Fitinamwiko
JF-Expert Member
- Aug 13, 2012
- 4,803
- 1,419
mbona kimya jamani? sioni kitu cha maana hapa jamvini ni porojo tu tumeni update
Kuna makosa makubwa tuliyafanya kwenye uchaguzi uliopita hapo Igunga sasa safari hii....mtafurahi CCM
Edison, hebu nithibitishie kama Rage naye alijumuishwa kwenye hii kesi
Edson,hivi nyie watu vipi??...hamuoni update ninazowapa hapa....nasema na ninarudia mara ya mwisho..CHADEMA IMESHINDA KESI...
Dalali kafumuliwa!
Mijitu mingine bwana sijui ikoje, ulikuwa huamini ulipoambia na Great Thinkers mpaka umeona Star TV kwli we pumba ina maana ss hapa tunachezaMimi nimeamini taarifa hii baada ya kuona katika star tv wakithibitisha kafumu kufumuliwa