Dr.Joyce Ndalichako atakiwa kujiuzulu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr.Joyce Ndalichako atakiwa kujiuzulu.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by sulphadoxine, Jun 7, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #1
  Jun 7, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Baraza kuu la Waislamu nchini (Bakwata) limeendelea kumng'ang'ania katibu mkuu mtendaji wa baraza la mitihani Dr.Joyce Ndalichako,likimtaka kujiuzulu ili kulinda heshima ya serikali.


  Baraza hilo limesema limepoteza imani na Necta na hivyo kutaka serikali iunde tume huru kuchunguza utendaji kazi wa baraza hilo katika kipindi cha miaka kumi iliyopita.


  ya kiislamu (islamic knowledge),ambapo takribani asilimia 70 walifeli kwa kupata daraja F. Akizungumza na waandishi wa habari mkoani hapa jana,Sheikh mkuu tanzania Mufti issa shaabani simba alisema hatua hiyo inatokana na waislamu nchini kutoridhishwa na matokeo ya mitihani ya kidato cha sita yaliyotangazwa Mei Mosi mwaka huu katika somo la elimu ya dini.


  Kwa habari zaidi soma nipashe la leo tarehe 7/6/2012 ukurasa wa 5.
   
 2. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #2
  Jun 7, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hakuna binadamu aliekamilika. Hawezi kuwajibishwa kwa shinikizo la kidini.
   
 3. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #3
  Jun 7, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,506
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  The best thing kama wanaona wanaonewa waunde baraza lao watunge mitihani yao ya Islamic knowledge, na wasahihishe wenyewe na wawe na vyuo vyao. baaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaasi
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Jun 7, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,261
  Likes Received: 19,389
  Trophy Points: 280
  ..kwa nini isiwe kawambwa? ama kikwete ama bilal>?
  NECTA walishafafanua kuwa mwaka jana kulikuwa na paper 3 za islamic knowledge na waligawanya maksi zote kwa 3 na mwaka huu kukawa na paper tu wakawa wamegawanya kwa 3 vile vile kama mwaka jana...ila ndio hivyo wamerekebisaha ...BAKWATA wanashindwa kuelewa nini hapa?
   
 5. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #5
  Jun 7, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135

  Bakwata inasema tatizo sio mitihani kusahihishwa na walimu wenye sifa ,wao wanahoji nani aliwachagua walimu hao na mfumo wa usahihishajiuliotumika tatizo lamsingi ni kufelishwa kwa makusudi kwa wanafunzi wa kiislamu katika somo husika wakatio wakati nakala za mitihani yao zinaonesha wamefaulu,alifafanua mufti simba alisema kutokana na hali hiyo inaitaka serikali kuwawajibisha mara moja watendaji wakuu wa baraza hilo(kwanini sio waziri wala naibu waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi) wa kitengo cha kompyuta sambamba nakutaka hatua za kisheria na kinidhamu zichukuliwe dhidi ya watumishi wa baraza hilo.

   
 6. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #6
  Jun 7, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kitengo cha kompyuta kinasahihisha mitihani????
   
 7. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #7
  Jun 7, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,445
  Likes Received: 5,833
  Trophy Points: 280

  Hizi nakala mlizipata wapi?
   
 8. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #8
  Jun 7, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hayo maswali anatakiwa aulizwe mufti.
   
 9. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #9
  Jun 7, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Nikimuuliza atasema namuonea!!!! haaha aaaaa.
   
 10. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #10
  Jun 7, 2012
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  THE National Muslim Council of Tanzania (BAKWATA) has asked the Executive Secretary of the National Examinations Council of Tanzania (NECTA), Dr Joyce Ndalichako, to resign immediately for what it described as "undermining the welfare of muslim youths".

  The Mufti, Sheikh Issa Shaaban bin Simba, told a news conference here on Wednesday that the NECTA chief's image has been irreparably tarnished by inconsistency in this year's Form Six Examination results for the Islamic subject.

  Sheikh Simba said NECTA had earlier indicated that 70 per cent of the candidates had failed the subject, but later after complaints by some Islamic institutions and review of the results it was established only 30 per cent had failed.

  "This proves that there is a hidden agenda in NECTA to frustrate and block Muslim youths from accessing higher education," he said, adding:

  "This is a serious problem, I praise the Islamic institutions which revealed the matter... because even muslim teachers who were marking the examinations were astonished by the results".

  He said Dr Ndalichako should choose to resign or wait to be sacked by the government.Commenting on recent developments in Zanzibar, the Mufti said those who were involved in violence, theft and vandalism were mere hooligans and not muslims.

  He said Islam always promotes love and peace.The Mufti said the government must swiftly deal with all those who were involved and let the law take its course before the matter got out of control.

  Source : DailyNews Online Edition - Bakwata joins exam result protest fray
   
 11. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #11
  Jun 7, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Leo bakwata imesahau kwamba ni ccm c? Au labda kwa kuwa huyu mama wa necta haitwi HALIMA ndalichako, hivyo si mwenzao?
   
 12. stroke

  stroke JF-Expert Member

  #12
  Jun 7, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 13,355
  Likes Received: 6,539
  Trophy Points: 280
  Hivi jamani hawa watu wameathiriwa ubongo zao na mdudu gani jamani? Nachukia sana kuishi nchi kama hii ambayo watu wanatafuta sababu kufunika ujinga wao wa kuzaliwa...

