Madela Wa- Madilu
JF-Expert Member
- Mar 24, 2007
- 3,062
- 731
It depends on how you define middle class.
Kuna kundi la wezi na wanao ibiwa.
Hakuna clear formula ya kumove forward kimaendeleo zaidi ya kuiba.
Wizi ulianza taratibu, kwa kundi dogo la watanzania kugushi na kuiba.
Badaaye ikaonekana kwa nini tugushi wakati tunaweza kupindisha mambo na kufumba macho kisha tutakomba kila kitu??
Sasa hivi watu hawaibi tena. Bajeti ya Wizara ikipita wanagawana bila aibu kwani wanaamini kabisa kwamba fedha ni yao.