Hebu wewe tueleze maana na mapana ya anayoongea kama unayajua....Unaelewea maana na mapana ya unayoongea?
Hiyo ya Uvumilivu wa Demokrasia nakuunga mkono!
Hiyo ya Uvumilivu wa Demokrasia nakuunga mkono!
UVUMILIVU wa demokrasia ndio kitu gani mkuu wangu?.. Una maana JK anatakiwa kupambana na adha za Demokrasia? au unachotaka kusema ni uvumilivu ktk uhuru na haki za watu kuhabarishana. Na akipiga vita uhuru wa habari sii ndio atajiharibia zaidi, wewe huoni kwamba toka mwaka 2005 duniani kote, uhuru huu umepewa kipaumbele zaidi kuliko miaka ya nyuma?. Wakati wa Mkapa vita kubwa ilikuwa Rushwa kwa nchi maskini lakini hapakuwepo nguvu kubwa ktk uhuru wa habari, waandishi wengi walifungwa ama kuuliwa na ndio maana imesisitizwa zaidi kutokana na watu kama Mkapa na wengineo.
Kama wewe FMES unatembea na mke wa mtu na watu wanakusema sana kwa kutembea na mke wa mtu. Je, utavulimia lawama hizo au utapambana nazo? Kwa mtazamo wangu JK anakubali yote yanayozungumzwa kwa sababu yana ukweli na makosa yapo vile vile isipokuwa hajui afanye nini maana kashindwa kujizuia na Ufisadi. Ubabae wa kina Mkapa ulisaidiwa sana na kutokuwepo mkazo mkubwa ktk uhuru wa habari na ndio maana aliweza kunyamazisha watu. Miaka yake ndio ilikuwa mwanzo wa hizi Blog, Hi5, facebook na kadhalika lakini sasa hivi hawezi kuzuia tena hata Assad akashindwa.
2. Middle class gani FMES watu wanaishi mjini kiujana ujanja tu. Wee unaweza kuamini ya kwamba wakati wa Nyerere asilimia kubwa ya wananchi walikuwa na ajira kuliko leo hii?..Sasa utaweza vipi create middle class ikiwa asilimia kubwa ya wananchi hawana kazi na waliokuwa nayo ni vipanga hawanunui vitu kwa fedha yao mfukoni bali waliyopiga mishemishe. Hakuna mtu anaishi kwa mshahara wake bali kufisadiana, unapigwa panga hapa na wewe unaelekeza mashambulizi yako sehemu nyingine. Na kweli mkulu amekaa kimya akitazama sinema inavyoendelea.
FMES,mbona huonyeshi data za hao walioingia kwenye middle class katika miaka yake madarakani na wewe ni "mzee wa data"?ie parcentage etc.2. CREATION OF MIDDLE CLASS.:
- Mushi ni kweli middle class haikuwepo sasa ipo, na pia namba za kisayansi sijazipata lakini kwa kuona tu najua kwamba sasa tuna middle class na haikuwepo siku za nyuma!, na infact most of my friends wanatokea humo ndio imekwua rahisi sana kwangu kuelewa hili!
Es!
- Bob mimi nimefika Colombia, huko ukiisema Serikali vibaya au matajiri, unapigwa risasi mchana na inakubalika na jamii, sisi hapa magazeti yetu sio tu yanashambulia ila yanafika mahali yanatukana mpaka matusi ya nguoni, lakini hakuna lolote wanalofanyiwa, sasa kwa maoni yangu kulinganisha sisi na nchi kama Colombia, tunanafuu sana na isingewezekana kama sio Rais wa sasa.
- Hapa bongo ninajionea vijana wadogo sana kiumri ambao wanaendesha mashirika ya private na ya serikali, wanalipwa mahela makuwba sana, wanaishi vizuri sana sawa sio wengi sana kulinganisha hesabu yetu ya wananchi ya taifa, lakini please sisi tulioishi Awamu ya kwanza tunaheshimu sana hii new generation power, sina namba za kitafiti of where we are kitaifa na namba, lakini hata mikoani nimeona hawa vijana wakiishi vizuri, sasa hii imeondoa ile gap ya umasikini kabisa na matajiri, kwa maoni yangu kwa ninayoyaona hapa bongo, kwenye hizi Club za starehe hukuti wazee siku hizi kama zamani unakuta vijana tu inatia moyo sana kwa sisi tulioisho under Awamu ya kwanza! Siku hizi kwenda majuu imekwua mchezo tu, kwenda South Africa ndio usiseme, I mean kuna wakati haya yote yalikwua ni ndoto wka vijana!
- NDIO NINASEMA MNYONGE MNYONGENI!
Are you sure hatukuwahi kuwa na middle class hata kwa level yetu ya umasikini? Middle class kwetu ni watu wa aina gani?- Mushi ni kweli middle class haikuwepo sasa ipo, na pia namba za kisayansi sijazipata lakini kwa kuona tu najua kwamba sasa tuna middle class na haikuwepo siku za nyuma!, na infact most of my friends wanatokea humo ndio imekwua rahisi sana kwangu kuelewa hili!
Es!
Are you sure mkuu?what gets you a "middle class" status in Tz?- Mushi ni kweli middle class haikuwepo sasa ipo, na pia namba za kisayansi sijazipata lakini kwa kuona tu najua kwamba sasa tuna middle class na haikuwepo siku za nyuma!, na infact most of my friends wanatokea humo ndio imekwua rahisi sana kwangu kuelewa hili!
Es!