jebs2002
JF-Expert Member
- Sep 3, 2008
- 11,442
- 11,416
Mkuu ukitaka kula hela ya wabongo kirahisi wewe kimbilia kwenye mambo anayotapeli JJ Mwaka, utakuwa milionea baada ya mwaka tu!Alishazoea kutapeli bongo hawezi nchi nyingine lazima arudi....kaona KIGWA kabadilishwa wizara kaamua kurudisha majeshi? sasa hivi atajiita nani maana wezake wanajiita tabibu