? Kafumu ashinde tu ili tuepuke gharama hizi za kijinga. Kwani Ubunge wa NCHI hii una maana yoyote basi?
 
Uwepo wa polisi wengi mahakamani inaashiria nini ktkt huu ufalme wa tz?
 
Back
Top Bottom