  Haiingii akilini kuwa kuna mtu kakaa huko baraza hata hakufahamu anakufelisha bila sababu za msingi. Acheni mambo ya kipuuzi for once ujinga wenu huu utaisha muda si mrefu.
   
 13. n

  ng'wabuki Member

  #13
  Jun 7, 2012
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 80
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Peace ipi mnayopromote nyie hamnazo? Popote mlipo ni kujitahidi kupunguza wakristo tu. Idara ngapi zinazoongozwa na waislamu wenzenu zinaangalia kuhubiri na kupanua uislamu hata kama wanatakiwa wafanye kazi za umma?

  Ndalichako hapo mnamwonea tamkeni hadharani mnamtaka wa dini gani akae hapo mfanikishe lengo lenu. Higher education gani inayotoa bachelor ya islamic knowledge?

  Na kuhusu hao mnao waita wahuni, mbona kiongozi wenu alinukuliwa na vyombo vya habari kuwa wamefanya mihadhara zaidi ya 100 na yote napata shaka kama ulieleza hata siku moja mada zilizomo humo kama ni za kupromote amani. Kwa nini hao wahuni walichoma makanisa tu na hawakugusa misikiti?
   
 14. K

  KALAMAZOO1 Senior Member

  #14
  Jun 7, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sasa unakataa kitu kilichotokea? Wanafunzi Waislamu walifelishwa walipolalamika baraza likarekebisha na hivyo division zero zikapungua na 1 zikaongezeka katika shule za kiislamu.Hii sio mara ya kwanza waislamu wamekuwa wakipewa alama za chini katika masomo yote.Sasa kama huamini ngoja majibu ya tume itakayoundwa ndo utajua dhulma hii.Hat hivyo kama wewe ni mmojawapo wa madhalimu lazima utawaunga mkono
   
 15. K

  KALAMAZOO1 Senior Member

  #15
  Jun 7, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bakwata bila shaka watakuwa wameshauriwa na ccm ili wateke ajenda maana waislamu kwa pamoja tumekasirishwa sana na hivyo serikali ya ccm inahofu ya nini kitatokea ndio maana unaona hawa jamaa wameingia lakini hawana lolote la kuwatetea waislamu.
   
 16. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #16
  Jun 7, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  Hivi Mufti ana elimu gani huyu maamuma???
   
 17. K

  KALAMAZOO1 Senior Member

  #17
  Jun 7, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unaweza kutoa mifano ya idara zinazoongozwa na waislamu na namna wanavyopromote uislamu katika hizo idara? Unajua kabisa kwamba kama kuna idara zinazoongozwa na waislamu hazizidi asilimia 5 ya idara zote za serikali.Lakini angalia sehemu zote zisizoongozwa na waislamu ndo utaona jinsi wanavyopromote dini yao,nenda TRA kwa mfano fungua computa ya kila mfanyakazi uone.Subiri sikukuu zao uone namna pesa zetu walipa kodi zinavyotumika kupamba taasisi za serikali,kununuliana kadi na kusherehekea!
   
 18. B

  Baba Mkali JF-Expert Member

  #18
  Jun 7, 2012
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 681
  Likes Received: 519
  Trophy Points: 180
  Mbona ufafanuzi umetolewa?kuna thread humuhmu jf imetoa/ime-qoute source (gazeti la leo-sikumbuki alitaja gazeti gani). Kama ni kweli kulikuwa na makosa tajwa (kutumia mfumo wa 3papers wa mwaka jana badala ya 2papers wa mwaka huu) basi mkurugenzi lazima awajibike katika hili. Siamini kuwa kila wanacholalamika waislamu ni uzushi na ujinga wao (kama sakata hili linavyoelekea kuwa) na tusiwe na mawazo hasi, mapenzi na upofu katika suala la imani. Asilimia tisini ya waTZ wapo katika dini husika kwa kurithi (kutoka kwa wazazi) na si kwa matakwa/mapenzi yao wala ubora wa dini fulani. Ndugu mkaliwakitaa,naamini ww ni great thinker hivyo utafikiri mara mbili next tym kabla hujawashambulia watu wengine.
   
 19. kibol

  kibol JF-Expert Member

  #19
  Jun 7, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 3,135
  Likes Received: 378
  Trophy Points: 180
  Mbona watanzania tumeanza kupoteza uelekeo kiasi,tunaanza kushikana uchawi kwasababu ya dini zetu?ama kweli vichwa vyetu vimepoteza kabisa uelekeo na uwezo wa kufikir,mtu km amekosa asahihishiwe amepata?tusitafute majibu rahisi kw maswal magumu na yanayohitaji tafakar ya kina.
   
 20. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #20
  Jun 7, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,285
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Mtihani unasahihishwa kutumia namba za mitihani sio majina, wanachagua vipi hawa waislam tuwafelishe na wale wakristo tuwafaulishe...????!!
  Huyu ni muislam wa kumfelisha upo kwenye kitu gani, kama ni jina mbona kuna wakkristo wengi wanaitwa juma/hassan na wao hao utasemaje wakifaulu??

  TATIZO ni UONGOZI wa JUU legege usioweza kukemea mambo kama haya ya KIJINGA!!!!!!!
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...