William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,375
Labda hii sio sehemu yake...labda.
Tulipokuwa watoto tuliambiwa tuoshe miguu yetu vizuri kabla ya kwenda kulala. Sababu ya kuosha miguu ni kuwa kama miguu yako ni michafu na itatoa harufu, panya watakuja kula miguu yako. Nilishangaa ni jinsi gani panya ataweza kukun'gata miguu na kuchukua vipande vya mwili wako bila wewe mwenyewe kustuka! Niliambiwa kuwa kabla ya kukuuma, panya hukupuliza na ule upepo unakupoza kiasi ambacho hata akikun'gata husikii maumivu. Ila ukizinduka asubuhi utakumbana na vidonda miguuni.
Sent from my GT-I9100 using Tapatalk 2
- Sawa kila bin-adam ana mapungufu yake so is our president, lakini kuna one thing ni kwamba ataenda down on our history kama ni the best ever President, .......
FMES - SAUTI YA UMEME!!
Rais Dk Kikwete ni muungwana sana sana, hatutapata rais Tanzania kama yeye itatuchukua muda mrefu sana, natamani katiba mpya ibadilishe vipindi vya urais kutoka 10 yrs to 20 yrs ili tuendelee kuwa nae.
hapo mkuu ilifaa iwe mkono.kwa sisi tuliokulia na kulelewa mijini inatupa maana nyingine.samahani kwa sahihisho langu.:becky:malezi mazuri ya wazazi huzalisha fikra nzuri naunga mkuno hoja yako
Mkuu FMES,
Naona umechelewa kidogo muda wa kujipendekeza ukakupita. Haya ulitakiwa uyafanye wakati ule Kikwete alipokuja NY akakuambia kuwa urudi TZ ili akupe ulaji. Wewe uling'ang'ania kubangaiza NY mpaka akagawa karibu kila kitu. Sasa ndio umerudi TZ na kuanza kujipendekeza wakati yeye jua ndio linazama na anajiandaa kung'oka....... Ningekushauri utafute mtu mwingine wa kujipendekeza kwake ambaye labda atashinda 2015, otherwise utasota sana hapo bongo.
Hayo unayomsifia JK kuwa nayo yamemsaidia yeye binafsi, lakini hayajaisaidia nchi.
Tuliwahi kuambiwa humu kwamba FMES ni mke wa W.J. Malecela wa hapa JF. Kama ni kweli bila shaka watakuwa wameambukizana hata kuongea pumba