Dr.Joyce Ndalichako atakiwa kujiuzulu.

Status
Not open for further replies.
KUNA CHUO CHA WAISLAM KINAITWA
MUM(Muslim University of Morogoro) LABDA HAO WANAANGALIA SOMO LA ISLAMIC KNOWLEDGE KATIKA UTOAJI WA ADMISSION
 
Naona Wakuu tunapoteza mwelekeo hili ni Jamvi la Great Thinkers nilitegemea kuona tunachambua topic kwa hoja za msingi na kupata suluhisho muwafaka tukaona kama kuna walo kurupuka a ukuchemsha badala yake tunaropoka na kushabikia vitu kwa misingi ya jazba au uoni binafsi ambao hauna mshiko, hii inaweza kuwafanya wageni wanaotembelea jamvi hili kutuona tumepoteza mwelekeo turudi kwenye topic na tuchambue kwa vigezo na vielelelezo, ni mtizamo tu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom